Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!





ki.
Margaret__BourkeWhite__Portrait_of_Mahatma_Ghandi.jpg
 
Ama kweli busara haiuzwi dukani.....huyu jamaa sijui haelewi maana na thamani ya kuwa 'kiongozi'?......hii ni MB 4-MATIC YA Pope

pope_mobil_1.jpg
 
William Hiyo picha ya Mzee Neru muonyesha mzee John Cygwesima kama reflexion yake katika uongozi wake kwa Tanzania, je naye kafanya hivyo.Lakini pia jaribu kugeuza ubongo wake ufanye tafakuri ya maana kama viongozi wagamba wana mchango wa maana katika maendeleo ya Taifa kama siyo kuendeleza ufisadi.KAMA UNATAKA KUPEWA NAFASI YA NEPI KATIKA CHAMA CHA MAGAMBA UJACHELEWA. JK ANAWEZA KUKUSAIDIA
 
Huyu jamaa lazima ajiangalie afanye check up ya hilo limwili lake asije akakuta kisukari kinamtafuna kwasababu hata kufikiria kumepungua
 


Suicide (Latin suicidium, from sui caedere, "to kill oneself") is the act of intentionally causing one's own death. Suicide is often committed out of despair, the cause of which can attributed to a mental disorder such as depression, bipolar disorder, schizophrenia, alcoholism, or drug abuse. Stress factors such as financial difficulties or troubles with interpersonal relationships often play a significant role.

TUELEZE KWA NINI ULITAKA KUJIUA?
 
Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!


William.

mkuu! umetoa reasonable doubts ambazo inapasa tujiulize ....

 
Le Bahari Mbowe bila hata kuwa Mwenyekiti Hiyo VX anayo hili halina husiano wowote na ukweli ambao unalalamikiwa na wananchi kuhusu watawala wako kutumia hovyo rasilimali za Nchi!Unajaribu kuwahaminisha wapiga kura kwa kifupi wameshawapotezea mbinu zenu zote zimeshindwa na watu wanasongambele.

Mytake:M4C Inasongo kwa mwendo wa light anzisheni yenu tuone itakuwaje!
 
Ama kweli busara haiuzwi dukani.....huyu jamaa sijui haelewi maana na thamani ya kuwa 'kiongozi'?......hii ni MB 4-MATIC YA Pope

pope_mobil_1.jpg
Wacha we! sasa hii huoni itakuwa ni muendelezo wa kaulimbiu ya akina Mramba kwamba 'hata wananchi ikibidi wale majani ili ndege ya rais inunuliwe'? nchi haipo vitani hii bana, gari yoyote yenye matairi manne inamtosha Mbowe and co. Huo ndio ukweli.
 
eeh nawe unauchungu na hii nchi?
hivi leso ya kwanza kununua kwa fedha yako ulinunua lini au bado kodi zetu zinahusika?
 
you are right kaka. maswali ya msingi yapewe majibu ya msingi, sio
hata baba mwanaasha huwa anajibu kihuni kwahiyo wa kulaumiwa ni yeye kwasababu katuambukiza na ss raia, si unaona hata maswali ya msingi yanavyojibiwa kihuni mjengoni????!????
 
Goi goi wa kufikir huyu,thnk big kaka.
U better knw that hakuna uniform way ambayo mkomboz yeyote lazma aipitie for the aim of achive his/her task.angalia mabadiko ya technology kila kukicha,acha ku2rudisha zama za kale,
 
you are right kaka. maswali ya msingi yapewe majibu ya msingi, sio blah blah.

Hata baba mwanaasha huwa watanzania kihuni kwahiyo wa kulaumiwa ni yeye kwasababu katuambukiza na ss raia, si unaona hata maswali ya msingi yanavyojibiwa kihuni na manaibu waziri mjengoni????!????
 
Heshima yako kaka Billy.

Nakupongeza kwa ujasiri wako wa kuthubutu kuandika juu ya chama chenye wapenzi wengi sana nchini. Una uthubutu.......

Ngoja nikuonyeshe ulitakiwa kufanya nini kabla hujaandika. Itakusaidia sana siku za usoni. Unaposema....


  1. Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

  • Umeonyesha kuwa upeo wako unahusisha utekelezaji wa sera zenye kasoro na kutumia magari ya kifahari, walinzi, bendera na kubwa zaidi dereva as if magari yalitakiwa yawe co piloted (labda unaangalia sana sinema za sciencefiction)
  • Bendera ni identity! Hata wakati ukiwa baharia wa meliza SINOTASHIP, nazo zilikuwa na bendera
  • Walinzi ni jambo liko wazi kabisa unless uwe unalindwa na watu wasioonekana kama alivyosema mtabiri Fulani
  • Kimoyoni uko Chadema nadhani maana umependa kombati!

  1. NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

  • Itabidi ukae chini usome tofauti kati ya political party na resistance movement. Unachanganya masomo. Tafuta kitabu kinaitwa Waging Nonviolent Struggle: 20th Century Practice and 21st Century Potential cha Gen Sharp. Utajua kwanini siku hizi hakuna mapinduzi kama zamani. Lazima ujue kutofautisha zama, madhumuni ya mapambano na watu walio katika mfumo

  1. KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

  • Kuongoza ni mfano zaidi. Sasa wewe ambaye ulitaka kuongoza halafu unamiss such basic stuff? Haiyumkini kura hazikutosha
USHAURI:

  1. Soma sana uongeze maarifa. Kwa sasa, umepwaya sana. Kama itakupendeza….tutakusaidia vitu vya kusoma
  2. Take time to think kabla hujasema au kuandika. Maandishi huwa hayafutiki. Tutakuja kukuonyesha what you wrote ukiwa popote pale unagombea nafasi yeyote ile. Hili ni la muhimu sana kuzingatia
  3. Wahenga walisema “ A silent fool is counted wise”
.
Margaret__BourkeWhite__Portrait_of_Mahatma_Ghandi.jpg


- Tizama wakombozi wa wananchi hawa, wanafanana na wananchi wanaotaka kuwakomboa, ni maoni yangu tu!

William.

Huna hoja... Kajipange tena
 
Mzee umechanganya madawa; SAVIMBI ni kibaraka wa Marekani na aliuawa na wamarekani walipomtosa kama mlivyo nyinyi ndani ya CCM mkiongozwa na Joka Kuu ambalo kwa muondoko wa marekani mtatoswa na kuwa kitoweo chao.

Pamoja na kutumia mali zetu kujitutumua kwa mashingi na matumbo yasiyo na shukrani, nawaonea huruma sana kwa matokeo ya kasi ya somo la ukombozi linaloendelea na M4C na kuitikiwa.

Kwa sasa umeonyesha dhahiri mafanikio ya sera ya usisiem ya wivu kwa wanaojituma tofauti na kuangalia mahitaji ya wananchi wa kawaida
 
Nadhani huyu W. J. Malecela anapaswa kutuomba radhi wana JF kwamba hatujui gari za kifahari ni gari zipi? sasa ili kumshushuwa huyu kilaza kwanza naweka Link kwa asiyejuwa haya magari mitumba bei zake na ajuwe kuanzia leo. Huyu Le Mutuz ni Mnafki mkubwa.

[h=1]2001 Toyota Land Cruiser[/h][h=2]2001 Gold Package V8 leather all the extrasResearch 2001 Toyota Land Cruiser[/h]


$%28KGrHqJ,%21jYE9IsNdP2PBPZ8YLdO7%21%7E%7E60_35.JPG



  • Enlarge


$%28KGrHqJ,%21jYE9IsNdP2PBPZ8YLdO7%21%7E%7E60_14.JPG
$%28KGrHqN,%21osE9d%21CsrWdBPZ8YmIFwQ%7E%7E60_14.JPG
$%28KGrHqR,%21rYE88g6W7ESBPZ8YrnjGg%7E%7E60_14.JPG
$%28KGrHqR,%21rcE88g9dqpTBPZ8Y0K%21%28%21%7E%7E60_14.JPG



s.gif


Sell one like this
Item Location:Littleton, Colorado, United States
Time left:6d 10h (Jun 03, 201216:57:28 PDT)
Price:US $16,500.00Buy It NowBuy It Now
Best Offer:Make OfferMake Offer
Add to Watch list











 
Last edited by a moderator:
Nadhani huyu W. J. Malecela anapaswa kutuomba radhi wana JF kwamba hatujui gari za kifahari ni gari zipi? sasa ili kumshushuwa huyu kilaza kwanza naweka Link kwa asiyejuwa haya magari mitumba bei zake na ajuwe kuanzia leo. Huyu Le Mutuz ni Mnafki mkubwa.

2001 Toyota Land Cruiser

2001 Gold Package V8 leather all the extrasResearch 2001 Toyota Land Cruiser



$%28KGrHqJ,%21jYE9IsNdP2PBPZ8YLdO7%21%7E%7E60_35.JPG



  • Enlarge

$%28KGrHqJ,%21jYE9IsNdP2PBPZ8YLdO7%21%7E%7E60_14.JPG
$%28KGrHqN,%21osE9d%21CsrWdBPZ8YmIFwQ%7E%7E60_14.JPG
$%28KGrHqR,%21rYE88g6W7ESBPZ8YrnjGg%7E%7E60_14.JPG
$%28KGrHqR,%21rcE88g9dqpTBPZ8Y0K%21%28%21%7E%7E60_14.JPG


s.gif


Sell one like this
Item Location:Littleton, Colorado, United States
Time left:6d 10h (Jun 03, 201216:57:28 PDT)
Price:US $16,500.00Buy It NowBuy It Now
Best Offer:Make OfferMake Offer
Add to Watch list









 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom