Mimi sinan hakika iwapo lengo la mwanzisha thread ilikuwa kumjadili kubenea yeye binafsi , naamini mjadala huu utabeba sura ya kimantiki zaidi iwapo tutajadili juu ya maandiko ya Kubenea, iwapo amebadilika au ni yuleyule? hapa unahitajika ushahidi wa kina sio tuhuma tupu! wenye maandiko ya kubenea au ushahidi kuhusu tuhuma hizi waulete hapa jamvini ili tupembue pumba zi wapi na mchele ni upi?