Facebook accounts kudukuliwa

Mlolwa Edward

Member
Nov 1, 2016
45
61
Jamani sasa hivi facebook kuna wimbi kubwa sana la account za watu zimedukuliwa. Jambo la kusikitisha na kutia aibu kupitiliza ni kwamba account hizi zinatumia na wadukuzi kurusha maudhui ya ngono za wazi (explicit content).

Yani ni too much kiasi kwamba huwezi scroll feed mara tano bila kukuta hivi vitu. Wito wangu kwa majukwaa ya habari kama haya naombeni jamani muweze kuwaelimisha watu juu ya hili, vilevile ujumbe huu uwafikie serikali na mamlaka zake watu hawa (wadukuzi )waweze kufatiliwa na kushughulikiwa.

Ni too much sio kwenye groups sio Personal accounts
 
Kila mara TUJITAHIDI kubadilisha password
 
POle sana!
Waliodukuliwa ni watu wako unaowafuatilia au ni meta inakuletea vitu uvipendavyo?
 
Jamani sasa hivi facebook kuna wimbi kubwa sana la account za watu zimedukuliwa. Jambo la kusikitisha na kutia aibu kupitiliza ni kwamba account hizi zinatumia na wadukuzi kurusha maudhui ya ngono za wazi (explicit content).
Sijui itakuwaje kwa wale wanaowaridhisha wapenzi wao remotely
 
Wengi hawajadukuliwa. As per my observation, wanakuwa tagged.

Mtu mmoja anadukuliwa kisha account yake inashare, lakini anaposhare anatag watu zaidi, na kwa kuwa mtumiaji ameruhusu post ambazo amekuwa tagged kuonekana kwenye ukurasa wake basi inaonekana.

Nini cha kufanya?
Zuia post zote ambazo unakuwa tagged kuonekana mpaka ureview. Facebook wana hiyo option, kama utaridhia post husika kuwa displayed on your page then itaenda hewani. Kama utaona ina ualakini basi you unakataa na kujiondoa katika tag husika.

Swali ni je, wangapi wanajua hiyo settings? Asilimia kubwa ya watumiaji wa Facebook nchini Tanzania hawana uelewa kabisa na matumizi ya mtandao.
 
Back
Top Bottom