Mwanamke ni nani?

Halafu anayetakiwa kupewa pesa non stop.. Teh teh teh
teh hapo kwenye kupewa pesa non stop inategemea na mkwanja wa kidume, maana kuna wengine anataka kwa mwezi laki 2 wakati mme wake anaingiza laki na nusu kwa mwezi, wengine wanataka laki 8 kwa mwezi wakati mme wake anapata laki 7 kwa mwezi. Teh kazi kwenu.
 
kuweni watu wa kujishusha, mtafaidi sana hela zetu, hakuna mwanaume anaependa kushindana na mwanamke, akikukaripia ukiwa mpole mwisho wa siku anakuonea huruma.. ukiwa mwanamke wa dizaini hio utakula sana matunda yake.
Aiseee!!
 
Nakubaliana na wewe...
Nilikuwa namchokoza tu mdogo wangu atoto
 
Kwangu mimi mwanamke ni kiumbe mzuri anayehitaji uwe na akili kuishi naye, pia aliumbwa na Bwana kwa matumizi ya asili na sio vinginevyo (soma warumi 1:26). Japokuwa kuna wakati huwa tunakoseana lakini bado nawapenda na kuthamini uwepo wao ktk maisha yangu maana bila kusameheana hapana familia wala taifa imara. Je wewe kwako mwanamke ni nini?
Ni chombo flan iv amazing cha burdan
 
Back
Top Bottom