Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

ki.
Margaret__BourkeWhite__Portrait_of_Mahatma_Ghandi.jpg


- Sometimes ni kuacha picha ziseme ukweli kuliko makelele na matusi!, mkuu tizama FACTS hapo zinavyojisema!

William.
williama huu ni utoto, jiulize kama huyo baba yako mwenyewe alikuwa akivaa hivi wakati wa ukombo na chama chake cha magamba
 
Labda kwa wale ambao hamumfahamu Huyu Baharia William Malecela ni kwamba wakati anagombea Ubunge wa Afrika Mashariki alikuwa na matumaini makubwa sana kwamba angeshinda kile kiti kwa kutumia mgongo wa Kura za Wabunge wa Chadema, lakini matokeo yake Chadema wakamchinjia Baharini.

Msitegemee tena William kama atakuwa na furaha na Chadema kwani ndio waliozima ndoto zake za kujizolea mshahara wa shilling Million 19 kwa mwezi, kinachomuuma zaidi ni kwa nini Chadema wote walimpigia kura Shyrose Banji halafu wakamnyima kura yeye!? hiki ndicho kilichopo moyono mwa William. To hell.
 
- Angalau umekubali kwamba hili tatizo huna jawabu nalo kuliko wanaojifanya kurusha matusi, na maneno mengi, watawala wana vx8 na nyinyi yale yale, aibuuu sana!

- Tizama wale wananchi waliojazana pale, wao wamekuja kwa miguu lakini viongozi wao wanakuja na m-vx8 wapo na kulia peoples power! ya nani sema VX-8 power!

William.

Willy
Ningeomba nijifunze kutoka kwako, Kosa ni kutumia gari la thamani, kosa ni kuwa kiongozi au? Ukumbuke Chadema haifuati siasa za ujamaa. Na tunaamini ujamaa umeshindwa , tuna amini serikali kutengeneza mazingira mazuri na kuwafanya wananchi waweze kufanya kazi, kulipa kodi, kufanya biashara na kuwa wabunifu. Tatizo letu kubwa kama nchi hatuna ma-God Father- watu wanaofanya kazi au biashara kwa bidii na kufanikiwa kwa kazi halali na kulipa kodi ili wananchi na watoto waojituma wafuate mfano mzuri. Mimi sioni picha za watu masikini waliokata tamaa zinasaidia sisi kuendelea. uonisha jitahada na mafanikio.

Kuna faida gani kama jitahada za mtu zitazaa umasikini?? matumaini ni nini? Fikra za kimasikini ndizo zimeangamiza taifa. Kiongozi tegemezi na asiyena fikra za kujitegemea kiuchumi ni hatari sana. Tunahitaji mafanikio ya kweli na uwazi usio na mawaa. sababu kubwa ya vijana wengi kuvutiwa na upinzani ni hali ya kuona kumbe hata mtoto wa masikini anaweza kuwa kiongozi akijituma, haihitaji uwe wa familia ya fulani. Tatizo kubwa Tanzania kuna watu waliamini baadhi ya maisha, vitu na hali ni zao tu. Tunahitaji mabadiliko ya kifikra fikra zitakazo safisha mitaro yetu ya maji machafu, fikra zitakazo fanya mtanzania apende maisha bora, akiwa kazini afanye kazi kwa bidii aogope mikataba mibovu akijua kwamba inamwathiri yeye na familia yake

Tunahitaji wananchi watakaopenda maisha bora ya halali kwa kufanya kazi kwa bidii, tunahitaji wabunifu, wajuzi na tuwe tayari kuwapongeza na kuwapa moyo. Tunahitaji wagunduzi na watumiaji wanaoweza kutumia. Kuishi kimaskini ili utuzuge sisi masikini ni unafiki. Kama umepata halali kwa nini ufiche?? Leo hii nchi inafilisika kwa sababu ya wanasiasa kuiba na kuficha nje na wanakufa na kuacha kodi zetu kwenye mabenki ya nje.

Mwisho hoja ijibiwe kwa hoja. Sijawahi tukana naomba ujibu hoja.
 
ki.
Margaret__BourkeWhite__Portrait_of_Mahatma_Ghandi.jpg


Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!


William.

baada ya kuangukia pua kugombea ubunge naona sasa unafanya kazi ya kujibaraguza mitandaoni.

pole sana. hatutaki mwenyekiti masikini.

mwenyekiti wenu nyie anatokea ukoo masikini ndo maana anauza nchi kutafuta utajiri wa harakaharaka.
 
View attachment 54787


- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!


William.

Mkuu tunakuheshimu sana... Naona unataka kuchukua majukumu ya vijana wa NAPE hapa JF... Tusingependa kukuattack kwa hoja ambazo ni verry weak... Tatizo letu siku zote ni kwamba Ma VX V8 umwyapata kivipi?

Issue yetu ni kwamba watawala kujinunulia VX V8 kwa kodi za wananchi huku wakilazimisha pikipki zibebe wagonjwa na wamama wajawazito haikubaliki.. ndiyo maana tunapiga kelele.. Lakini huwezi kusema Rais wa nchi akafanye ziara na Korola au Vitz kuzunguka Tanzania Nzima ni kitu ambacho hakiwezekani hata kidogo.

Sasa majukumu ya viongozi wakuu wa CDM mfano Mbowe na Dr Slaa kwa sasa ni zaidi ya Rais wa nchi hii kwani wanazunguka nchi nzima kuhakikisha watu wanaelewa kuhusu katiba mpya na mchakato wake.... Nasema hivyo kwa sababu serikali imejivua jukumu la kuwapa watu elimu ya uraia.

Hata Hivyo Magari yale ni yamenunuliwa kwa pesa binafsi za viongozi hao wa CDM au CDM imewanunulia.
Swala hapa ni kwamba hatukatazi watu kuwa na Pesa na hatimaye kununua magari ya kifahari maana CDM hatuamini katika Umasiki kama CCM na kauli za kuwadanganya wananchi eti kiongozi masikini ndiyo hataiba wakati tunaona mtu miaka miwili tu anamiliki Nyumba ya Zaidi ya Bilioni....

Sisi tunaamini katika watu ambao wako smart wanaweza kutafuta hela na ni wazalendo waaminifu kama kina Mbowe, Ndasmburo etc...

Nakushauri usiendelee kuja na hoja zisizo na mashiko kama hizi maana waTZ wa leo siyo wale wa zamani watu wanakuelewa unataka kusema nini..
 
Mzee wangu hakika unaelekea kupata aibu kubwa sana nilitegemea kuona ukitoa busara zako katika hali ya siasa na uchumi wa nchi yetu lakini umegeuka mwenezi wa itikadi zisizo na maslai kwa wananchi, wewe ni level za mzee Mwinyi lakini kwa busara zako finyu umekuwa hauaminiki ktk mambo nyeti ya nchi yetu kama kuiwakirisha nchi kwny bunge la africa mashariki na hata kwny tume ya katiba. Fungua macho mzee unazihujumu busara zako..!
 
Kweli kipenda roho hula nyama mbichi na mkuki kwa nguruwe.
Hata kama CDM hayo magari ni magari binafsi haiondoi dhana ambayo sisi walipa kodi tutakayoipata kuwa these clowns are extravagant, and they will dry the hazina within a month once they have been given mandate pale Magogoni. Ni valid concern kwa mvuja-jasho..wana-CDM wanaeza kujibu f-u kama tunavoona hapa JF lakini CCM wakiitumia hii msilalamike maana mmewapa points za mezani. Unapoenda kukopa mahali lazima uwe na conviction power ya kutetea hoja zako kwanini ukopeshwe, na CDM kama haioni umuhimu wa kuonekana ina shida ya 'kukopa' basi isishangae CCM itakapopewa mkopo wakati wao wakijidhania wanavyo vigezo vyote. my point is, CDM should not get ahead of itself, ichukue hizi changamoto zote na kuzifanyia kazi ili kizidi kukubalika na watz. kuna low cost moves and rhetorics nyingi inaweza kuzifanya ikaonekana kwa wananchi kwamba ipo nao pamoja. ijifunze na isitie kujua kila kitu, wengine tunachukia watu wanaojua kila kitu!
 
Kwanza enzi za kina che guevara na mahatma gandhi hata hayo ma-v8 hayakuwepo. Mbona sasa hivi castro anatumia benz. Acha hizo bro.
 
le baharia anafiti sana kwenye kiwanda cha kutengeneza kanga aweze kuwatungia misemo yakuandika kwenye kanga.
 
View attachment 54787


- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!


William.
Think critically Billy, unalenda picha za wapiganaji wa msituni wa miaka ya sitini, kujustify harakati za kisiasa kwa maisha ya karne ya 21, do u real think reasonably? Hivi ni kweli maisha ya leo utakuta watu wanavaa kaputura na kutembea bila viatu? Mwl. Nyerere aliwahi kutumia Rolse Royce, Pijo, Landlover kwa wakati huo zilikuwa gari za kifahari sana. Lakini leo 2012, mtu akiendesha VX V8 ya 2001 ni gari ya kawaida sana (Kama inayotumiwa na Mbowe - Fuatilia mitandao ya kuuza magari ya kijapani), viongozi wa serikali ya JK na CCM wanatumia VX V8 za 2010 na 2011 (yaani latest), very expensive vehicles and parts. Hiyo ya Mbowe ukienda Lindi street mpaka ngine yake unaipata. Acha upotoshaji. Pili si dhambi kwa mtu kumiliki mali ya halali kutokana na mapato yake halali, ingekuwa ni alegation sahihi kama ungetuambia Mbowe anamiliki mali kutokana na mapato yasiyo halali ama yasiyolipiwa kodi. Vinginevyo huna hoja.
 
View attachment 54787


- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!


William.

Wewe umekosa hoja na umebaki emty kama mafsadi wenzako walivyo siku hizi badala ya wao kujadili masuala yanayo waface wananch wanatumia muda mwingi kuijadili chadema takatifu pamoja na viongozi wake na kwa hili ccm itaendelea kuchukiwa more and more sababu maisha ya watanzania yanazidi kuwa magumu siku hadi siku na magamba ccm wao wanaipondaga tu chadema. WALIOKO CCM WOTE WANA MASLAI YAO HUKO NA KAMA HAWANA MASLAI BASI NI WAPUMBAVU TU NA HAWASOMI ÅLAMA ZA NYAKATI.
 
mbowe alipopewa vx na serikali ya ccm alipotaka kulikataa aliambiwa kuwa anavunja sheria,akaamua kulichukua lakini akijua mwisho wa sheria za ccm za kujigawia mali za uma na kuzitumi kuzibia wapinzani midomo mwisho wao ni katiba mpya.
kuna sheria nyingi za kufutwa si za magari tu,hata posho,misafara ya viongozi na kuuziana nyumba za serikali.

badala ya kumlaumu mbowe walaumuni hao walafi ccm na sheria za wizi.
 
View attachment 54787


- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!


William.

Una compare kifo na usingizi
enzi za savimbi che G,na wengineo nadhani hata vitani kulikuwa hakuna AK47
na savimbi hakufanikiwa kwa stail aliyotumia.
sasa iweje leo unataka mbowe atumie stail za zamani kutafuta ukombozi
jaribu hata kufikiri kidogo kabla ya kuchangia,nadhani uliona stail walizo tumia US kummuuua OSAMA
tembea na technologia!!
 
Mwanafunzi: Nini maana ya unafiki?

Mwalimu: Unafiki ni mkusanyiko wa tabia ana matendo mengi

Mwanafunzi: Nitajie moja ya matendo hayo!

Mwalimu: Kusema usiyoyatenda

Mwanafunzi: Je kuna mifano katika hilo?

Mwalimu: Ndio, kama Mbowe! Alikataa gari akalifuata na bado analitumia, alikataa posho bado anazichukua, anajifanya kutetea masikini lakini anatumia magari ya kifahari.

Mwanafunzi: Kwa hiyo mbowe MNAFIKI?

Mwalimu: Jibu unalo mwenyewe, haya tukapumzike tutaonana baadae
 
ki.
Margaret__BourkeWhite__Portrait_of_Mahatma_Ghandi.jpg


Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

- NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

- KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!


William.
Najua roho inauma mambo yamebadilika hujapata nafasi ya kutuhujumu directly kama dingi yako alivyofanya.kwenu mmeiba vx8 ngapi mpaka sasa,roho mbaya imekutanda kama wingu,sie twamwamin kamanda wetu.
najua usingizi hupata,hasa ukifikiri siku zijazo mjengono ni mpaka wananchi wakukubali,haina kubebwa hiyo.walaumu mafisadi kukutosa pamoja na hongo ulizotoa.nimeamini ukubwa wa kichwa sio uwezo wa kufikiri.
 
Hizi thread wanazoanzisha watu wengine hadi nahisi kutaka kutapika,hivi kasoma(msomi) ndio anatoa pumba za hivyo je asingesoma ingekuwaje!acha nirudi nyumbani nikalale yaani mpaka nahisi usingizi.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom