MwanaHalisi yamshambulia Sitta

kubenea.JPG

Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"

Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.

Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;

1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.

MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!
 
Huyo mbona alishanunuliwa siku nyingi? Kama anabisha, yeye ni member humu hebu aingine akanushe ili tumuumbue.
 
Kwa kazi yake yeye kubenea kama mwanahabari alishaweka vielelezo vya kutosha hadharani kuwa yeye ni mpambanaji na ndiyo maana akamwagiwa hata tindikali. Lakini pia kumuachia daffi aandike makala ya Lowassa si kigezo cha kumuogopa Lowassa.

Kwenye gazeti la trh 2 amendlka makala nyingine YA MAJERAHA YA UDINI YATAANGAMIZA TAIFA kwa namna maoja ama nyingine hakuna mwiko kwamba kila habari iliyo front page sharti iandikwe na kubenea na si lazima kila habari ya lowasa iandikwe na kubenea!

HAPANA, Cha msingi tuwekee vielelezo kuwa kubenea hawezi kazi yake tuelewe mambo ya picha za kusalimiana hakuna mipaka kuwa mwizi hasalimiwi.

TWAMBIE WEWE UMEANDIKA HABARI NGAPI? HATA ZA HUYU MNAFIKI SAMWEL SITTA
 
nimeipenda hiyo picha hasa yule jamaa wa nyuma kabisa kulia. jinsi alivyokuwa akimuangalia kubenea na mamvi, ni kama anajua kinachoendela.
 
Sijaona kuwiana kwa habari,picha na madai kiujumla. Mkuu fafanua zaidi tafadhali

Unakumbuka Baada ya CCM kutangaza kujivua Gamba na Nape kutembelea Media House zote za Tanzania? Matokeo ya Visiting ile ni

A. Magazeti yafuatayo yalikataa kuimba Wimbo wa kujivua Gamba na sasa yamekua ni Maadui wa CCM-Sitta
1. Mwanahalisi
2. Mwananchi
3. Tanzania Daima

B. Magazeti yafuatayo yaliamua Kucheza Ngoma ya Kujivua Gamba ya akina nape
1. Raia Mwema ( Siku hizi nimeacha kulinunua)
2. Uhuru
3. Nipashe

Kwa Hiyo Kundi A limekuwa ni Adui mkubwa wa CCM-Sitta
 
kwa kazi yake yeye kubenea kama mwanahabari alishaweka vielelezo vya kutosha hadharani kuwa yeye ni mpambanaji na ndiyo maana akamwagiwa hata tindikali, lakini pia kumuachia daffi aandike makala ya lowassa si kigezo cha kumuogopa lowassa,kwenye gazeti la trh 2 amendlka makala nyingine YA MAJERAHA YA UDINI YATAANGAMIZA TAIFA kwa namna maoja ama nyingine hakuna mwiko kwamba kila habari iliyo front page sharti iandikwe na kubenea na si lazima kila habari ya lowasa iandikwe na kubenea! HAPANA, Cha msingi tuwekee vielelezo kuwa kubenea hawezi kazi yake tuelewe mambo ya picha za kusalimiana hakuna mipaka kuwa mwizi hasalimiwi,TWAMBIE WEWE UMEANDIKA HABARI NGAPI? HATA ZA HUYU MNAFIKI SAMWEL SITTA

Mkuu hiki ni Chanzo cha Magamba Kumshambulia Kubenea

Unakumbuka Baada ya CCM kutangaza kujivua Gamba na Nape kutembelea Media House zote za Tanzania? Matokeo ya Visiting ile ni

A. Magazeti yafuatayo yalikataa kuimba Wimbo wa kujivua Gamba na sasa yamekua ni Maadui wa CCM-Sitta
1. Mwanahalisi
2. Mwananchi
3. Tanzania Daima

B. Magazeti yafuatayo yaliamua Kucheza Ngoma ya Kujivua Gamba ya akina nape
1. Raia Mwema ( Siku hizi nimeacha kulinunua)
2. Uhuru
3. Nipashe

Kwa Hiyo Kundi A limekuwa ni Adui mkubwa wa CCM-Sitta
 
Huyo mbona alishanunuliwa siku nyingi? Kama anabisha, yeye ni member humu hebu aingine akanushe ili tumuumbue.

unamsema kubenea, mbona humsemi mkuu wa kaya ambaye alishapigwa mnada hata kabla ya kuwa rais?
 
Mkuu hiki ni Chanzo cha Magamba Kumshambulia Kubenea

Unakumbuka Baada ya CCM kutangaza kujivua Gamba na Nape kutembelea Media House zote za Tanzania? Matokeo ya Visiting ile ni

A. Magazeti yafuatayo yalikataa kuimba Wimbo wa kujivua Gamba na sasa yamekua ni Maadui wa CCM-Sitta
1. Mwanahalisi
2. Mwananchi
3. Tanzania Daima

B. Magazeti yafuatayo yaliamua Kucheza Ngoma ya Kujivua Gamba ya akina nape
1. Raia Mwema ( Siku hizi nimeacha kulinunua)
2. Uhuru
3. Nipashe

Kwa Hiyo Kundi A limekuwa ni Adui mkubwa wa CCM-Sitta

na gazeti la TAZAMA je?
 
Unakumbuka Baada ya CCM kutangaza kujivua Gamba na Nape kutembelea Media House zote za Tanzania? Matokeo ya Visiting ile ni

A. Magazeti yafuatayo yalikataa kuimba Wimbo wa kujivua Gamba na sasa yamekua ni Maadui wa CCM-Sitta
1. Mwanahalisi
2. Mwananchi3. Tanzania Daima

B. Magazeti yafuatayo yaliamua Kucheza Ngoma ya Kujivua Gamba ya akina nape
1. Raia Mwema ( Siku hizi nimeacha kulinunua)
2. Uhuru
3. Nipashe

Kwa Hiyo Kundi A limekuwa ni Adui mkubwa wa CCM-Sitta

Mkuu Tanzania daima imeanza "kumshughulikia" samwel sitta siku nyingi tangu akiwa spika.

Mwananchi hawajabadili staili yao ya kuandika habari za kuvua gamba, labda hulisomi vizuri, wale wanapiga kwa miguu yote, isipokuwa rost tamu ndiye sijawahi kuona likimshughulikia, na sababu iko wazi sana.

kwahiyo sijaona dots ziki connect hapo.
 
kubenea.JPG

Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"

Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.

Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;

1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.

MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!

user-online.png
kipanga mlakuku

Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 9th June 2011
Posts : 39
Rep Power : 0
 
kubenea.JPG

Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"

Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.

Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;

1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.

MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!

Sijawahi kuona thread ya kipumbavu na ya kijinga kama hii. Kuamkiana na Lowassa katika picha ambayo undated ndiyo kanunuliwa? Mtu ukiamkiana na mtu mwingine umenunuliwa? SHIIITTTT!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom