Mwisho wa siku 7 za Ridhiwan ni leo 9/5/11!

Ahadi ni deni bana!
Huyu mtoto aliongea kwa kuita waandishi wa habari, akiwa na maana UMMA wa Watanzania wote unatakiwa ufahamishwe jambo alilotaka kusema!
Sasa anawajibika kabisa kumalizia homework yake kwa kuchukua hatua aliyoahidi, vinginevyo atumie vyombo hivyohivyo vya habari kukanusha kuwa hakuwa makini wakati akitamka maneno hayo!
HTML:
Media nazo zina wajibu mkubwa sana kumfuatilia huyu kijana wa kimjinimjini, ili kupata kinachoendelea na hatimaye kuwamalizia sakata hili wananchi!
Media wajifunze kwa makosa.Wasije rudia yale ya Al-adawi(Mmiliki wa Dowans)-NO PHOTO.
Wajivue Gamba
 
Duh mkuu umekamaa nae utadhani umetumwa na kijiji,mwanzako alikuwa akisema kimjini mjini hakuwa serious kihivyo.

Mkuu wetu,
LIKE FATHER LIKE SON!
Nahofia asije akatimiliza maandishi kwenye kitabu cha zama hizi za akina Kikwete, kuwa ahadi zao hazitekelezeki!
Na enzi zao zikishapita watakumbukwa kwa hayo, kuwa ni wasanii na watu wa mjinimjini!!..
Aibu!
 
Hana kitu huyo alikuwa anawatishia watu wazima nyau! Aende anakotaka aone atakavyozidi kujichafua. Hiki kitoto hata sijui ufisadi kimeuanza lini, nakumbuka alipokuwa mkwawa high school alikuwa simpo sana babake alikuwa anataka apande ndege ye anapanda yale mabasi tulokuwa tunapanda sisi.!
 
Mafisadi wazoefu na wenye akili zao hukaa kimya bila kujibu tuhuma.
 
Hana kitu huyo alikuwa anawatishia watu wazima nyau! Aende anakotaka aone atakavyozidi kujichafua. Hiki kitoto hata sijui ufisadi kimeuanza lini, nakumbuka alipokuwa mkwawa high school alikuwa simpo sana babake alikuwa anataka apande ndege ye anapanda yale mabasi tulokuwa tunapanda sisi.!

Lile jumba jeupe linakengeusha watu, ukifika pale na haujuhi umekwena pale kufanya nini, basi unarithisha ujinga hadi kwa watoto. mpaka sasa ni nyerere na Mwinyi tu ndio walijuwa pale wamefuata nini. najuwa wapo ambao wanamtazamo tofauti kuhusu mwinyi lakini hilo linahitaji mjadala wengi walikuwa bado vijana wadogo, lakini alieanza kuuza kama mmachinga raslimali zetu ni Mkapa. mwinyi zilimfia RTC tu kama sikosei.
 
Mwenye jeuri ni manji tu.hao wengine mh.tusubiri tuone asipoenda mahakamani conclusion ni kwamba shutuma ni za kweli.
 
Kamanda

Hivi na wewe uliingia mkumbo kuwa Mwana wa Mfalme alikuwa serious? Hana cha kupeleka mtu mahakamani huyo Ridhiwan Uday Saddam Hussein al-Tikriti al Kikwete

Uday na Qusay ni watoto wa Saddam Hussein,waliuawa katika mapigano makali na majeshi ya Marekani,jamaa walikuwa wapiganaji hasa,hiyo ndiyo tofauti na Rz-one
 
He zimekwisha nahisi mtikila nae alimtisha na zile 21 za kwetu arusha zilikwisha alizotoa kamanda wa angani na nchi kavu
 
Hana kitu huyo alikuwa anawatishia watu wazima nyau! Aende anakotaka aone atakavyozidi kujichafua. Hiki kitoto hata sijui ufisadi kimeuanza lini, nakumbuka alipokuwa mkwawa high school alikuwa simpo sana babake alikuwa anataka apande ndege ye anapanda yale mabasi tulokuwa tunapanda sisi.!

unakumbuka eeeh anapenda upendo, yan very simple DH tunapambana mlangoni siku ya nyama (jumatano). Sasa hvi bonge la fisadi.
 
Aah bana wewe hujui kwani watu wanaishi kimjinimjini!!! Riz1 ametoa siku 7 , utasikia kesho kuwa alikuwa anataka viongozi wa kisiasa wamuombe radhi na anawaheshimu sana!!!! Zile siku 90 za JK za magamba zimefikia ngapi sasa!!!
 
Hakuna mtu hata mmoja ambaye alitajwa na Dr. Slaa kwa ufisadi akaweza kwenda mahakamani. Kwa misingi hiyo hao watuhumiwa walikubali kwa njia moja au nyingine kuwa ni MAFISADI. Kama Ridhwani akikosa makende ya kwenda mahakamani kujisafisha, basi na yeye atakuwa amedhihirisha kwa umma kuwa na yeye ni FISADI kama mdingi.
 
Hana kitu huyo alikuwa anawatishia watu wazima nyau! Aende anakotaka aone atakavyozidi kujichafua. Hiki kitoto hata sijui ufisadi kimeuanza lini, nakumbuka alipokuwa mkwawa high school alikuwa simpo sana babake alikuwa anataka apande ndege ye anapanda yale mabasi tulokuwa tunapanda sisi.!
Aisee!
Ufisadi ni tabia inayopandwa, inaota, inakua, inakomaa na kujijenga, hivyo nakubaliana na wewe kuwa huyu mtoto wakati huo alikuwa mmyenyekevu!
Kuna wengine pia walisoma naye huko Mtwara(shule ya msingi?)...na wanakiri alikuwa na nidhamu mno, na hata majuzi akiwa anamtafutia kura babaye alienda huko akaonana na mwalimu wake wa Primary, akaonyesha kumheshimu sana!
Lakini ndio hivyo, amejifunza ufisadi tokana na malezi ayaonayo kila siku katika familia, na anaharibiwa hivihivi tunaona!
Lakini wajue kuwa aina ya wananchi wanaotawaliwa sasa wanaendelea kuwa wagumu kidogo kukubali kienyeji tabia hizo!
Ona MWAKYEMBE ANACHOFANYIWA HUKO kYELA!
....Wengine imani zetu zinatuambia..."Kwa mtini jifunzeni....."
 
ikitu imekaa kimjini mjini we una kumbushia atakupa siku saba oh sorry alitumwa atulize vumbi lakin likazidi kufuka
 
Media nazo zina wajibu mkubwa sana kumfuatilia huyu kijana wa kimjinimjini, ili kupata kinachoendelea na hatimaye kuwamalizia sakata hili wananchi!

mkuu! kwa media za kibongo ilo jambo naona ni gumu..kwa media hii ya kukatazwa kuingia na vitendea kazi kama kamera kwenye press conference na wakakubali!!! kwa media hii hisiyo na continuity ya habari!!! media ya bongo siamini kabisa..toka walipokatazwa kuingia na kamera kwenye press conference ya Al-Adawi na wao wakakubali, niliwavua nguo kabisa....

asante.
 
Na leo ni siku ya pili na masaa yake mengi tokea Rev Mtikila ampe mwana mfalme siku saba...let us see nani ni nani!
 
Back
Top Bottom