Yuko wapi Benjamin Sitta, Meya wa Zamani wa Kinondoni?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,719
218,267
Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania .

Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa ikulu ili kuongeza kura za ccm , na hatimaye mtoto wa Sitta akapachikwa kwenye umeya kwa mbeleko ya chuma , chini ya mtutu wa bunduki .

Vyeo vya kubebwa huwa havina maisha , mbeleko ikichanika ni lazima utachoropoka na kuangukia makalio uvunje kiuno

Sasa sijui leo yuko wapi huyu jamaa yaani ?
 
kuna lile jamaa la midevu lipo rafurafu hivi, sijui lilikua meya la wap nalo sijui liko wap skuiz 🐒
 
Labda kwa kukusaidia Boniface Jackob ndio Meya bora kuwahi kuwepo Kinondoni tangu kuundwa kwa Halmashauri hiyo
Yes Boniface Jacob huyo ndie 💪👊

sasa hayo mengine ni rates na credit zako unampatia.

To me niliona amefanya wajibu wake kadiri ya uwezo wake as other leaders do their best,

Namkumbuka zaidi kwa ile midevu na ruffness alokua nayo ofisni

yapo alifanikiwa kwa kiasi chake na lakin pia yapo kutokana na changamoto mbalimbali alijitahidi yafanikiwe lakin hayakufanikiwa na hiyo ni kawaida,
that is what I can confirm to that man...
 
kuna lile jamaa la midevu lipo rafurafu hivi, sijui lilikua meya la wap nalo sijui liko wap skuiz
Sema rafurafu tuu, hilo ni likamanda hata Mulilo analigwaya!
Huyo hapo akiongoza maandamano. Watu sio wa kispot spot bana!
20240126_111212.jpg

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania .

Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa ikulu ili kuongeza kura za ccm , na hatimaye mtoto wa Sitta akapachikwa kwenye umeya kwa mbeleko ya chuma , chini ya mtutu wa bunduki .

Vyeo vya kubebwa huwa havina maisha , mbeleko ikichanika ni lazima utachoropoka na kuangukia makalio uvunje kiuno

Sasa sijui leo yuko wapi huyu jamaa yaani ?
Vyeo vya kubebwa huwa havina maisha , mbeleko ikichanika ni lazima utachoropoka na kuangukia makalio uvunje kiuno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungemuuliza Mama yake mbona yupo?

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Kwa lugha ya aliyekuwa Malkia wa uingereza..
BONNY is one of the best MAYORS we had by then.
Ukubali usikubali shauri yako.
For sure mjamaa anaweza kua the best kwenye angle tofauti,
mathalani to me he was the best rough mayor ever in Tz na midevu yake...
Ukatae ukubali shauri yako.....
 
Ni swali tu jamani , huyu jamaa alikuwa Meya wa Kinondoni , ni mtoto wa Samuel Sitta aliyekuwa Spika wa Bunge la Tanzania .

Baada ya ccm kuangukia pua 2015 , kwenye Halmashauri ya Kinondoni na UKAWA kutwaa madaraka , kukaundwa zengwe ili kuigawanya Halmashauri hiyo huku wakichomekwa wabunge wa ikulu ili kuongeza kura za ccm , na hatimaye mtoto wa Sitta akapachikwa kwenye umeya kwa mbeleko ya chuma , chini ya mtutu wa bunduki .

Vyeo vya kubebwa huwa havina maisha , mbeleko ikichanika ni lazima utachoropoka na kuangukia makalio uvunje kiuno

Sasa sijui leo yuko wapi huyu jamaa yaani ?
Riwaya yote uliyoitoa hapo juu unaijua vizuri utuulize sisi kuhusu mwenzi wako tuombe radhi unajua alipo!
 
Back
Top Bottom