Fanya hivi ukiona mwenza wako kabadilika

Nyamalapa

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
206
448
Kwa kawaida hakuna mahusiano yanayokosa changamoto hata kama mpo ndani ya ndoa, vikombe kabatini tu vinagongana sembuse binadamu wawili waliokutana ukubwani na wote wakiwa na meno 32.

Huwa inatokea kuna wakati mnafurahia sana mapenzi yenu lakini pia kuna wakati shetani anaingilia kati na kuanza kuwabadirisha.

Kwa wale ambao hawapo ndani ya ndoa na kila mtu anaishi kwake silaha kubwa kabisa ya mahusiano ni mawasiliano mana bila mawasiliano hakuna mapenzi.

Kuna kipindi mawasiliano kati yenu yanaanza kuwa hafifu yani kama mlikua mnawasiliana asubuhi mchana na jioni mnajikuta kwa siku mnawasiliana tu mara moja tena sms hazijibiwi kwa wakati, yaani unatuma sms saa moja asubuhi lakini mwenzi wako anakuja kuijibu saa saba mchana kwa kisingizio tu kwamba alikua busy.

Kuna msemo unasema no one is busy, it depends on the priority.Kwako anaweza akawa busy lakini kuna mwenzako anasumbuliwa na sms mpaka anaona kero.

Inapotokea hali ya namna hii ewe dada ewe kaka fanya yafuatayo;

1. Kaa chini na mwenzi wako muulize kuna tatizo gani mpaka mawasiliano yenu yameyumba na hayapo kama zamani, mana inawezekana ukamuelewa vibaya kumbe mwenzi wako ana tatizo linamsibu ambalo huenda ungemsaidia hata kwa ushauri.

2. Kama atakuambia hakuna tatizo ni ubize tu wa hapa na pale basi yakupasa umueleze wazi kwamba hufurahishwi na hiyo hali na unahitaji kuona mabadiriko kwenye mawasiliano, ubize wa mwanamke au mwanaume unaweza ukawa wa kweli au sio kweli na mara nyingi hutokea pale ambapo either mwanamke ameanza kutongozwa na njemba mpya au mwanaume amepata namba ya mwanamke mpya kwahiyo muda mwingi anautumia kuwasiliana na huyo mtu mpya.

3. Ukishamkanya mara mbili au mara tatu kwa siku tofauti tofauti na ukiona anarudia yaleyale uliyomkataza basi hiyo inatosha sana, huna sababu ya kuendelea kila siku kumkumbusha wajibu wake.Hizo zinakua ni red flags za waziwazi.

4. Kwakua umemuonya na hataki kubadirika basi wewe nenda vile anavyotaka yeye, kama umemtumia ujumbe saa 2 asubuhi na akaja kuujibu saa 10 jioni wewe wale usihoji na badala yake mjibu tu vizuri lakini usioneshe tena kukasirishwa na hilo suala.

5. Wanaume kila siku tunatongoza na wanawake kila siku wanaombwa namba za simu na wanatongozwa pia, shida ni kwamba mwanamke au mwanaume hawezi kukuambia waziwazi kwamba tuvunje mahusiano mana anakua hajiamini kama huyo aliemkubalia ni mtu sahihi kwake kama ulivyo wewe au la.

Mara nyingi watu wana tabia ya kulinganisha kwamba je huyu na yule tofauti yao ni nini, kuna mwanaume unakuta ana kila kitu lakini kawapanga wanawake zaidi ya 20 na kiasi kwamba kwa mwanamke anaehitaji mtu serious kwenye mahusiano hawezi kudumu nae na badalaa yake atarudi mbio kwa mtu wake wa awali.

5. Usiwe mtu wa kuombaomba msamaha kila mara kwa mwenzi wako hata kwa kosa ambalo unajua hukufanya mana kwa kufanya hivyo ni kama unapandisha 'ego' yake.

Mbio za sakafuni siku zote huishia ukiongoni mana mwanamke au mwanaume anaweza akampata mwenzi mpya ilhali yupo kwenye mahusiano lakini mwisho wa siku anakuja kugundua kumbe wewe ni bora kuliko huyo aliempata.

Mwanamke anaweza akawa mzuri sana lakini akawa anachukulika kirahisi na kila anayemtongoza vilevile kiasi cha thamani yake kushuka na pia mwanaume anaweza akawa na kila kitu pesa, nyumba na gari zuri la kutembelea lakini unakuta ana wanawake wengi kupita kiasi anawatumia tu na hana mpango wa kuoa hata mmoja.

Kwa leo naomba niishie hapa ila zingatia sana hizo nondo zangu 5 hapo juu na jifunze kusoma mabadiriko ya mwenzi wako, sio kila kila jambo ni la kupuuzia.
 
Ilishawahi kunikuta
Sikumuuliza shida nini wala nini....nilichofanya nikafululiza kumpa kei bila ya kuniomba,mbona penzi likaanza kuwa jipya.... anatext na kupiga kila wakati

#haters watakuja kuniambia kei ndio kitu pekee nilichoona cha kuoffer 🤭
 
Maisha yaniweke bize kuyaseti vizuri kimaendeleo K nayo inipasue akili? NO.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mimi mwenzako naona kama ni usumbufu na kupoteza wakati kuanza kuchukuwa hatua zote hizi. Kwangu mimi mawasiliano yakipungua (hata kwa mke wangu), siulizi chochote bali nanyata kama chui na kuchungulia kuna nini. Kama amepata mwingine, nampiga chini na kama ni tatizo jingine basi hapo nitamwelewa. Sina muda wa kubembeleza bembeleza na kuwekwa pending eti nafananishwa na mwingine ni yupi bora!
 
Mkuu, umeongea mengi ya msingi sana. Lakini sio rahisi, hasa kwa mtu uliyempenda sana.

Mabadiliko kwenye mapenzi yanaumiza kuliko kuachana kwenyewe.
Nakubaliana kabisa na wewe ila binandamu tunapitia changamoto sana na hatupaswi kuhukumu mojakwamoja bila kujua nini tatizo, kaa chini na mwenzi wako akuambie tatizo ni nini na kama anakuambia hakuna tatizo lakini bado anaendelea na hiyo tabia yake basi yafaa kumuacha aende kwa huyo ambae ameona ni bora kuliko wewe.Maisha mafupi sana na kuna msemo usemao usiache mbachao kwa msala upitao.Leo anaweza akakudharau lakini kuna siku atapata shida ambayo anajua wewe unaweza kumsaidia lakini akaona aibu hata kukutafuta mana maisha hayatabiriki.
 
Ule mtanange kule naona umeshaingiliwa na kidudu mtu GENTAMYCINE na Leejay49 wake, ila FaizaFoxy wangu atatoboa tu.
GENTAMYCINE nina Nguvu ya Ajabu kutoka kwa Mwenyezi Mungu na sijawahi Kulitaka langu na lisifanikiwe.

Nakuhakikishia Leejay49 atashinda.

Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano

2. Ni Mwerevu wa uhakika

3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka

4. Hana Dharau

5. Ni Mkarimu

6. Hana Majungu, Chuki na Wivu

7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.
 
Ilishawahi kunikuta
Sikumuuliza shida nini wala nini....nilichofanya nikafululiza kumpa kei bila ya kuniomba,mbona penzi likaanza kuwa jipya.... anatext na kupiga kila wakati

#haters watakuja kuniambia kei ndio kitu pekee nilichoona cha kuoffer 🤭
Mradi ulikua unatafuta kutatua tatizo huna baya mkuu 🤣🤣
Watakubeza hapa ila nao wanaenda kwa waganga wanakuja kutulisha uchafu , wengine wanaua wengine mradi wapendwe , hadi kutegana sumu, Wengine kuhonga hadi vitu vya thamani ili tu apendwe.

Kwa hiyo mkuu ulivyokaa na kamati ya kichwa chako ukasema huyu mshikaji ni kumuoverdose kwa sukari kwanza !! hii ikishindikana basi haikua bahati yangu ! Nimecheka sana
 
Niliona anakosa vitamin sex
Nikampa halafu nikampa tena 😂
 
Ilishawahi kunikuta
Sikumuuliza shida nini wala nini....nilichofanya nikafululiza kumpa kei bila ya kuniomba,mbona penzi likaanza kuwa jipya.... anatext na kupiga kila wakati

#haters watakuja kuniambia kei ndio kitu pekee nilichoona cha kuoffer 🤭
Hahahaaa mbona unajishtukia😆😆
 
Ilishawahi kunikuta
Sikumuuliza shida nini wala nini....nilichofanya nikafululiza kumpa kei bila ya kuniomba,mbona penzi likaanza kuwa jipya.... anatext na kupiga kila wakati

#haters watakuja kuniambia kei ndio kitu pekee nilichoona cha kuoffer
Si ni kweli, kweni hua mna cha ku Offer zaidi ya hicho? Pesa hamtoagi nyinyi, siraha yenu ni hiyo tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom