Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

Apr 27, 2006
26,588
10,374
ki.
Margaret__BourkeWhite__Portrait_of_Mahatma_Ghandi.jpg

Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.
 
Attachments

  • mbowi.jpg
    mbowi.jpg
    44.5 KB · Views: 173
Yaani hapa umeongea kishambenga kweli kweli, Tunaomba utuwekee na za mwalimu pia sababu hata yeye alipigana kwenye mazingira magumu sana, Au kwa vile yeye alifrustrate issues za mzee, ha ha ha mha mha mha haa, unafiki bwana.
 
Yaani nawe toka uchemshe kwenye ile ya AM akili haifanyi kazi tena umelewa na nini mkuu?
 
Ndo maana unastahili hali ya upedezhee ulonayo kama kinje...hufai siasa.unajipendekeza wakti uteuzi ushapita.utaihama nchi 2015 kutokana na jina lako surname yenye laana ya mwalimu.period
 
Tunakuheshimu sana Willie kama hoja za nguvu zimekushinda sema ..kwa staili hii ya hoja hafifu unajishushia hadhi

View attachment 54784

nitupie picha ya mbunge wa ccm mwenye ki vitz

Mnyika ni tofauti na watawala na ni tofauti na wengi CDM! Mnyika ni Mnyika kwa hoja na kwa matendo. Big up Mnyika, ugomvi wangu na Mnyika umebaki kwenye posho tu. Akiungana na Zitto basi amemaliza.
 
Hakuna anayechukia mtu yeyote kuwa na gari zuri la thamani, bali kinachogomba ni kutumia fedha za umma kufanya hivyo. Ndo maana hatuhoji magari yako binafsi, wala hatuna sababu ya kuhoji gari binafsi la Mbowe.
 
Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.

William usichanganye mambo, yanayolalamikiwa na wananchi ni matumizi mabaya ya kodi zao kwenye mambo yasiyokuwa na umuhimu wowote kwa maisha na ustawi wa walipa kodi. Hapo hata kama umeona ma-VX V8 ni kwamba hayajanunuliwa kwa fedha za walipa kodi wa TZ, mafuta na gharama za matengenezo(maintenance) hazitokani na hazina yetu. Umeona jinsi ambavyo wanaaminika kiasi cha kuweza kuwachangisha watu kwenye mikutano yao, jaribuni na nyinyi kuomba michango ya wananchi kama mtapata hata thumni.
 
Huyu mwanzisha maadandiye yule aliyekuwa mgombea ubunge wa Afrika mashariki na akakosa?. Kama ndo yeye jina la Bwana lihimidiwe maana kwa pumba hizi sijui kama angeweza kweli kuitetea nchi yake. Poor him
 
I never knew you were this empty headed and very shallow upstairs...huko unakosema kuchelewa kufika uwanjani sielewi una mantiki gani maana naona ni porojo kama za kwenye vijiwe vya kuuza kawa pale kariakoo labda kama na wewe umeanza kukaa kwenye hivyo vijiwe sawa.

Kama msafara wa Mbowe ungefika baada ya saa kumi ambapo mkutano ndio ulipaswa kuanza then ningekuelewa lakini walifika before saa kumi which was okay.

Ulitaka Mbowe atembelee Bajaj?? VX8 inahusiana vipi na ukombozi? Fikra zako ni finyu sana unapigia kelele VX ya Mbowe wakati Serikali ya CCM ina magari yenye thamani ya trilioni 4.

Narudia tena very shallow thread and thinking
 
Mnyika ni tofauti na watawala na ni tofauti na wengi CDM! Mnyika ni Mnyika kwa hoja na kwa matendo. Big up Mnyika, ugomvi wangu na Mnyika umebaki kwenye posho tu. Akiungana na Zitto basi amemaliza.

SA.jpg

- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!

William.
 
Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA
CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.

Hao walikuwa ni wakombozi waliokuwa wakitaka kuwakomboa wanyonywaji toka kwa wanyonyaji. Walikuwa wakiishi misituni na walikuwa na mitutu ya bunduki wakiwindana na wanyonyaji. Hawa wengine wanataka utawala kuwaondoa watawala waliopo. Wao wana nafasi ya kutembea na kutamalaki hadharani siwezi kuwalinganisha na akina Moises Samora Machel.
 
Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

William.
Mbaazi ikishindwa kutoa maua husingizia jua!!
Kila wakati binadamu anatakiwa awe na ustaarabu wa fikra. Mawazo ya kutumwa au kutumiwa huharibu UTU wa mtu hata angekuwa msomi. Nini maada ya thread hii for heaven's sake!!
 
kule wanampigia makofi ukimponda ana ku unfriend

Yaa, uko sahihi nakumbuka wakati anagombea Ubunge EA nilitofautiana naye aka niunfriend baada ya harakati za Ubunge kwisha akaniomba tena urafiki. Hii mbaya sana mtu kuwa kinyume nawe kwa hoja unamkataa urafiki.
 
point of correction hayo magari ya CHADEMA walinunua wananchi na mengine kwa njia ya misaada sio kwa hela ya chama......alaf kama point ni magari wabunge wa Magamba mbona wanamagari mpaka ya million 800
 
Back
Top Bottom