Tabia za mke wangu zimenichosha, nafikiria kumuacha

Mr Alpha

Senior Member
Jul 31, 2018
195
522
Mimi ni mwanamume, nina mke na watoto wawili, naipenda sana familia yangu. Mimi ni mfanyakazi na katika kazi ninayoifanya huwa natoka saa kumi na mbili jioni na hupendelea kurudi nyumbani mapema.

Mke wangu ni Mhasibu tena CPA holder kabisa, ninampenda sana, kiukweli napenda sana muda mwingi kuwa naye karibu.

Miaka mitatu ya uchumba na mwaka mmoja sasa katika ndoa, naweza nikakubali kwamba hivi sasa nimemchoka. Sababu kubwa ya kumchoka ni kutokana na yeye alivyobadilika tofauti na mwanzo.

- Anatoka kazini mapema lakini anachelewa kurudi nyumbani, wakati mwingi hurudi saa sita za usiku na mimi ndiye ninayemfungulia mlango! Nilishawahi kuzungumza naye juu ya tabia yake lakini hakunisikkiliza.

- Anakaa bar na mashoga zake huku wakinywa pombe, yaani hana muda na watoto. Tabia hii inanikera sana na bado napata maneno mengi sana yanayomuhusu yeye kuwa anamahusiano nje inaniuma sana.

Nimefirikira kumwacha lakini.....!
 
Naitwa France niko kwenye ndoa mwaka 4 sasa na tumebahatika kupata watoto wawili

Mke wangu ni Mhasibu tena CPA holder kabisa, ninampenda sana, kiukweli napenda sana muda mwingi kuwa nae karibu.

Miaka mitatu ya uchumba na mwaka mmoja sasa katika Ndoa, naweza nikakubali kwamba hivi sasa nimemchoka.

Sababu kubwa ya kumchoka ni kutokana na yeye alivyobadilika tofauti na mwanzo.

-anatoka kazini mapema lakini anachelewa kurudi nyumbani wakati mwingi hurudi saa sita za usiku na mimi ndiye ninayemfungulia mlango nilishawahi kuzungumza naye juu ya tabia yake lakini hakunisikkiliza.

-anakaa bar na mashoga zake huku wakinywa pombe yaani hana muda na watoto tabia hii inanikera sana na bado napata maneno mengi sana yanayomuhusu yeye kuwa anamahusiano nje inaniuma sana.

Nimefirikira kumwacha lakini nikiawaangilja watoto napatwa na huruma.Naombeni ushauri
Mpeleke kwenye maombi yanayoeleweka....si bure hilo ni tatizo....dawa spiritual healing
 
Naitwa France niko kwenye ndoa mwaka 4 sasa na tumebahatika kupata watoto wawili

Mke wangu ni Mhasibu tena CPA holder kabisa, ninampenda sana, kiukweli napenda sana muda mwingi kuwa nae karibu.

Miaka mitatu ya uchumba na mwaka mmoja sasa katika Ndoa, naweza nikakubali kwamba hivi sasa nimemchoka.

Sababu kubwa ya kumchoka ni kutokana na yeye alivyobadilika tofauti na mwanzo.

-anatoka kazini mapema lakini anachelewa kurudi nyumbani wakati mwingi hurudi saa sita za usiku na mimi ndiye ninayemfungulia mlango nilishawahi kuzungumza naye juu ya tabia yake lakini hakunisikkiliza.

-anakaa bar na mashoga zake huku wakinywa pombe yaani hana muda na watoto tabia hii inanikera sana na bado napata maneno mengi sana yanayomuhusu yeye kuwa anamahusiano nje inaniuma sana.

Nimefirikira kumwacha lakini nikiawaangilja watoto napatwa na huruma.Naombeni ushauri
Kama si chai.....
 
Hawa wanawake wenye cpa mbona wameanza kutrend, Nakumbuka ilimtokea hata mkuu wa wilaya Nikki wa pilii

Lakini pia hizi ndoa za kikristo zimebadilika sana sikuhizi sio kama zamani, miaka ya zamani wanawake waliingia kwenye ndoa wakiwa wamefunzwa kitamaduni kuheshimu mwanaume, sikuhizi hayo mafundisho hayapo tena imekuwa ni shida hasa kwa hawa walioelimika, Binti anaweza kujifanya innocoent uchumbani ila ukimvisha pete anaona kamaliza kazi maana anajua ukitaka kumuacha ni lazima mali zipigwe pasu kwa pasu na huwezi kuongeza mke wa halali, hapo ndio kiburi kinapoanzaga kujiona wote mnalingana.

Kanisa haliwezi kuvunja ndoa yenu kwahio nenda mahakamani mgawane mali kila mtu aende zake, Kwa huyo muhasibu uwe makini anaweza kutumia uhasibu wake kuchukua assets zenye thamani kukuzidi.
 
Naitwa France niko kwenye ndoa mwaka 4 sasa na tumebahatika kupata watoto wawili mapacha wa kiume

Mke wangu ni Mhasibu tena CPA holder kabisa, ninampenda sana, kiukweli napenda sana muda mwingi kuwa nae karibu.

Miaka mitatu ya uchumba na mwaka mmoja sasa katika Ndoa, naweza nikakubali kwamba hivi sasa nimemchoka.

Sababu kubwa ya kumchoka ni kutokana na yeye alivyobadilika tofauti na mwanzo.

-anatoka kazini mapema lakini anachelewa kurudi nyumbani wakati mwingi hurudi saa sita za usiku na mimi ndiye ninayemfungulia mlango nilishawahi kuzungumza naye juu ya tabia yake lakini hakunisikkiliza.

-anakaa bar na mashoga zake huku wakinywa pombe yaani hana muda na watoto tabia hii inanikera sana na bado napata maneno mengi sana yanayomuhusu yeye kuwa anamahusiano nje inaniuma sana.

Nimefirikira kumwacha lakini nikiawaangilja watoto napatwa na huruma.Naombeni ushauri
Ambia wazazi wake wamkanye, kama anakipato kukuzd ujue anaulimbukeni wa pesa mtu wa hivi unatakiwa uishi naye kwa akili sana usiztolee macho pesa zake. Tafta watu wa guidance an counselling wamsaidie. Omba likizo ya hata wiki mbili toka nenda mbali naye watoto muachie ukienda huko usimpgie pigie sana cm jus mind your business ukirud utamkuta mpya
Ndoa za kkikristo hizo mwanamke anaweza kujifanya inncoent uchumbani ila ukimvisha pete anaona kamaliza kazi.

Kanisa haliwezi kuvunja ndoa yenu kwahio nenda mahakamani, Kuwa makini sana huyo ni muhasibu asije kupata zaidi yako kwenye mgao wa mali.
 
Back
Top Bottom