MwanaHalisi yamshambulia Sitta

Mimi sinan hakika iwapo lengo la mwanzisha thread ilikuwa kumjadili kubenea yeye binafsi , naamini mjadala huu utabeba sura ya kimantiki zaidi iwapo tutajadili juu ya maandiko ya Kubenea, iwapo amebadilika au ni yuleyule? hapa unahitajika ushahidi wa kina sio tuhuma tupu! wenye maandiko ya kubenea au ushahidi kuhusu tuhuma hizi waulete hapa jamvini ili tupembue pumba zi wapi na mchele ni upi?
 
Duhu, sitta kama mwanamme ahame ccm ahamie Chadema kupiga projo akibaki ccm tutaamini anachumia Tumbo tu.2015 akibaki ccm tutamuweka mjumbe wa nyumba 10 jimboni kwake[/QUOTE

Kwa mara ya kwanza malaria sugu naungana na wewe! Hako kazee ni kanafiki! Hakana jipya! Kila dowans dowans! Katafute single mpya!
 
Bado na hofu na baadhi ya watu humu, iwapo kweli wameielewa thread yangu(wengi wamejipotoa kwa kujadili picha badala ya kujadili hoja), sasa kwa vile sipendi kutawala mjadala huu peke yangu, napenda nitamke wazi kuwa KWA HESHIMA KUBWA NA TAADHIMA NAWAKARIBISHA GREAT THINKERS WACHAMBUZI WALIOTUKUKA WATULETEE KILE KINACHOITWA "THE DARK SIDE OF SAED KUBENEA"

And the dark side of yours
 
kubenea.JPG



Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"

Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.

Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;

1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.

MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!

Fedha Fedheha ndio waandishi wa cdm hao
 
We ndio umepata F, Kubenea A, una lolote, Kubenea go on... Hata huyo jamaa amefumbuka baada ya wewe kupigana. Thread zingine bana!? Poa kimada wa six, unaonekana masaburi yamekusaidia
 
Mwanahalisi mbona nalinunua kila wiki, mbona bado lipo dhabiti zidi ya ufisadi, Kipanga jaribu kuelezea vizuri Said Kubenea kanunuliwa kivipi? Jaribu kuitetea hoja yako kaka.
Au umetumwa na Sitta humu kupima upepo? Ebu jaribu kuwa muwazi.
 
Mbona Obama alipeana mkono na yule Rais wa Venezuela anaitwa nani vile............Chavez, na kisha akapokea kitabu toka kwa Chavez wakati huo wamarekani wakiwa wanamchukia Chavez? Kama mtu anakosa unamwambia ukweli hapo na si kumkimbia. Sina undani wa mahusiano ya Kubenea na Lowassa but as mwandishi lazima asikilize pande zote husika.
 
Mbona Obama alipeana mkono na yule Rais wa Venezuela anaitwa nani vile............Chavez, na kisha akapokea kitabu toka kwa Chavez wakati huo wamarekani wakiwa wanamchukia Chavez? Kama mtu anakosa unamwambia ukweli hapo na si kumkimbia. Sina undani wa mahusiano ya Kubenea na Lowassa but as mwandishi lazima asikilize pande zote husika.
Hoja yako hapo ni nini? we vipi bhana? we ni sokwe au kima, ukipata ntajua unajua! na hiyo avatar yako mmh!




Niliitwa kiwalanikwagude mmenipa ban, sasa nimerudi tena
Nasisitiza Mwanakijiji namjua kwasababu ni ndugu yangu
Na 4 sure siwezi kuhama JF coz iz never boring!
Signed 4rom New York, UsA
 
Sijawahi kuona thread ya kipumbavu na ya kijinga kama hii. Kuamkiana na Lowassa katika picha ambayo undated ndiyo kanunuliwa? Mtu ukiamkiana na mtu mwingine umenunuliwa? SHIIITTTT!
mkuu hata mimi nakuunga mkono huu ni ujinga kwani ni dhambi kumsalimia lowassa
 
Mbona Obama alipeana mkono na yule Rais wa Venezuela anaitwa nani vile............Chavez, na kisha akapokea kitabu toka kwa Chavez wakati huo wamarekani wakiwa wanamchukia Chavez? Kama mtu anakosa unamwambia ukweli hapo na si kumkimbia. Sina undani wa mahusiano ya Kubenea na Lowassa but as mwandishi lazima asikilize pande zote husika.

Si hilo tu, hata Baba wa Taifa alipeana mkono na Nduli Idi Amin - tendo hilo pekee halikumzuia kutwangwa Idi Amin hadi kuikimbia Uganda. El ni fisadi lakini Sitta ni fisadi mnafiki, hiyo ndiyo tofauti kubwa kati yao. Hakuna mtu hatari kama fisadi mnafiki. Wangapi wanakumbuka jinsi Sitta alivyotaka kusitisha mjadala wa Richmond ndani ya Bunge hadi arejee kutoka Ughaibuni na iliposhindikana, akavunja safari yake. Huyo ndiye Sitta anayekubali kutumiwa kama toilet paper kuisafisha serikali inapobanwa, Big Up Kubenea !
 
Unayosema pengine yana ukweli ndani yake. Tunaomba utoe vielelezo tuweze kujadili. Mi naona kama hapa tunayadiskasi mawazo yako.
 
[h=4]Topic Information[/h][h=5]Users Browsing this Topic[/h]There are currently 86 users browsing this thread. (21 members and 65 guests)
Mkuu wa hapo kwenye red we si unaandikia gazeti la Mwanahalisi, hebu twambie kulikoni Mkurugenzi kitambi meneja(kubenea) kuzamishwa kwenye dimbwi na tope la uozo wa namna hii? mmh mwe!
 
Unakumbuka Baada ya CCM kutangaza kujivua Gamba na Nape kutembelea Media House zote za Tanzania? Matokeo ya Visiting ile ni

A. Magazeti yafuatayo yalikataa kuimba Wimbo wa kujivua Gamba na sasa yamekua ni Maadui wa CCM-Sitta
1. Mwanahalisi
2. Mwananchi
3. Tanzania Daima

B. Magazeti yafuatayo yaliamua Kucheza Ngoma ya Kujivua Gamba ya akina nape
1. Raia Mwema ( Siku hizi nimeacha kulinunua)
2. Uhuru
3. Nipashe

Kwa Hiyo Kundi A limekuwa ni Adui mkubwa wa CCM-Sitta

Tanzania bwana nchi nzuri sana, leo mtu anaweza kuwa "mwanaume" na kesho akabadili jinsia na kuwa "mwanamke" na watu wasihoji na wanakua wameshasahau zamani. Inasikitisha sana ukiangalia rekodi ya magazeti ya nyuma ya MwanaHalisi, Tanzania Daima, Thisday yalivyoanika madudu ya Richmond hadi yakatokea ya kutokea. Leo mtu anakuja kusema kwamba kuzungumzia ufisadi wa Lowassa ni kosa na eti sasa anasea hanunui magaazeti? Hii ni aibu kabisa. Soma kwa makini makala na habari na usiendeshe kwa hisia.

Nakuomba usome tu habari na Makala chache za MwanaHalisi:

Lowassa hasafishiki | Gazeti la MwanaHalisi

Siri ya Edward Lowassa nje

ukisearch utakutana na :

  1. [h=3]Lowassa | Gazeti la MwanaHalisi[/h]www.mwanahalisi.co.tz/category/story_post_categories/.../lowassa
    HATMA ya Edward Lowassa kujinasua kwenye kashfa ya mkataba tata wa kampuni ya Richmond, ipo mikononi mwa Dk. Ibrahim Msabaha, MwanaHALISI ...

  2. [h=3]Richmond bado yamwandama Lowassa | Gazeti la MwanaHalisi[/h]www.mwanahalisi.co.tz/richmond_bado_yamwandama_lowassa

    16 Machi 2011 – KATIKA kile kinachoitwa “maandalizi ya kuelekea ikulu,” waziri mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya mkataba tata wa Richmond, Edward Lowassa ...

  3. [h=3]Lowassa | Gazeti la MwanaHalisi[/h]www.mwanahalisi.co.tz/category/story_post_categories/.../lowassa?...

    Sakata la Richmond: Lowassa kikombe hakiepukiki. Na Edgar Lengai - Imechapwa 26 March 2008. NINAJADILI hapa baada ya kugundua jitihada ...

  4. [h=3]Richmond | Gazeti la MwanaHalisi[/h]www.mwanahalisi.co.tz/category/story_post_categories/richmond

    HATMA ya Edward Lowassa kujinasua kwenye kashfa ya mkataba tata wa kampuni ya Richmond, ipo mikononi mwa Dk. Ibrahim Msabaha, MwanaHALISI ...

  5. [h=3]Lowassa hasafishiki | Gazeti la MwanaHalisi[/h]www.mwanahalisi.co.tz/lowassa_hasafishiki

    6 Apr 2011 – Wakati huo, maelekezo yote kuhusiana na utoaji mkataba kwa Richmond yalikuwa yakifanyika chini ya Lowassa, kwa mujibu wa waziri wa ...

  6. [h=3]Sakata la Richmond: Lowassa kikombe ... - Gazeti la MwanaHalisi[/h]www.mwanahalisi.co.tz/sakata_la_richmond_lowassa_kikombe_haki...

    26 Machi 2008 – Au Lowassa hajui kuwa kitendo hicho ni ukiukaji wa mkataba huo? Kifungu 12.1(g) cha mkataba na Richmond kinasema, "Richmond itakuwa ...

  7. [h=3]Siri ya Msabaha dhidi ya Lowassa | Gazeti la MwanaHalisi[/h]www.mwanahalisi.co.tz/siri_ya_msabaha_dhidi_ya_lowassa
    8 Apr 2008 – ... Ibrahim Msabaha, ndiyo ililazimisha Edward Lowassa kujiuzulu Uwaziri Mkuu kutokana na kashfa ya Richmond, MwanaHALISI limegundua. ...

  8. [h=3]Lowassa vs MwanaHalisi - Page 4[/h]www.jamiiforums.com/...la.../144477-lowassa-vs-mwanahalisi-4.html
    Chapisho 21 - waandishi 12 - Chapisho la mwisho: 12 Jun

    Nimeangalia kwa makini sana gazeti la Mwanahalisi kwa zaidi ya ... wiki hii LOWASA,ROSTAM KUMZIMA KIKWETE hii haiusiani na richmond, ...
    Vipi Mwanahalisi la leo, halijanunuliwa na Lowasa?‎ - 1 Nov 2011
    MwanaHalisi acheni ubabaishaji - Page 2‎ - 22 Jan 2010
    The Richmond Saga: Lowassa kutinga kortini‎ - 23 Sep 2009
    Siri ya Msabaha dhidi ya Lowassa‎ - 9 Apr 2008
    Matokeo zaidi kutoka jamiiforums.com »


  9. [h=3]Lowassa Ngoyai Edward[/h]www.tathmini.com/Pages/Details/2/lowassa-ngoyai-edward
    @mwanahalisi nadhani unaelewa mambo ya error za ki-intelijensia. ..... serikali iliendelea na mpango wa kuindeleza richmond wakati lowasa alishajiuzulu? ...

  10. [h=3]MKATAMBUGA: Sakata la Richmond: LOWASSA KITANZINI[/h]saedkubenea.blogspot.com/.../sakata-la-richmond-lowassa-kitanzini.h...

    10 Feb 2008 – Sakata la Richmond: LOWASSA KITANZINI ... wakati wowote kutokana na kashfa ya mkataba wa Richmond, MwanaHALISI limedokezwa. ...





sasa leo U-turn inatoka wapi?
 
LAKN KIUKWELI MWANAHALISI LIMEPOTEZA MVUTO(ingekua ni mziki wa bongo fleva ningelifananisha na FEROOZ)...
 
Si hilo tu, hata Baba wa Taifa alipeana mkono na Nduli Idi Amin - tendo hilo pekee halikumzuia kutwangwa Idi Amin hadi kuikimbia Uganda. El ni fisadi lakini Sitta ni fisadi mnafiki, hiyo ndiyo tofauti kubwa kati yao. Hakuna mtu hatari kama fisadi mnafiki. Wangapi wanakumbuka jinsi Sitta alivyotaka kusitisha mjadala wa Richmond ndani ya Bunge hadi arejee kutoka Ughaibuni na iliposhindikana, akavunja safari yake. Huyo ndiye Sitta anayekubali kutumiwa kama toilet paper kuisafisha serikali inapobanwa, Big Up Kubenea !

Usifikiri sie ni wageni nchi hii, Sitta alisitisha kujadiliwa kwa mjadala wa Richmund mpaka awepo kwa sababu kinyume na hiyo unayotaka kutudanganya hapa.

Uwa nakuheshimu sana kama Mzee mwenye Busara, lakini unapoanza kutudanganya watu wazima kwenye vitu vilivyowazi kabisa, vitu ambavyo ata mtoto wa darasa la 3 aliyeusikia mgogoro wa serikali na bunge katika utekelezaji wa maazimio ya kamati ya Mwakyembe anavijua, utakuwa unajivunjia heshima yako mwenyewe, jana umeombwa hapa uelezee huo ufisadi wa Sitta ukatokomea, leo unarudi tena na Ufisadi-Unafiki kwa hoja za uongo, hiyo sio stahili yako.

Najua unaipenda sana Chadema, lakini usikubali upenzi wako ukupofoshe akili, kwenye ukweli simama tu kwenye ukweli, na katika ukweli huo na walio gizani watauona mwanga, lakini kwa kuokoteza okoteza hoja hivi, am dissapointed, vinginevyo wewe ndiye utaonekana Mnafiki na mwenye gubu, uliyepofushwa macho kwa either upenzi wako au chuki yako.
 
Kuna watu wanafikiri kutofanikiwa kwa wanaopinga ufisadi ndani ya CCM ni ushindi kwa Chadema, hivyo wapo tayari kuwashabikia lolote litakalosaidia upepo kwenda kwenye muelekeo huo,

Nina neno juu yenu, asiye kinyume chenu, yu upande wenu, siasa haziendi kama machine, unapaswa uzichange karata zako vizuri sana, jifunzeni kwa Raila Odinga kwa kuiona njia ya ushindi kupitia kumeguka kwa KANU na kuepuka kugawanyika thereafter kupitia Kibaki Tosha, KANU iliondolewa madarakani mwaka 2002, kwa Tanzania siioni bado dalili ya kujifunza hizi mbinu.
 
Back
Top Bottom