Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,874
kwanza niseme namaanisha uzuri wa nje wa muonekano..

i mean sura,shepu na kadhalika...

sasa nije kwenye mada......

siku zote ukiona wasichana wawili au watatu marafiki
wapo pamoja....mmoja ambae ni mzuri kuliko wote
ukijaribu kumtongoza au kuanzisha mazungumzo

basi yule mbaya au wale wabaya lazima wajaribu kuharibu mazzungumzo....
mara watajifanya wana haraka wanaondoka au kitu chocote kile
cha kuharibu mazungmzo..

ajabu utakuta yule mzuri anaeharibiwa anakuwa kama zuzu hivi
anawasilikiza mno na kuwaamini wenzake....

huwa inanishangaza sana.....

yaani ukikuta msichana mzuri na mbaya,basi yule mbaya ndie anaemshikia akili yule mzuri...na wivu juuu......
 
Yaani ina maana anakuwa hana akili zake mwenyewe? pole rafiki ulipeperushiwa ndege wako au vipi!
 
Na wewe unapenda wazuri? wabaya tutajibeba mwaka huu
Ahaaa ahaaaa Gaga sasa wewe si unakumbuka wale rafiki zako walivyokuwa wamekushika masikio wakati nakutokea kwa vile wao walikuwa sio wakali kiasi hicho basi wakaona wanipeperushie ndege wangu na wewe ukawasikiliza
 
Halafu yule mzuri kama ulivyosema anakuwa kama zuzu kweli yaani wale wenzake ndio wanakuwa wana control maamuzi yake

kaka yaani inashangaza sana...
halafu baada ya mda msichana anaenda kwa waganga hana bahati
kumbe anatembea na maadui zake yeye anawaita mashosti....
 
Ahaaa ahaaaa Gaga sasa wewe si unakumbuka wale rafiki zako walivyokuwa wamekushika masikio wakati nakutokea kwa vile wao walikuwa sio wakali kiasi hicho basi wakaona wanipeperushie ndege wangu na wewe ukawasikiliza
Looo nipeperushiwe sababu ya marafiki si unakumbuka nilijifanya nimechoka tukahamia baa ya jirani? akili mu kichwa
 
kaka yaani inashangaza sana...
halafu baada ya mda msichana anaenda kwa waganga hana bahati
kumbe anatembea na maadui zake yeye anawaita mashosti....
Huyo atakuwa zuzu, unless hakukupenda kabisa . yaani marafiki wanibanie kisa!!! we ungemwachia business card yako angekutafuta wakati yuko peke yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom