MwanaHalisi yamshambulia Sitta

Swadakta, kama unavyokuwa na line ya zantel vile!!

Mkuu tatizo hawa Wazee wanataka Publicity ya Bure, kwamba tuwaite mashujaa pasipo kutokwa na Jasho yaani huyu Sitta aliyezima Mjadala wa Richmond bungeni halafu anataka leo asifiwe na Kubenea eti kwa sababu anawaita Dowans Wahuni? Well Dowans ni Wahuni kweli lakini Sitta aliyezima Mjadala wa Richmond hana Moral Authority ya kuwaita Dowans/Richmond kwa Sababu uhuni wao yeye ndiye aliyeubariki. Tatizo kuna Mijitu Mingine inafikiri Watanzania hatufatilii Siasa za Bongo
 
Kama sijasahau hii picha ilipigwa wakati wa msiba wa aliyekuwa mwandishi wa habari wa ITV.....marehemu Dani.....
Kusalimiana tu kwenye msiba sio ushahidi wa kununuliwa!
 
kubenea.JPG

Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"

Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.

Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;

1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.

MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!

Wewe dugu, umefanya nini katika vita hii, kazi isiwe kuwakejeli wengine, ni vyema kazi yako ikajulikana au kaa kimya!.. usije ukawa kati ya wale wanaotumika kama toilet paper alafu mnaanza kuwakejeli ambao angalao wanajitahidi kujitoa mhanga katika vita hii.

kuhusiana na picha, wa kumshangaa na kumuona mnafiki ni huyo mwenye nywere za kijivu, maana katika vita hii anayepaswa kununa ni yeye, kwani amekuwa akiumbuliwa na kubenea, hali inayoonesha tabasamu la kinafiki... kwa kubenea anachofanya si chuki ana haki ya kumpa mkono, kwani huyo ni mteja wake kwa mujibu wa kazi yake. kama ilivyo kwa hakimu akikuhukumu kihalari hawezi kuwa na chuki na wewe, isipokuwa aliyehukumiwa pamoja na kujua makosa yake anaweza kuwa na kinyongo, ndo maana watu wanamwagiwa tindikali na kama hivyo
 
"YOUR TAKE"- Kipanga mla kuku, hongera sana kwa kzi yako "nzuri".
Wewe wala kuku na Watz wala "matokeo ya usanii wenu".

Ni vizuri ukiwa unajieleza kama hivi ili kujua uko upo "upande wa waleta giza". I hate darkness.

kubenea.JPG

Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"

Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.

Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;

1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.

MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!
 
kubenea.JPG

Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"

Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.

Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;

1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.

MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!
Wiki iliyopita kuna mtoa hoja aliandika MWANAHALISI IS A BIG SHIT na si watu wengi walimwelewa vingine na kumtukana mtoa mada huyo.
Leo ukweli unaanza kujitokeza.
Kubenea pesa za maovu ni nuksi na laana mbaya.
 
Naomba kuelimishwa kidogo,
1. hivi anachukiwa mtu au matendo yake mabaya?
2. Ukimkalipia au kumtuhumu mtu kwa matendo yake mabaya kisha ukakutana naye mahali utampita tu bila salamu hata kama huyo mtu kaonyesha jitihada ya kutaka kukusalimia?
 
Kusalimiana ni jambo la kawaida bwana haimaanishi jamaa kawekwa mfukoni. Hata mtu akiwa adui yako haimaanishi basi hata salamu yako asiipate...anaweza kuipata hata kama ni ya kinafiki.
 
Bado na hofu na baadhi ya watu humu, iwapo kweli wameielewa thread yangu(wengi wamejipotoa kwa kujadili picha badala ya kujadili hoja), sasa kwa vile sipendi kutawala mjadala huu peke yangu, napenda nitamke wazi kuwa KWA HESHIMA KUBWA NA TAADHIMA NAWAKARIBISHA GREAT THINKERS WACHAMBUZI WALIOTUKUKA WATULETEE KILE KINACHOITWA "THE DARK SIDE OF SAED KUBENEA"
 
Duh..hivi kumbe kuna watu bado uwa wanasoma gazeti la udaku la Mwanahalisi?

Niliichoka kabisa kulisoma mwanahalisi baada ya siku moja Mwanahalisi kuichukua humu habari ya "jamaa yangu" aliyetoa humu udaku kwa jina la siasa na wao kuiweka habari ile kwenye gazeti lao kama ilivyo, toka pale nimeshindwa kabisa kulitofautishi Mwanahalisi na Magazeti ya Shigongo, labda tofauti yao ni kuwa Shigongo anatoa udaku wa mitaani wakati Mwanahalisi wanatoa udaku wa siasa.

Siku Mwanahalisi wakiandika habari inayokuhusu au unayoijua vizuri ndipo utakapojua namna Mwanahalisi wasivyo ata na chembe ya umakini , ni udaku kwa kwenda mbele.
 
kubenea.JPG

Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"

Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.

Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;

1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.

MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!

JF sio kijiwe cha majungu.Ni dhahiri Magamba kuna makundi mawili,kundi la Sitta na kundi la Lowassa.Wewe umejionyesha uko kundi la Sitta ambao ni wapinga ufisadi bandia.Mbona kundi la Sitta limenunua Raia Mwema hatusemi? Usijidanganye hakuna gazeti linalofikia kwa habari kali na za uchunguzi Tanzania kama mwanahalisi.
 
kubenea.JPG

Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"

Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.

Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;

1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.

MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!
.........hoja yako, naam, hoja yako ni nzuri ila dhaifu, dhaifu mno.....picha uliyotumia kutuaminisha haiwezi kuwa kigezo kinachojitosheleza hata kidogo, dunia ni moja ya mafisadi makubwa (nyangumi), madogo (mapapa) na yanayojifanya sio mafisadi (ngisi na changu), tunakula pamoja, tunakaa pamoja, tunaimba pamoja ule wimbo "magamba!magamba!" ndio maana tunapata hata fursa ya kunyweshana sumu, kuzodoana, kung'ong'ana, kubezana, kusutana, kusimangana, kuhedemsedeana na hata kumwagiana tindikali; Dunia ni moja hatutaacha kuacha kukutana; hayo matusi nayo mmmh! (penye red), Sitta kunyea kambi? mm nasema zero nayo ni alama, akazane, atapata mia, ni suala la wakati
 
Mkuu hiki ni Chanzo cha Magamba Kumshambulia Kubenea

Unakumbuka Baada ya CCM kutangaza kujivua Gamba na Nape kutembelea Media House zote za Tanzania? Matokeo ya Visiting ile ni

A. Magazeti yafuatayo yalikataa kuimba Wimbo wa kujivua Gamba na sasa yamekua ni Maadui wa CCM-Sitta
1. Mwanahalisi
2. Mwananchi
3. Tanzania Daima

B. Magazeti yafuatayo yaliamua Kucheza Ngoma ya Kujivua Gamba ya akina nape
1. Raia Mwema ( Siku hizi nimeacha kulinunua)
2. Uhuru
3. Nipashe

Kwa Hiyo Kundi A limekuwa ni Adui mkubwa wa CCM-Sitta
(........penye red), wenye akili zao wameona mkakati wao na Membe, Membe yule nyoka wa mdimu
 
I am very sorry Mr. Kipanga Mlakuku; thread yako ingekuwa mtihani, basi sina shaka ningelikutunuku a zero score! Binafsi sijakuelewa!
 
Bado na hofu na baadhi ya watu humu, iwapo kweli wameielewa thread yangu(wengi wamejipotoa kwa kujadili picha badala ya kujadili hoja), sasa kwa vile sipendi kutawala mjadala huu peke yangu, napenda nitamke wazi kuwa KWA HESHIMA KUBWA NA TAADHIMA NAWAKARIBISHA GREAT THINKERS WACHAMBUZI WALIOTUKUKA WATULETEE KILE KINACHOITWA "THE DARK SIDE OF SAED KUBENEA"
........uliona wapi ngoma upige wewe ucheze weye, picha inatoa taswira halisi, ndio maana unakutana na akina KINGO, BI-MKORA bila maandishi, kama kuchemsha umechemsha weye sio sisi..... Sitta ni mzee wetu lakini ni mnafiki, tazama leo hii haaminiki popote, CCM na au upinzani, meza huu ukweli hata kama ni mchungu utakufanya huru, tena huru kweli kweli.
 
Wataalam nawasubiri hapa...

Sioni kama inahitajika haraka hivi ya kumjadili kubenea. Gazeti lake lipo kila jumatano hofu ya nini ukweli utajulikana. Kama una habari inayopingana na anayoyaandika kubenea tafadhali tuhabarishe
 
mimi nimeona begi la hela hapo nyuma ya EL, wakuu mmeliona hilo? litathminini basi!
 
Back
Top Bottom