Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!

Pasco,nakubaliana na wewe,ni kweli CCM waliwahi kuwatendea mema Watanzania,but not anymore.Watu hawa wamekuwa waovu kiasi kwamba ule wema wote waliowahi kutenda umeshafutika kwenye akili za watu.No, CCM ni chumvi iliyoharibika, they have to quit.
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, nipatapo fursa, hupita huku na kule na kubadilishana mawazo na watu mbalimbali wa kada tofauti. Kwa takriban siku 3 zilizopita, nimepata fursa ya kutembelea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ambayo ndiyo inayo dorminate Kanda ya Kaskazini, kiukweli CCM Imechokwa mpaka basi!.

Siku zote nimekuwa nikisema humu, CCM imekuwa ikichaguliwa na wengi sio kwa sababu ya kupendwa au kukubalika sana, bali kwa mazoea tuu wengi wakiwa ndicho chama pekee walichokifahamu tangu wamezaliwa, na wengine wakikichagua CCM kama asante ya kutuletea uhuru kupitia TANU, na idadi kubwa ya walio vijijini, wamekuwa wakiichagua CCM kwa ignorance tuu ya elimu ya uraia!. Sasa wale wanaichagua CCM kama asante ya kutupatia uhuru, ni oldguard, wanazidi kupungua na wachache waliobakia they days are numbered!. Wale wengi waliokuwa wakiichagua kwa ignorance, sasa wameamka!.

Kwa mujibu wa kada mbalimbali nilozungumza nao, wamethibitisha kuwa hakuna jinsi Ole Sendeka, Ole Medeye na Ole Nyaguro wataweza kusalimika, sehemu salama mpaka sasa ni Jimbo la Monduli tuu!.

Kama kasi ya upepo wa mwamko kama Kanda ya Kaskazini, utaingia kanda ya Ziwa kwa kasi hiyo hiyo, then hakuna jinsi yoyote ya kuiokoa CCM isipigwe mwereka uchaguzi wa 2015!.

Determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ambayo ndiyo inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu!. Kati ya watu milioni 40 wa sensa ya mwaka 2002 kwa Tanzania yenye makabila 120, Wasukuma peke yao wako milioni 6!. Sasa ukiwajumlisha na Kanda ya Kaskazini, hata kama mikoa yote iliyobakia wataipigia kura CCM, bado kwa kanda hizo mbili pekee, zinatosha kabisa kuipiga chini CCM!.

Mwelekeo huu ni uthibitisho kuwa ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, sio ndoto tena, ni kitu ambacho kinawezekana!.

Natoa mwito kwa Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu, tusiendekeze hizi siasa za chuki za kukichukia chama fulani bila sababu za msingi ya chuki hiyo, au kukipenda na kikishabikia chama fulani kwa upenzi tuu, matokeo ya mwisho ya siasa hizi ni kujengeana chuki zisizo na sababu!. Tupingane bila kupigana, tutofautiane kisiasa bila kuchukiana bali tupingane huku tukipendana!.

Hata mimi uchaguzi wa Arumeru, nilisimama na Sioi, tumekutana na Nasari pale Dodoma, tumekumbatiana, na kiukweli kutoka moyoni mwangu, sina chuki na Nasari, namkubali kwa dhati japo namhurumia Sioi kwa sababu ni rafiki!.

Nyie watu wa Kanda ya Kaskazini, msiichukie hivyo CCM, kwani pamoja na mabaya yake, pia kuna mema mengi imelifanyia taifa hili!.

Namalizia kwa kusisitiza, huu ni mtazamo tuu!

Wasalaam.

Pasco
Arusha.
 
Wee Matola wee, Msula Eve, hihiiiii......

Sasa mbona watutukana Wanyamwezi jamani bila kosa? People Power ilipofika Igunga, somo limeeleweka.

Sisi huku SIKONGE, hatujawahi kumuona Dr. Slaa hata siku moja maana anapita tu wilaya nyingine.

Kinachotuponza Sikonge ni kuwa eneo letu ni kubwa sana na vijiji vipo mbalimbali huku idadi ya watu ikiwa ndogo sana. Yaani huwezi kuamini majimbo kama Arumeru kwa Nassary peke yake, idadi ya wapiga kura inazidi wapiga kura wote wa SIKONGE. Idadi ya watu Mwanza na Shinyanga ni kubwa sana ila kwa Tabora na hasa SIKONGE hadi unakuja kufika Mbeya na Mpanda, huko ni watu wachache sana. Maeneo kama INYONGA, Kikwete ndiyo alikuwa RAIS WA KWANZA TANZANIA kufika huko maana hata Nyerere alikuogopa kufika kwa umbali. Pia kumbuka Kikwete mwenyewe gari lake lilikwama njiani na ikabidi afike kwa Helicopter.

Hivyo msiwe mnatutukana tu wakati tumeachwa na vyama vyote vya upinzani kwa sababu ya ukubwa wa eneo vs idadi ndogo ya wapiga kura. Siku Chadema wakigundua umuhimu wa kufika mara moja moja walau robo tu ya wanavyofika Arusha, Mwanza, Shinyanga na Mbeya, basi na sisi somo litaeleweka. Mbona Igunga wameamka na ushindi ulikuwa karibu sana sana kama siyo mauwaji, unyanyasaji na kila aina ya uonevu wa CCM?

Katika kanda ya Ziwa sehemu ambayo nadhani inapaswa kufanyika kazi ya ziada ni mkoa wa Tabora, hawa wanyamwezi hata siwaelewi elewi akili zao zimekaaje!!
 
Last edited by a moderator:
Sijui operation M4C lini itaingia mkoani Dodoma kwa sababu watu huku hawajui chama cho chote zaidi ya CCM.

Ni ajabu na kweli!
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, nipatapo fursa, hupita huku na kule na kubadilishana mawazo na watu mbalimbali wa kada tofauti. Kwa takriban siku 3 zilizopita, nimepata fursa ya kutembelea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ambayo ndiyo inayo dorminate Kanda ya Kaskazini, kiukweli CCM Imechokwa mpaka basi!.

Siku zote nimekuwa nikisema humu, CCM imekuwa ikichaguliwa na wengi sio kwa sababu ya kupendwa au kukubalika sana, bali kwa mazoea tuu wengi wakiwa ndicho chama pekee walichokifahamu tangu wamezaliwa, na wengine wakikichagua CCM kama asante ya kutuletea uhuru kupitia TANU, na idadi kubwa ya walio vijijini, wamekuwa wakiichagua CCM kwa ignorance tuu ya elimu ya uraia!. Sasa wale wanaichagua CCM kama asante ya kutupatia uhuru, ni oldguard, wanazidi kupungua na wachache waliobakia they days are numbered!. Wale wengi waliokuwa wakiichagua kwa ignorance, sasa wameamka!.

Kwa mujibu wa kada mbalimbali nilozungumza nao, wamethibitisha kuwa hakuna jinsi Ole Sendeka, Ole Medeye na Ole Nyaguro wataweza kusalimika, sehemu salama mpaka sasa ni Jimbo la Monduli tuu!.

Kama kasi ya upepo wa mwamko kama Kanda ya Kaskazini, utaingia kanda ya Ziwa kwa kasi hiyo hiyo, then hakuna jinsi yoyote ya kuiokoa CCM isipigwe mwereka uchaguzi wa 2015!.

Determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ambayo ndiyo inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu!. Kati ya watu milioni 40 wa sensa ya mwaka 2002 kwa Tanzania yenye makabila 120, Wasukuma peke yao wako milioni 6!. Sasa ukiwajumlisha na Kanda ya Kaskazini, hata kama mikoa yote iliyobakia wataipigia kura CCM, bado kwa kanda hizo mbili pekee, zinatosha kabisa kuipiga chini CCM!.

Mwelekeo huu ni uthibitisho kuwa ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, sio ndoto tena, ni kitu ambacho kinawezekana!.

Natoa mwito kwa Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu, tusiendekeze hizi siasa za chuki za kukichukia chama fulani bila sababu za msingi ya chuki hiyo, au kukipenda na kikishabikia chama fulani kwa upenzi tuu, matokeo ya mwisho ya siasa hizi ni kujengeana chuki zisizo na sababu!. Tupingane bila kupigana, tutofautiane kisiasa bila kuchukiana bali tupingane huku tukipendana!.

Hata mimi uchaguzi wa Arumeru, nilisimama na Sioi, tumekutana na Nasari pale Dodoma, tumekumbatiana, na kiukweli kutoka moyoni mwangu, sina chuki na Nasari, namkubali kwa dhati japo namhurumia Sioi kwa sababu ni rafiki!.

Nyie watu wa Kanda ya Kaskazini, msiichukie hivyo CCM, kwani pamoja na mabaya yake, pia kuna mema mengi imelifanyia taifa hili!.

Namalizia kwa kusisitiza, huu ni mtazamo tuu!

Wasalaam.

Pasco
Arusha.

Pasco,

..ulianza vizuri sana lakini conclusion ya makala yako imenishangaza kidogo.

..CCM wamepewa kila nafasi ya kurekebisha makosa yao lakini bado wanaendelea kuvuruga.

..huwezi kuwalaumu hao wananchi wa mikoa ya kaskazini kwa "chuki" au kuchoshwa kwao na CCM. They have supported CCM for 40+ year until they lost all hopes.

..moving forward, ili tufikie ktk ukombozi kamili wa nchi yetu, tujiulize hao wanaoendelea kuipenda CCM wanasababu gani?
 
........sehemu salama mpaka sasa ni Jimbo la Monduli tuu!.
mkuu Pasco bado utetezi wako unalenga mlemle mwa bosi wako!!
jana walimzushia anaumwa, embu tupe ukweli coz najua upo kwenye ndege yake.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, nipatapo fursa, hupita huku na kule na kubadilishana mawazo na watu mbalimbali wa kada tofauti. Kwa takriban siku 3 zilizopita, nimepata fursa ya kutembelea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ambayo ndiyo inayo dorminate Kanda ya Kaskazini, kiukweli CCM Imechokwa mpaka basi!.

Siku zote nimekuwa nikisema humu, CCM imekuwa ikichaguliwa na wengi sio kwa sababu ya kupendwa au kukubalika sana, bali kwa mazoea tuu wengi wakiwa ndicho chama pekee walichokifahamu tangu wamezaliwa, na wengine wakikichagua CCM kama asante ya kutuletea uhuru kupitia TANU, na idadi kubwa ya walio vijijini, wamekuwa wakiichagua CCM kwa ignorance tuu ya elimu ya uraia!. Sasa wale wanaichagua CCM kama asante ya kutupatia uhuru, ni oldguard, wanazidi kupungua na wachache waliobakia they days are numbered!. Wale wengi waliokuwa wakiichagua kwa ignorance, sasa wameamka!.

Kwa mujibu wa kada mbalimbali nilozungumza nao, wamethibitisha kuwa hakuna jinsi Ole Sendeka, Ole Medeye na Ole Nyaguro wataweza kusalimika, sehemu salama mpaka sasa ni Jimbo la Monduli tuu!.

Kama kasi ya upepo wa mwamko kama Kanda ya Kaskazini, utaingia kanda ya Ziwa kwa kasi hiyo hiyo, then hakuna jinsi yoyote ya kuiokoa CCM isipigwe mwereka uchaguzi wa 2015!.

Determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ambayo ndiyo inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu!. Kati ya watu milioni 40 wa sensa ya mwaka 2002 kwa Tanzania yenye makabila 120, Wasukuma peke yao wako milioni 6!. Sasa ukiwajumlisha na Kanda ya Kaskazini, hata kama mikoa yote iliyobakia wataipigia kura CCM, bado kwa kanda hizo mbili pekee, zinatosha kabisa kuipiga chini CCM!.

Mwelekeo huu ni uthibitisho kuwa ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, sio ndoto tena, ni kitu ambacho kinawezekana!.

Natoa mwito kwa Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu, tusiendekeze hizi siasa za chuki za kukichukia chama fulani bila sababu za msingi ya chuki hiyo, au kukipenda na kikishabikia chama fulani kwa upenzi tuu, matokeo ya mwisho ya siasa hizi ni kujengeana chuki zisizo na sababu!. Tupingane bila kupigana, tutofautiane kisiasa bila kuchukiana bali tupingane huku tukipendana!.

Hata mimi uchaguzi wa Arumeru, nilisimama na Sioi, tumekutana na Nasari pale Dodoma, tumekumbatiana, na kiukweli kutoka moyoni mwangu, sina chuki na Nasari, namkubali kwa dhati japo namhurumia Sioi kwa sababu ni rafiki!.

Nyie watu wa Kanda ya Kaskazini, msiichukie hivyo CCM, kwani pamoja na mabaya yake, pia kuna mema mengi imelifanyia taifa hili!.

Namalizia kwa kusisitiza, huu ni mtazamo tuu!

Wasalaam.

Pasco
Arusha.

juzi Simba walivocheza na Arabu Shandy walipiga jabulani kama Barcelona.

huyu okwi nyie muacheni tu. noma sana.
 
Wee Matola wee, Msula Eve, hihiiiii......

Sasa mbona watutukana Wanyamwezi jamani bila kosa? People Power ilipofika Igunga, somo limeeleweka.

Sisi huku SIKONGE, hatujawahi kumuona Dr. Slaa hata siku moja maana anapita tu wilaya nyingine.

Kinachotuponza Sikonge ni kuwa eneo letu ni kubwa sana na vijiji vipo mbalimbali huku idadi ya watu ikiwa ndogo sana. Yaani huwezi kuamini majimbo kama Arumeru kwa Nassary peke yake, idadi ya wapiga kura inazidi wapiga kura wote wa SIKONGE. Idadi ya watu Mwanza na Shinyanga ni kubwa sana ila kwa Tabora na hasa SIKONGE hadi unakuja kufika Mbeya na Mpanda, huko ni watu wachache sana. Maeneo kama INYONGA, Kikwete ndiyo alikuwa RAIS WA KWANZA TANZANIA kufika huko maana hata Nyerere alikuogopa kufika kwa umbali. Pia kumbuka Kikwete mwenyewe gari lake lilikwama njiani na ikabidi afike kwa Helicopter.

Hivyo msiwe mnatutukana tu wakati tumeachwa na vyama vyote vya upinzani kwa sababu ya ukubwa wa eneo vs idadi ndogo ya wapiga kura. Siku Chadema wakigundua umuhimu wa kufika mara moja moja walau robo tu ya wanavyofika Arusha, Mwanza, Shinyanga na Mbeya, basi na sisi somo litaeleweka. Mbona Igunga wameamka na ushindi ulikuwa karibu sana sana kama siyo mauwaji, unyanyasaji na kila aina ya uonevu wa CCM?
mkuu mkoa wa Tanga upo kaskazini lakini loh!!! lushoto pekeee ndo kuna wajanja wachache, huko kwingine ni CCM A na CCM B tu.
 
cdm challenge waliyonayo ni kuhakikisha kua wanapata majority bungeni, huwezi kushinda urais alafu bungeni mkawa mko kwenye minority serikali itashindwa kufanya kazi yake vizuri. NDO mana akina slaa na mbowe wako busy huko vijijini wanapita kila mkoa coz wataka wasitake inabidi kama wanataka kutawala hii nchi inabidi wapate majority bungeni...
 
mkuu mkoa wa Tanga upo kaskazini lakini loh!!! lushoto pekeee ndo kuna wajanja wachache, huko kwingine ni CCM A na CCM B tu.

katika kutafuta ukombozi hatupaswi kuwakejeli wenzetu hata kama tunatofautiana nao misimamo.
 
Mkuu Pasco,

Ili analysis yako ya mambo ya uchaguzi iwe nzuri, usitumie takwimu za sensa, tumia takwimu za Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. Unaweza kuta ukanda fulani una population kubwa sana lakini idadi ya waliojiandikisha kupiga kura ni ndogo.

Ukitumia data za daftari la kudumu la wapiga kura angalau unaweza kuwa unaongea kitu chenye mwelekeo. Ingawa hata hilo daftari la kudumu la wapiga kura limechakachuliwa sana na ndio maana uchaguzi wa 2010 ni watu milioni 8 tu, ndio waliotuchagulia Rais.

Ukienda na hoja yako kwamba wasukuma wako milioni 6, hata Dar pekee kuna wakazi zaidi ya milioni 6, ajabu ni kwamba wanaoshiriki uchaguzi au kupiga kura ni kama laki 5 hivi, kulingana na takwimu za uchaguzi wa 2010. Jimbo la Ubungo lina wapiga kura 450,000 waliojiandikisha, lakini waliopiga kura ni 120,000. Kwa hiyo kuna vitu vingi sana vya kufanyia kazi pindi unapoandika analysis yako.

Je, umeishajiuliza ni kwanini majimbo mengi ya Dar CCM wanashinda? Dar ukiendesha hiyo survey yako ya kuongea na watu unaweza kuja na conclusion kwamba CCM imechokwa, lakini ukijiuliza kwanini CCM inashinda, unakosa majibu ya kueleweka. Inawezekana unaongea na watu ambao si wapiga kura ama hawajajiandikisha au wamejiandikisha lakini huwa hawashiriki zoezi la kupiga kura.

Ili CCM ing'oke, kazi ya kwanza ya wapinzani iwe ni kusimamia uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura na liboreshwe na tume huru ya uchaguzi, sio hii ya Lubuva. Maana mwaka 2010 wakati wa uboreshaji, kuna mtu alishikwa Kimara akiendelea na zoezi la kutengeneza vitambulisho vya kupiga kura wakati deadline ilishapita na alikuwa anafanya hivyo kwa maelekezo ya viongozi wa CCM wa kata. Mpaka leo hii kesi hiyo ilikufa kibudu. Kuna madudu mengi sana kwenye daftari la kudumu la wapiga kura na kuna uhuni mwingi sana unafanywa na Tume ya Uchaguzi. Kuna mashushushu kibao wameajiriwa hapo makao makuu ya tume ya uchaguzi na kuna makada kibao wa CCM wako hapo tume, na haijulikani hata ajira zake huwa ziko namna gani.
 
Last edited by a moderator:
WEngi wanaichukia ccm kwasababu wanaelewa kuwa tulitakiwa kuwa mbali sana zaidi ya hapa kimaendeleo kutokana na rasilimali tulizonazo na kodi tunazojitahidi kutoa bila kupata maelezo ya matumizi yake.
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi kuamini kuwa baada ya miaka 50 ya serikali ya ccm inaishi kitajiri huku kuna mikoa haifikiki kwa lami achilia mbali wilaya zake, hokuna hospitali za uhakika kila wilaya na hata kama zipo hazina vifaa wala madaktari, shule ndio kama hivyo usiseme, yapo mengi katika kila nyanja na wenye akili timamu wanayaelewa ndio maana mpaka wanaingia kaburini hatakaa waipende ccm mmoja wapo nikiwa mimi na familia yangu.
 
Mi sijaelewa hoja ya msingi ni ipi hasa.
kwamba tusiichukie CCM eti kwa sababu kuna mema mengi imetufanyia?
Vipi kuhusu mabaya iliyotufanyia? Binafsi sina chuki na CCM ila hakistahili kubakia madarakani..
 
Mkuu Sikonge umesomeka vema mimi huwa nasema tusiwalamu watu wa tabora zawadi walio tupa Igunga ni kubwa sana na ilikuwa heshima kwa CDM na cdm ndiyo wajilaumu kwa kushindwa kucheza karata zao vema kwa upande wa mawakala na ikumbukwe miundo mbinu ni mibovu huwezi linganisha na arumeru....Mbowe alitu ahidi kuwa mpaka kufikia mwaka 2015 hakuna kijiji ambacho kitakuwa hakijafikiwa na kiongozi wa kitaifa naamini watafika huko..
 
Mi sijaelewa hoja ya msingi ni ipi hasa.
kwamba tusiichukie CCM eti kwa sababu kuna mema mengi imetufanyia?
Vipi kuhusu mabaya iliyotufanyia? Binafsi sina chuki na CCM ila hakistahili kubakia madarakani..

Mkuu TANMO,

Unakuwa kama vile humjui vyema Pasco, siku zote huwa anauma na kupuliza. Matokeo yake, analysis zake nyingi huwa zinaweza kuishia na contradicting statements au conclusions ambazo zinaacha maswali mengi.

Serikali inapofanya lolote lile la maendeleo kwa wananchi, ni sehemu ya wajibu wake na hivyo wananchi hawalazimiki kuishukuru. Basically, hela inayotumika kuleta hayo maendeleo ni kodi yao, sasa utajishukuru mwenyewe kwa kujifanyia kizuri? Maana raslimali zote wanauza kwa wawekezaji na mapato yake hatujui hata yanakokwenda, halafu Pasco anasema tuwashukuru kwa kududanganyia vi-maendeleo mbuzi kwa kukaba kodi zetu huku wao wakichukua share kubwa ya kodi kwa njia za ufisadi.
 
Last edited by a moderator:
sasa akinyosha maelezo si atanyimwa bahasha na mamvi

Ha ha ha ha ha ha ha ha .... mimi huwa sitaki kuamini hilo kwa kuwa najua jamaa ana vyanzo vyake vingine vya mshiko. Tatizo la Pasco ni kwamba ana connection nyingi na wa-sure wa CCM, sasa huwa anaogopa kuwadunga za usoni kavukavu maana wakikutana nae sehemu sehemu lazima wamuulize, mbona siku hizi huna ustaarab. Ndio maana mabandiko yake mengi ya kuikosoa CCM huwa yana dalili za apologetic wa CCM. Huwa simtofautishi sana na Mjengwa. Mjengwa akiwa na nondo za kukandia upinzani huwa anazirusha LIVE lakini kama ni nondo za kuikandia CCM huwa anaziweka kwenye falsafa na lugha yake ya mafumbo maana anajua viongozi wengi wa CCM huwa hawaumizi vichwa kutafakari.

Shuhudia mabandiko ya Pasco akiwa anarusha za usoni kwa Mbowe au Dr. Slaa au CHADEMA, huwa hamalizii na contradicting statements.
 
Last edited by a moderator:
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, nipatapo fursa, hupita huku na kule na kubadilishana mawazo na watu mbalimbali wa kada tofauti. Kwa takriban siku 3 zilizopita, nimepata fursa ya kutembelea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ambayo ndiyo inayo dorminate Kanda ya Kaskazini, kiukweli CCM Imechokwa mpaka basi!.

Siku zote nimekuwa nikisema humu, CCM imekuwa ikichaguliwa na wengi sio kwa sababu ya kupendwa au kukubalika sana, bali kwa mazoea tuu wengi wakiwa ndicho chama pekee walichokifahamu tangu wamezaliwa, na wengine wakikichagua CCM kama asante ya kutuletea uhuru kupitia TANU, na idadi kubwa ya walio vijijini, wamekuwa wakiichagua CCM kwa ignorance tuu ya elimu ya uraia!. Sasa wale wanaichagua CCM kama asante ya kutupatia uhuru, ni oldguard, wanazidi kupungua na wachache waliobakia they days are numbered!. Wale wengi waliokuwa wakiichagua kwa ignorance, sasa wameamka!.

Kwa mujibu wa kada mbalimbali nilozungumza nao, wamethibitisha kuwa hakuna jinsi Ole Sendeka, Ole Medeye na Ole Nyaguro wataweza kusalimika, sehemu salama mpaka sasa ni Jimbo la Monduli tuu!.

Kama kasi ya upepo wa mwamko kama Kanda ya Kaskazini, utaingia kanda ya Ziwa kwa kasi hiyo hiyo, then hakuna jinsi yoyote ya kuiokoa CCM isipigwe mwereka uchaguzi wa 2015!.

Determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ambayo ndiyo inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu!. Kati ya watu milioni 40 wa sensa ya mwaka 2002 kwa Tanzania yenye makabila 120, Wasukuma peke yao wako milioni 6!. Sasa ukiwajumlisha na Kanda ya Kaskazini, hata kama mikoa yote iliyobakia wataipigia kura CCM, bado kwa kanda hizo mbili pekee, zinatosha kabisa kuipiga chini CCM!.

Mwelekeo huu ni uthibitisho kuwa ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, sio ndoto tena, ni kitu ambacho kinawezekana!.

Natoa mwito kwa Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu, tusiendekeze hizi siasa za chuki za kukichukia chama fulani bila sababu za msingi ya chuki hiyo, au kukipenda na kikishabikia chama fulani kwa upenzi tuu, matokeo ya mwisho ya siasa hizi ni kujengeana chuki zisizo na sababu!. Tupingane bila kupigana, tutofautiane kisiasa bila kuchukiana bali tupingane huku tukipendana!.

Hata mimi uchaguzi wa Arumeru, nilisimama na Sioi, tumekutana na Nasari pale Dodoma, tumekumbatiana, na kiukweli kutoka moyoni mwangu, sina chuki na Nasari, namkubali kwa dhati japo namhurumia Sioi kwa sababu ni rafiki!.

Nyie watu wa Kanda ya Kaskazini, msiichukie hivyo CCM, kwani pamoja na mabaya yake, pia kuna mema mengi imelifanyia taifa hili!.

Namalizia kwa kusisitiza, huu ni mtazamo tuu!

Wasalaam.

Pasco
Arusha.
false hope
 
Back
Top Bottom