Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

Kimbunga, hapo kwenye bold, ndo tunauita unafiki. Kwa nini tupende kudanganywa? Hivi wewe unapenda watu wafanye mambo kwa kificho? Kama mtu ana gari la kifahari halafu akaliweka nyumbani na kupanda daladala ili aweze kuaminika ni miongoni mwa wapanda daladala, huo ni ulaghai na unafiki. Tunachopinga sisi ni Serikali kutumia fedha za walalahoi kufanya anasa. Endapo wangetumia pesa zao za mifukoni/mishahara yao, tusingegomba.

Mie binafsi sioni hatari mtu kutumia alichokipata kwa uhalali, ni mali yake na atumie atakavyo. Na kwa taarifa yako, Viongozi wa chadema hawapendi unafiki, ni tofauti na wale wa MAGAMBA wanaopanda ndege, huku magari yao ya kifahari yakitangulizwa waendako.

Its a shame tunashindwa kuliona jambo hili kwa upana wake. Hakuna dhambi kwa mtu kutumia alichopata kwa jasho lake, dhambi ni kutumia kichotokana na jasho la wengine kwa manufaa ya mtu binafsi.
Mkuu bombu una maana yale ni magari yao binafsi? Hata ikiwa hivyo sawa. Sasa kama wanatumia magari yao binafsi aina ya V8 wakichukua nchi ndio watatumia RAV4 au wataendelea kutumia magari yao binafsi V8?
 
Last edited by a moderator:
Ninamashaka na uwezo wako wa uelewa wa jambo, je savimbi alikua anaendesha harakati zake kwa uwazi au alikua mafichoni? Pili hayo mazingira ya savimbi kuwa huko porini ni ya kawaida au alilazimika kuwa huko? Fananisha na harakati za mbowe na chadema na utapata jibu na kama cdm ingefanya kama alivyokua savimbi nakuapia kuwa ccm leo hii ingekua imekwisha ng'oka madarakani.
 
Mkuu bombu una maana yale ni magari yao binafsi? Hata ikiwa hivyo sawa. Sasa kama wanatumia magari yao binafsi aina ya V8 wakichukua nchi ndio watatumia RAV4 au wataendelea kutumia magari yao binafsi V8?

lengo sio kutumia RAV4 au kutotumia. Hapa suala ni jee! hayo magari wanayotumia yanatokana na nini? Tusimnyime mtu uhuru wa kuenjoy life alilolitafuta kwa jasho lake mwenyewe, eti kwa sababu ni kiongozi. Ila tupinge viongozi wanaotumia pesa na rasilimali zetu kwa starehe zao binafsi. Nahisi we have a loong way to go, ila kama unatambua, kwa sasa hatuhubiri ujamaa, bali dhaman ya uongozi na uwajibikaji wa watawala kwa wananchi waliowaeka madarakani. Na matmizi ya rasilimali za umma kwa maendeleo ya TAIFA na si watawala.

Hope utanielewa namaanisha nini Kimbunga
 
Achana na huyu wj malecela, muulizeni alisoma wapi na kwa fedha za nani? Huyu ni miongoni mwa wachache waliokula mafao yetu wakiwa bado vijana na wazazi wao pia ni wezi tu, tena akitaka mapambano ya akina savimbi atakua katika hali mbaya yeye na familia yake.
 
Heshima yako kaka Billy.

Nakupongeza kwa ujasiri wako wa kuthubutu kuandika juu ya chama chenye wapenzi wengi sana nchini. Una uthubutu.......

Ngoja nikuonyeshe ulitakiwa kufanya nini kabla hujaandika. Itakusaidia sana siku za usoni. Unaposema....

  1. Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

  • Umeonyesha kuwa upeo wako unahusisha utekelezaji wa sera zenye kasoro na kutumia magari ya kifahari, walinzi, bendera na kubwa zaidi dereva as if magari yalitakiwa yawe co piloted (labda unaangalia sana sinema za sciencefiction)
  • Bendera ni identity! Hata wakati ukiwa baharia wa meliza SINOTASHIP, nazo zilikuwa na bendera
  • Walinzi ni jambo liko wazi kabisa unless uwe unalindwa na watu wasioonekana kama alivyosema mtabiri Fulani
  • Kimoyoni uko Chadema nadhani maana umependa kombati!

  1. NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

  • Itabidi ukae chini usome tofauti kati ya political party na resistance movement. Unachanganya masomo. Tafuta kitabu kinaitwa Waging Nonviolent Struggle: 20th Century Practice and 21st Century Potential cha Gen Sharp. Utajua kwanini siku hizi hakuna mapinduzi kama zamani. Lazima ujue kutofautisha zama, madhumuni ya mapambano na watu walio katika mfumo

  1. KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

  • Kuongoza ni mfano zaidi. Sasa wewe ambaye ulitaka kuongoza halafu unamiss such basic stuff? Haiyumkini kura hazikutosha
USHAURI:

  1. Soma sana uongeze maarifa. Kwa sasa, umepwaya sana. Kama itakupendeza….tutakusaidia vitu vya kusoma
  2. Take time to think kabla hujasema au kuandika. Maandishi huwa hayafutiki. Tutakuja kukuonyesha what you wrote ukiwa popote pale unagombea nafasi yeyote ile. Hili ni la muhimu sana kuzingatia
  3. Wahenga walisema “ A silent fool is counted wise”
 
Muulize baba yako kwa kipindi chote alichokaa madarakani atakumbukwa kwa lipi la maana alilolifanyia taifa hili?

CHADEMA TUNAPINGA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA YA UMMA KWA KUTUMIKA VIBAYA,UMEPOTEA NDUGU YANGU CCM IMEISHAFIKA MWISHO MIAAKA 50 YA UHURU MTERA HAINA UMEME

SHAME ON YOUR FATHER
 
lengo sio kutumia RAV4 au kutotumia. Hapa suala ni jee! hayo magari wanayotumia yanatokana na nini? Tusimnyime mtu uhuru wa kuenjoy life alilolitafuta kwa jasho lake mwenyewe, eti kwa sababu ni kiongozi. Ila tupinge viongozi wanaotumia pesa na rasilimali zetu kwa starehe zao binafsi. Nahisi we have a loong way to go, ila kama unatambua, kwa sasa hatuhubiri ujamaa, bali dhaman ya uongozi na uwajibikaji wa watawala kwa wananchi waliowaeka madarakani. Na matmizi ya rasilimali za umma kwa maendeleo ya TAIFA na si watawala.

Hope utanielewa namaanisha nini Kimbunga

Kwa hiyo mkuu una maana una hakika kwamba katika hayo magari hakuna ambayo yamenunuliwa kwa pesa za wananchi, Iwe michango kama ya juzi ama ruzuku toka serikalini? Ina maana mwenyekiti anatumia magari yake binafsi kwenye shughuli za chama?

Mimi sikatai hata kidogo mtu kutumia magari yake ya kifahari lakini pia sina uhakika kwamba hakuna pesa za wananchi zilizotumika hapo.

Pia nadhani tujiulize suala moja kwamba kama msimamo ni serikali ya CDM kutumia magari ya kawaida kama RAV4 na bahati nzuri wakachukua dola pia bahati nzuri wakaamua kwamba serikali inatumia RAV4 kwa hiyo Mh. ataendelea kutumia gari la nyumbani katika kutekeleza majukumu ya kiserikali?
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Mkuu W J M kauliza swali zuri sana bahati mbaya hapewi majibu ana ambulia kejeli na viroja.Wanajamvi wenzangu tuitendee haki JF kama huna uwezo wa kujibu hoja kaa pembeni magauzi ya kweli yatafanikiwa ikiwa tutakubali kukosolewa na kujisahihisha.

CDM leo ni chama cha upinzani kesho kinaweza kuwa chama tawala mambo yanayotendwa na viongozi wake leo yanatoa mwanga wakipewa dola watatutendea nini !.

Tunapinga kwa nguvu zetu zetu serekali ya CCM iachane na matumizi ya magari ya kifahari bahati mbaya mbadala wa CCM naye anatumia magari ya kifahari ?.
We Ngongo mh mbowe ana maisha yake mazuri kabla hajaanzisha chadema.......
 
Nilijiuliza sana kwanini magamba walimnyima ubunge wa EA huyu muuza sura sasa jibu nimelipata, bure kabisa na kwa akili hizi hata ukatibu kata hupati labda mdingi wako arudi madarakani.
 
Heshima yako kaka Billy.

Nakupongeza kwa ujasiri wako wa kuthubutu kuandika juu ya chama chenye wapenzi wengi sana nchini. Una uthubutu.......

Ngoja nikuonyeshe ulitakiwa kufanya nini kabla hujaandika. Itakusaidia sana siku za usoni. Unaposema....

  1. Mwenyekiti wa Chama cha kuwakomboa wananchi, anapotumia magari kama ya watawala, inasema nini kuhusu huu ukombozi? VX8, tena sio moja, Wasaidizi, Dreva, MABENDERA, KUCHELEWA KUFIKA UWANJANI, bado hajashika nchi, je akishika tutegemee nini tofauti, maana haya si ndio ya kawaida kwa watawala? Kwenye kuvaa kombati sawa lakini mengine hayo mbona sawa na watawala?

  • Umeonyesha kuwa upeo wako unahusisha utekelezaji wa sera zenye kasoro na kutumia magari ya kifahari, walinzi, bendera na kubwa zaidi dereva as if magari yalitakiwa yawe co piloted (labda unaangalia sana sinema za sciencefiction)
  • Bendera ni identity! Hata wakati ukiwa baharia wa meliza SINOTASHIP, nazo zilikuwa na bendera
  • Walinzi ni jambo liko wazi kabisa unless uwe unalindwa na watu wasioonekana kama alivyosema mtabiri Fulani
  • Kimoyoni uko Chadema nadhani maana umependa kombati!

  1. NAOMBA KUTOA HOJA, MAANA WAKOMBOZI KINA CASTRO, CHE GUEVARA, MAO, NA SAVIMBI HATUKUWAONA NA MA-VX8, AU WASAIDIZI AU NI UKOMBOZI TOFAUTI?

  • Itabidi ukae chini usome tofauti kati ya political party na resistance movement. Unachanganya masomo. Tafuta kitabu kinaitwa Waging Nonviolent Struggle: 20th Century Practice and 21st Century Potential cha Gen Sharp. Utajua kwanini siku hizi hakuna mapinduzi kama zamani. Lazima ujue kutofautisha zama, madhumuni ya mapambano na watu walio katika mfumo

  1. KUONGOZA SI NI MFANO ZAIDI? MUNGU AIBARIKI TANZANIA!

  • Kuongoza ni mfano zaidi. Sasa wewe ambaye ulitaka kuongoza halafu unamiss such basic stuff? Haiyumkini kura hazikutosha
USHAURI:

  1. Soma sana uongeze maarifa. Kwa sasa, umepwaya sana. Kama itakupendeza….tutakusaidia vitu vya kusoma
  2. Take time to think kabla hujasema au kuandika. Maandishi huwa hayafutiki. Tutakuja kukuonyesha what you wrote ukiwa popote pale unagombea nafasi yeyote ile. Hili ni la muhimu sana kuzingatia
  3. Wahenga walisema " A silent fool is counted wise"
.
Margaret__BourkeWhite__Portrait_of_Mahatma_Ghandi.jpg

- Tizama wakombozi wa wananchi hawa, wanafanana na wananchi wanaotaka kuwakomboa, ni maoni yangu tu!

William.
 
ninachokiona mimi, ni kikundi cha watu wachache wenye nia ya kushika madaraka..sioni tofauti ya CDM na CCM wote wezi tu..weka hili akilini mwako..hakuna mtu hapa duniani..isipokua baba ako na mama ako wenye nia ya dhati kuona maendeleo yako..viongozi walikuwepo zamani..waliopo sasa ni watawala period..

Wote wezi tu, si Chadema wala ccm, wote ni mafisadi wa raslimali zetu. Wezi wakubwa! Pumbavu!
Matendo yao hayatofautiani, ila majina tu. Wanatufanya watoto kutuhadaa.
Dr. Slaa huwa na mahubiri mazuri sana hata alikaribia kumtoa kwenye kundi la ccm, lakini kila nikifikiria jinsi anavyoweza kukaa meza moja na watu waliojilimbikizia mali, halikuwa dada yangu afa kijijini kwa kukosa ambulance zahanati, namuona naye ni MNAFIKI TU, sawa na Kikwete, Makamba au Lowasa.
Kuamini wanasiasa ni sawa na kujizika hai, inanikera sana! Ipo siku tutafutilia mbali unafiki huu wa ccm, chdm, cuf, nk. Tuwe wamoja na tuthubutu! Mungu wetu anaita!
 
willia unajizalilisha sana mtu wangu ..unaleta picha za miaka ya 47 unataka maisha waliyoishi miaka ile ndio watu waishi leo? hujui kuwa mambo yamebailika sana ..sasa wewe ungetaka huyu mahatma atumie VX kipindi kile angelitoa wapi?
grow up willie!!
 
View attachment 54787

- Mkuu tizama nyumba aliyokuwa anaishi Savimbi!, huyo ni msaidizi amekuja kuchukua ujumbe tu, sio ma-vx8, mabendera, madereva tizama ukombozi hapo ndio maisha yake hayo juu, umemuona savimbi hapo mwenye kombati!

William.
Mkuu William,

Ninajua kabisa sijasoma shule nzuri kama uliyosoma wewe lakini nina hakika na kitu kimoja, elimu haijakusaidia kabisa kuweza kuja na hoja dhaifu na za ki-pumbavu kiasi hichi. Nyinyi watoto wa mafisadi mmeenda shule tu kwa sababu baba zenu walikuwa na uwezo wa kuwapeleka shule ndio sababu mna uwezo mdogo sana wa kujenga hoja na hata kuwaza. Nenda facebook, hapa si mahala pako.
 
Margaret__BourkeWhite__Portrait_of_Mahatma_Ghandi.jpg

- Huyu mzee hapa akisema anataka kunikomboa nitaelewa, lakini sasa watawala na wakombozi kutumia magari yale yale, VX8 sina uhakika kama ninaweza kuamini, huyu mzeee hapa wala hana haja ya kusema nikumuona tu ninaelewa kamba kweli ukombozi umekuja hapa!

- Wakuu huko juuu mnajua sana kwamba matusi hapa ni waste of time maana mimi niliamua mwenyewe kuingia bisahara ya utumbo yaani siasa, so sijawahi kuogopa harufu yaani hayo amtusi yenu, kama mnataka kuwa alternative badilikeni japo kidogo, kuendesha ma-vx8 sasa mnapotupigania uhuru je mkipata itakuwaje?

William.
 
willia unajizalilisha sana mtu wangu ..unaleta picha za miaka ya 47 unataka maisha waliyoishi miaka ile ndio watu waishi leo? hujui kuwa mambo yamebailika sana ..sasa wewe ungetaka huyu mahatma atumie VX kipindi kile angelitoa wapi?
grow up willie!!

- Unasema benzi haizkuwepo wakati ule? please!1

William.
 
Huyu Willia anamjua sana Mbowe toka zamani sana ..kabla mbowe hajaingia kwenye siasa walikuwa wanatumia magari gani? william jibu hapa
Huyu jamaa ni mnafiki sana kwasababu mh mbowe ni rafiki yake na wamekaa wote sana New york nafikiri anafanya haya kwa sababu kambi ya upinzani hawakumpa kura za eac...
 
Back
Top Bottom