afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
Afro Hujambo mama?
Me micd you lots dear....:hug:
mie sijambo kabisa Kimey
ndo nini kupotea hivyo??
Hope uko mzima kabisa dear..
me missed u too.....:hug::hug:
Afro Hujambo mama?
Me micd you lots dear....:hug:
i should date both of you then....lol
hahahah
Haitawezekana na hatuta kubali
kwani mmoja wetu akiachwa anakimbilia
kwa mwenzake kumfariji hahahah lol
halafu kuna mambo mengine
tunayaongea mmmmhhhhh
inapendeza kila mtu akiwa na wake hahahah lol
Dah! Yaani hapa mtaani jambo hili limetokea jamaa anamfukuzia binti mzuri wenzake wameweka ngumu lol.
Nafurahi kusikia u mzima, nadhani siku hizi hakuna kesi tena eh, maana nataka kufunga firm yangu ya uadvocates...mie sijambo kabisa Kimey
ndo nini kupotea hivyo??
Hope uko mzima kabisa dear..
me missed u too.....:hug::hug:
Nafurahi kusikia u mzima, nadhani siku hizi hakuna kesi tena eh, maana nataka kufunga firm yangu ya uadvocates...
Nilikuambia kua mpole akikua ataacha (hommie naomba asisome hii lol)
Boss nikimfundisha jamaa maana yake huyu binti anaweza akaangukia mikononi mwangu.the finest..
mfundishe jamaa jinsi ya kufanya....
ikibidi atumie mbinu
kaka yaani inashangaza sana...
halafu baada ya mda msichana anaenda kwa waganga hana bahati
kumbe anatembea na maadui zake yeye anawaita mashosti....
Tumsifu Yesu Kristu.Kweli mwanamke hawezi kutambua adui yake
The Boss mimi ngoja niseme nilichokishuhudia
Binti katokewa na kijana, wakaelewana na uhusiano ukaanza.
Siku ya kwanza, ya pili , ya tatu, wiki, hatimaye mwezi, mwaka ukapita.
Kijana akawa anamjali mwenza wake mpaka basi.
Mara zote wakishiriki mapenzi wanatumia kinga.
Binti nae kwa kupenda sifa na akaamua kuwaambia "mashosti zake" jinsi anavyopendwa na kutunzwa na mndani wake.
Mashosti wakaingia wivu hasa baada ya kushuhudia kwa macho yao mabadiliko ya mwenzao.
Siku ya siku binti wa watu akawa hajisikii vizuri, akahisi huenda ni ujauzito.
Akampigia sim mndani wake akamweleza anavyojisikia. Kijana akamshauri aende hospital akapime.
Binti akaona uzushi, akawaeleza mashosti wake, wakamshauri wanunue vidude vya kupimia preg.
Shosti mmoja wao akampima na akampa jibu kwamba ana mzigo wa 2months.
Bila kuuliza wala nini, binti akaamua kumsakama kijana wa watu kuwa amempa mimba na akubali kuitunza na amuoe au la waitoe, ingawaje binti alikuwa anasema period anaipata kama kawaida.
Kijana kuulizia uthibitisho, akaambiwa alipimwa na rafiki zake. Binti akashauriwa tena akapime hospital, lakin wapi akawa mbogo zaidi. Akasema vile vipimo haviwezi kumdanganya.
Kijana wa watu akaamua aombe ruhusa kazin siku ya kazi ili aende hospital sambamba na huyo binti wakapime.
Ikaja gundulika binti ana maralia.
Sasa hivi kijana ameachana na yule binti, and at the same time binti kalianzisha bifu na mashosti zake kwa kumharibia uhusiano wake
Tumsifu Yesu Kristu.
kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..
i mean sura,shepu na kadhalika...
sasa nije kwenye mada......
siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
wapo pamoja....mmoja ambae ni mzuri kuliko wote
ukijaribu kumtongoza au kuanzisha mazungumzo
basi yule mbaya au wale wabaya lazima wajaribu kuharibu mazzungumzo....
mara watajifanya wana haraka wanaondoka au kitu chocote kile
cha kuharibu mazungmzo..
ajabu utakuta yule mzuri anaeharibiwa anakuwa kama zuzu hivi
anawasilikiza mno na kuwaamini wenzake....
huwa inanishangaza sana.....
yaani ukikuta msichana mzuri na mbaya,basi yule mbaya ndie anaemshikia akili yule mzuri...na wivu juuu......
Kwa nini kamwacha mbona sioni sababu ya uzito???Kweli mwanamke hawezi kutambua adui yake
The Boss mimi ngoja niseme nilichokishuhudia
Binti katokewa na kijana, wakaelewana na uhusiano ukaanza.
Siku ya kwanza, ya pili , ya tatu, wiki, hatimaye mwezi, mwaka ukapita.
Kijana akawa anamjali mwenza wake mpaka basi.
Mara zote wakishiriki mapenzi wanatumia kinga.
Binti nae kwa kupenda sifa na akaamua kuwaambia "mashosti zake" jinsi anavyopendwa na kutunzwa na mndani wake.
Mashosti wakaingia wivu hasa baada ya kushuhudia kwa macho yao mabadiliko ya mwenzao.
Siku ya siku binti wa watu akawa hajisikii vizuri, akahisi huenda ni ujauzito.
Akampigia sim mndani wake akamweleza anavyojisikia. Kijana akamshauri aende hospital akapime.
Binti akaona uzushi, akawaeleza mashosti wake, wakamshauri wanunue vidude vya kupimia preg.
Shosti mmoja wao akampima na akampa jibu kwamba ana mzigo wa 2months.
Bila kuuliza wala nini, binti akaamua kumsakama kijana wa watu kuwa amempa mimba na akubali kuitunza na amuoe au la waitoe, ingawaje binti alikuwa anasema period anaipata kama kawaida.
Kijana kuulizia uthibitisho, akaambiwa alipimwa na rafiki zake. Binti akashauriwa tena akapime hospital, lakin wapi akawa mbogo zaidi. Akasema vile vipimo haviwezi kumdanganya.
Kijana wa watu akaamua aombe ruhusa kazin siku ya kazi ili aende hospital sambamba na huyo binti wakapime.
Ikaja gundulika binti ana maralia.
Sasa hivi kijana ameachana na yule binti, and at the same time binti kalianzisha bifu na mashosti zake kwa kumharibia uhusiano wake
we huwajui wasichana wengine...
unatoa bussiness card,wanapokea wenyewe kwa jinsi walivyo kimbelembele
au unaondoka tu
wanaanza comments negative kwa sababu ya wivu..tu
Kwa nini kamwacha mbona sioni sababu ya uzito???
Ila jamaa anapaswa aangalie binti amejifunza nini kwenye kosa lake alilotenda, na mtu kama huyu hawezi rudia kosa kama lile. kuliko kuachana nae kwenda tafuta mwingine ambae atatoka na single yake mupya kabisa. bado naomba mshauri jamaa amrudie mwanamke wake sababu keshagundua makosa yakeGaga my dia
Hapa binti kaonyesha wazi anawasikiliza zaidi mashosti zake kuliko mwenza wake
Na mbaya zaidi hakutaka kufanyia kazi hata kidogo ushauri wa mwenza wake mpaka walipoenda pamoja hospital
Kijana akaona hawezi kuhusiana na mtu ambaye hawezi kuelewana nae wala japo kumsikiliza, badala yake anasikiliza maneno ya mashosti zake.
Anaona mbeleni itamgharimu