Inakuaje mwanamke unamtogoza anakukataa ila akijua una mwanamke mwingine mzuri anarudi kukuomba samahani?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Dec 26, 2017
18,113
45,832
Wakuu , Hivi inakuaje unamtongoza mwanamke anaishia kukutolea nje huku akikusindikiza na dharau za kutweza utu wako , Ila suddenly akijua unamiliki mtoto mzuri ambaye ni classic anakutafuta tena by any means ili uwe naye.

Wanawake wengi wakibongo wanaishi katika illusion Sana that is way MTU ambaye yupo na familia yake tayari anakuwa anaweza kukubaliwa na mwanamke kuliko MTU ambaye yupo single senior bachelor

NB , mimi hii michezo naijua yote Ila nimeamua kuvaa viatu vya love seekers.
 
Unahitaji kuwa na mwanamke ili upate mwanamke. Kama ilivyo ukiwa na pesa unapata pesa.
 
Nimetumia huu uzi kuwawakilisha love sekeers personally Mimi huwa sitongozi mwanamke yeyote Ila huwa ikitokea mwanamke anapenda my life naishi anaweza kuomba nafasi au gap akikubaliwa sawa na akikataliwa sawa.

Mimi nishatoka zama za kutafuta wanawake Mimi natafutwa na napima quality Ila huu Uzi nimeandika kuwawakilisha wanangu wa watabaka la Kati.
Sasa anko kama unamiliki mtoto mkali unahangaika nn na wanawake wasiojielewa?
 
Nimetumia kuwawakilisha personally Mimi huwa sitongozi mwanamke yeyote Ila huwa ikitokea mwanamke anapenda my life naishi anaweza kuomba nafasi au gap akikubaliwa sawa na akikataliwa sawa.

Mimi nshatoka zama kutafuta wanawake Mimi natafutwa na napima quality Ila huu Uzi nimeandika kuwawakilisha watabaka la Kati.

s
Sisi wa tabaka la chini na la Kati ukishakua na pisi Moja kali na ya malengo bas kwingine hatutongozi akijichanganya anapigwa miti nkichomoa mkataba unaishia hapo
 
Sisi wa tabaka la chini na la Kati ukishakua na pisi Moja kali na ya malengo bas kwingine hatutongozi akijichanganya anapigwa miti nkichomoa mkataba unaishia hapo
Kweli mkuu upo sahihi , ukishakuwa Tabaka la kati na la chini unabidi kujiepusha kupiga mipira iliyokufa unaweza kujiingiza king.
 
Back
Top Bottom