Iringa: Akamatwa na meno 7 ya tembo katika nyumba ya kulala wageni

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limemkamata Jacob Mhanga (54) Mkazi wa kijiji cha Utiga Mkoani Njombe akiwa na meno saba ya Tembo katika nyumba ya kulala wageni.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Allan Bukumbi amesema Mtuhumiwa huyo alikutwa katika nyumba ya kulala wageni katika kijiji cha Mbalamaziwa Kara ya Kisanga Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa na atafikishwa Mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika.

Vilevile Polisi kwa kushirikiana na Askari wa Uhifadhi na kupitia taarifa fiche kutoka kwa raia wema lilimkamata Mathias Malenga (37) Mkazi wa Kijiji cha Image Kata ya Image Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa akiwa na silaha mbili moja shotgun ambayo haina namba na nyingine ni gobore ndani ya nyumba yake a Mtuhumiwa atafikishwa Mahakamani upelelezi ukikamilika.

Chanzo: Millard Ayo
 
Karata yake ilicheza vibaya
 
Hapa Mbalamaziwa mitaa yangu napajua sanaaaa.Daah jamaa kukamatwa hapa investigation kali imefanyika.

Njia panda ya Malangali hapa
 
Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limemkamata Jacob Mhanga (54) Mkazi wa kijiji cha Utiga Mkoani Njombe akiwa na meno saba ya Tembo katika nyumba ya kulala wageni.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa Allan Bukumbi amesema Mtuhumiwa huyo alikutwa katika nyumba ya kulala wageni katika kijiji cha Mbalamaziwa Kara ya Kisanga Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa na atafikishwa Mahakamani mara baada ya upelelezi kukamilika.

Vilevile Polisi kwa kushirikiana na Askari wa Uhifadhi na kupitia taarifa fiche kutoka kwa raia wema lilimkamata Mathias Malenga (37) Mkazi wa Kijiji cha Image Kata ya Image Wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa akiwa na silaha mbili moja shotgun ambayo haina namba na nyingine ni gobore ndani ya nyumba yake a Mtuhumiwa atafikishwa Mahakamani upelelezi ukikamilika.

Chanzo: Millard Ayo
Miaka 5 ya Magufuli hatukusikia huu upuuzi
 
Kesi zinatesa sana hizi, sijui kwa nini watu wanapenda uhalifu.
 
Back
Top Bottom