Wile GAMBA
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 1,809
- 595
Huyu Waziri Mkuu wa zamani je?
- Angalau umekubali kwamba hili tatizo huna jawabu nalo kuliko wanaojifanya kurusha matusi, na maneno mengi, watawala wana vx8 na nyinyi yale yale, aibuuu sana!
- Tizama wale wananchi waliojazana pale, wao wamekuja kwa miguu lakini viongozi wao wanakuja na m-vx8 wapo na kulia peoples power! ya nani sema VX-8 power!
William.
ki.
Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?
- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?
- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William.
View attachment 54787
- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!
William.
Think critically Billy, unalenda picha za wapiganaji wa msituni wa miaka ya sitini, kujustify harakati za kisiasa kwa maisha ya karne ya 21, do u real think reasonably? Hivi ni kweli maisha ya leo utakuta watu wanavaa kaputura na kutembea bila viatu? Mwl. Nyerere aliwahi kutumia Rolse Royce, Pijo, Landlover kwa wakati huo zilikuwa gari za kifahari sana. Lakini leo 2012, mtu akiendesha VX V8 ya 2001 ni gari ya kawaida sana (Kama inayotumiwa na Mbowe - Fuatilia mitandao ya kuuza magari ya kijapani), viongozi wa serikali ya JK na CCM wanatumia VX V8 za 2010 na 2011 (yaani latest), very expensive vehicles and parts. Hiyo ya Mbowe ukienda Lindi street mpaka ngine yake unaipata. Acha upotoshaji. Pili si dhambi kwa mtu kumiliki mali ya halali kutokana na mapato yake halali, ingekuwa ni alegation sahihi kama ungetuambia Mbowe anamiliki mali kutokana na mapato yasiyo halali ama yasiyolipiwa kodi. Vinginevyo huna hoja.View attachment 54787
- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!
William.
View attachment 54787
- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!
William.
View attachment 54787
- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!
William.
Najua roho inauma mambo yamebadilika hujapata nafasi ya kutuhujumu directly kama dingi yako alivyofanya.kwenu mmeiba vx8 ngapi mpaka sasa,roho mbaya imekutanda kama wingu,sie twamwamin kamanda wetu.ki.