Mwanamke ni nani?

Kwangu mimi mwanamke ni kiumbe mzuri anayehitaji uwe na akili kuishi naye, pia aliumbwa na Bwana kwa matumizi ya asili na sio vinginevyo (soma warumi 1:26). Japokuwa kuna wakati huwa tunakoseana lakini bado nawapenda na kuthamini uwepo wao ktk maisha yangu maana bila kusameheana hapana familia wala taifa imara. Je wewe kwako mwanamke ni nini?
Wengine wanamtumia wanamke kama chombo cha starehe kwa kumaanisha wanatuonea sana wanaume,wanatubebesha mimba wanatuacha,wanatuvua nguo, wanatutukana eg. K***m mayo ila mi binafsi nasema hiviii MWANAMKE NI JEMBE!!JIKE SHUPAVU
 
Mwanamke ni mzazi,mama,mlezi,mshauri,mwalimu,rafiki,mke na malkia wa nguvu!

Ila huyo mwanamke ukimkoroga maini,ni jambazi,adui ma kiumbe mkatili toka kuumwa hawajawahi tokea!!!na hatotokea kama yy!

PUMBA tuu... Hata cjaona point hapo

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Wengine wanamtumia wanamke kama chombo cha starehe kwa kumaanisha wanatuonea sana wanaume,wanatubebesha mimba wanatuacha,wanatuvua nguo, wanatutukana eg. K***m mayo ila mi binafsi nasema hiviii MWANAMKE NI JEMBE!!JIKE SHUPAVU

NDIO mtumie akili sasa...
Mkiendelea kuwa na akili kama za KUKU mtabaki mna complain forever

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Jamaa unawapenda wanawake wa humu wa kazi gani mzee?????
Watakupa nini hasa.... Nothing you can benefit from them...
Acha kuwashobokea.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Haha Ironic language nimetumia we unafikiri kila nachopost namaanisha Mimi nampenda Mama yangu Tu
 
Mwanamke ni kiumbe mzuri ,,mpole ,hekima, maarifa, kujitoa mhanga kwa ajili ya familia ,maana hata Eva alitaka Agundue kitu kipya ili Adamu akija afurahi,mwanamke ni MTU wa kumfurahisha zaidi mwanamke zaidi,Yaani nawapenda sana hawa viumbe maana ndo Wamenifanya mi Leo mi niitwe Mwanaume,, Napenda sana kuwaona na hasa pale wanaposumbukia kujua wanaume tunapenda nini kutoka kwenye Mwili wao haaa!haaaa! Kweli Ni mauwa yasiyo Nyauka milele maana yanapendeza kuyaona hasa pale yakiwa necked,,, Pia Wanawake Wametupa utajiri ,Pia Kiburi cha Uzima Thank you women for making me The Men,,
 
Back
Top Bottom