Mwenzi wangu ana mbweche kubwa

Status
Not open for further replies.
Anyway.. watu watakimbilia ni uhuru wa kuongea.. lakini kinacho - matter sana nadhani shule bado hazijafunguliwa ..au kama si hivyo basi ni issue kama iliyonikuta mimi ambaye.. Upstairs (kichwani) kwangu kumejaa maji badala ya ubongo..Hivyo kunanifanya kuwa Great thinker siyo kwa kwenda mbele..bali ni kwa kurudi nyuma kwa kasi ya ajabu..

Hapa unafanya nini wewe great thinker? Si usepe uache wenye maji badala ya ubongo kichwani tuendelee na mada yetu

Anyway.. watu watakimbilia ni uhuru wa kuongea.. lakini kinacho - matter sana nadhani shule bado hazijafunguliwa ..au kama si hivyo basi ni issue kama iliyonikuta mimi ambaye.. Upstairs (kichwani) kwangu kumejaa maji badala ya ubongo..Hivyo kunanifanya kuwa Great thinker siyo kwa kwenda mbele..bali ni kwa kurudi nyuma kwa kasi ya ajabu..

subiri yakukute, yanaweza kuwa hayafanani na yangu lakini unaweza kupata matatizo makubwa zaidi ya haya yangu ndo utaona utamu wake

Huyo ni mkeo ama girl friend tu? kama ni mkeo wa ndoa si sahihi kuanika humu kwani badala yake watu wanakomenti kile anachojisikia yeye. Mimi nakushauri ndenada naye hospitali mkafanyie uchunguzi inawezekana ana infection fulani.

Kwani yeye huwa anasemaje mkiwa ktk shughuli kwene 6kwa6...yy anaenjoy!!! Na izo pumba yy hazioni?

mi nahangaika na mikito yeye anatoa ukelele wa utamu tu yani bao napiga bada ya kama lisaa na nusu hivi tena lazima aende bafuni sio chini ya mara 3 bahati nzuri nina masta bedirum bila hivyo si ningeaibika miye

Huyo ni mkeo ama girl friend tu? kama ni mkeo wa ndoa si sahihi kuanika humu kwani badala yake watu wanakomenti kile anachojisikia yeye. Mimi nakushauri ndenada naye hospitali mkafanyie uchunguzi inawezekana ana infection fulani.

sio mke ila tunaishi kinyumba

Jamani JF ina mambo, MBWECHE ndiyo nini tena?

Jamani mwenzenu napata tabu, mwenzi wangu wa kike ana mbweche kubwa ajabu kiasi kwamba sipati raha afu anatoka vitu kama mapumbapumba hivi, kumwacha siwezi nifanyeje?

mi nahangaika na mikito yeye anatoa ukelele wa utamu tu yani bao napiga bada ya kama lisaa na nusu hivi tena lazima aende bafuni sio chini ya mara 3 bahati nzuri nina masta bedirum bila hivyo si ningeaibika miye

Duh aise mkuu unajua kujitangaza
baada ya saa moja na nusu duh kweli biashara matangazo

Hii kitu wengi tu na imani inawatatiza (suala la maumbile kutomatch) ila limeletwa jamvini watu wanajifanya wazee wa busara kulisukumiza gizani lisiongelewe kwa kisingizio eti ni utoto. Lakini ukweli tatizo hili lipo hata tujifanye kulipotezea lipo na litaendelea kuwapo. Kiritimba jaribu kukusanya kiingereza chako u google huko huenda utapata msaada zaidi coz hapa people wanakushambulia tu bila kutoa msaada

This is very sad and very disheartening kwa wanaMMU

Hata kuna uhuru wa kuongea openly, lazima tuheshimu na kusitiri watu waliojitoa kwetu hasa kama they trust us!! Kama ana matatizo basi ungemsaidia kwa kwenda au kumshauri aende kwa daktari.

This is unacceptable, uncalled for and insulting to the one who trust you

Naomba usirudie tena kuleta haya kwenye MMU.... umemdhalilisha mwanamke ambaye labda anakusetiri kila siku na mapungufu yako, na pia anayehitaji msaada wako

sijamzalilisha ndo mana sijamtaja jina yeye wala mimi.

Hii kitu wengi tu na imani inawatatiza (suala la maumbile kutiomatch) ila limeletwa jamvini watu wanajifanya wazee wa busara kulisukumiza gizani lisiongelewe kwa kisingizio eti ni utoto. Lakini ukweli tatizo hili lipo hata tujifanye kulipotezea lipo na litaendelea kuwapo. Kiritimba jaribu kukusanya kiingereza chako u google huko huenda utapata msaada zaidi coz hapa people wanakushambulia tu bila kutoa msaada

ina maana hili tatizo mi ndo wa kwanza?
lugha yangu ya kigeni si nzuri sana ila kuna jamaa yangu ambaye yeye ni mwanachama wa kuheshimika sana humu ndo aliniambia niilete humu hii mada ntapata msaada sasa nashangaa wengine hawataki kunisaidia, ina maaana hili tatizo halipo kabisa kwa wengie?

No wewe si wa kwanza kupatwa na tatizo hili. Wapo wengi wenye tatizo kama hili. Ila tatizo hapa wanajifanya kuwa ni wazee wa busara wanalipotezea kulizungumza. Kwani nani hapendi kupata mwenza wanaendana maumbile? Wote twapenda. So kama utashindwa kupata majibu ya kukuridhisha hapa wee google tu mtandaoni.

Umemuuliza kwanini anatoa pumba? Then mngeenda kwa dokta apate matibabu na kuhusu ukubwa iyo ya kwako inapigwa mabooster inakuwa saiz

Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom