OSOKONI
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 10,965
- 5,336
Tears in my eyes! I feel sorry for the young boy!
how could you feel sorry for a killer?? feel sorry for the late Mwangosi not for this murderer!!
Tears in my eyes! I feel sorry for the young boy!
How u feel sorry to the one among those killers!!??Tears in my eyes! I feel sorry for the young boy!
Kwa harakaharaka huyu Polisi kijana wa miaka 23 halafu awe FFU huyu Elimu yake ya juu ni lazima itakuwa ni form Four ya sasa. maana Form Four ya zamani tuliohitimu kina Matola ni Equivalent to Degree.
Daaaaa basi tena hatutolizungumzia tena swala la mwangosi maana lishafika mahakamani.
Sikubaliani kabisa na kesi hii ni batili, Wanaharakati wote wanapaswa kuipinga hii kesi maana ni kuwafanya Watanzania ni wapumbavu kuliko maelezo.
ni kweli yote hayo mkuu,unaweza kuta alikua mgambo kachukuliwa tu kapewa bunduki ambayo hajawai ata kuitumia wala kufyatua risasi kwenye mafunzo basi akaona isiwe tabu akafanyia practise kwa daudi..dah inasikitisha sana..R.I.Pfoul play nyengine hiyo, anashitakiwa kwa kosa la kuuwa, what abt asault ya wale askari nane kwa marehemu? hivi sheria gani ilioruhusu mwandishi kupigwa? kosa la kwanza ni la RPC yeye ndie mkuu wa pale na yote yametendeka kwa sababu ya kauli zake na order zake, achukuliwe hatua za nidhamu na kushitakiwa, let our legal system iamue ikiwa alikuwa guilty or not! la pili ni asault na grievous bodily harm kwa raia asiehusika, hii ni kwa wote askari wahusika, tatu ndio mauaji na hili pia sijui kama ni askari alierusha risasi pekee bali kwa kila aliechangia kufikia hatua hiyo. otherwise ni kiini macho jushutakiwa askari mmoja.
Note to take huyu kijana ni wa miaka 23, obvious hana elimu na hata hicho kidato cha nne inawezekana kabisa ni wale with fake certs! Mafunzo ya jeshi la polisi ndio yaliomfanya kufikia hatua ya kuua, jeshi la polisi zima lazima lifanyiwe reforms kubwa, kuanzia mafunzo, ethics na operations zake kuwa wazi. Kauli zao hazionyeshi ni profesional people, system nzima inahitaji mabadilko ya hali ya juu. Ipo haja ya kuwa na elected superintent akiwa na sifa hasa ya legal matters na management ili kuwe na balance kati ya operation za kipolisi na huduma za raia na kuweka usimamizi wa jeshi chini ya mikono ya wananchi zaidi.
Nilitegemea hawa askari sita (ningemuondoa huyo mmoja aliyemkumbatia Mwangosi) wote wangeshitakiwa kwa mauaji ya Mwangosi pamoja na RPC Kamuhanda. Lakini serikali ya ccm imeamua kuwatukana watanzania kwa kumshitaki mmoja wao.
Shahidi wa kwanza ingependeza awe RPC wa Iringa!
Ingependeza sana!
Huu ni uonevu wa kupindukia tunajua dhahir nini maana ya amri ukipewa na mkuu wako huna bud kutekeleza bila kuhoji na hii ndio sheria ya jeshi lolote dunian, Aliyeua hapa ni RPC mtoa amri kwani asingetoa amri daud asingewawa sasa wameamua kumtoa kafara kijana yule ili waonekane wanawajibika tuache uonevu huo jeshi la polisi mjiuzulu nyie wa ngazi za juu na mshatakiwe nyie msionee dagaaSeptember 12, 2012
BREAKING NEWssssssssMTUHUMIWA WA MAUAJI YA MWANGOSI AFIKISHWAMAHAKAMANI LEO IRINGA
Askari anayetuhumiwa kumuua Daudi Mwangosi leo amefikishwa katika Mahakama ya wilaya ya mkoa wa Iringa na kusomewa mashitakata yake. Huku akiwa chini ya ulinzi mkali ambao ulifanya wanahabari waliofika mahakamani kujitahid kupata picha kwa ugumu.
Akisoma mashtaka mbele ya hakimu mkazi mwandamizi wa mahakama ya wilaya Daines lymo mwendesha mashtaka ameeleza kuwa mtuhumiwa Pacificus Cleophase Simon (23
HABARI KAMILI ITAKUJIA HIVI PUNDE
Wanasema hajafikisha hata miaka mitatu kazini.23yrs? CCM wamemharibia dogo life sana, ina maana ana miaka 6 au 4 tu kazini.