Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

Wivu uliochanganyika na yote hayo. wanakuwa over proctective
Home last born wetu ni wa kike sasa nikikaa saa zingine huwa nacheka sana huwa wananiambia vipi mkuu usije ukaanza kuwapiga vijana mkwara
 
dawa ya vidume vya aina hii,ukimpata mrembo
unawakaribisha wote nyumbani...kidume mnakiacha sebuleni

halafu huko chumbani unahakikisha mrembo anapiga kelele za kitandani....
halafu unatoka na taulo lol
Ahaaa ahaaa Boss unataka ngumi wewe hadharani
 
Na wewe hujambo kwa mitongozo

gaga hivi hujui msichana mzuri asipotongozwa anaweza kujihisi ana mkosi?

sometimes tunawasaidia just to feel good about themselves..

tazama pm yako...
 
Najua huwa anapendwa sababu ya taarabu yule, maana likianzwa kupigwa sebene la taarabu naona kila kidume huwa anamtolea macho
Hivi inakuwaje siku hizi wanaume wanapenda kuwa na wasichana wembamba halafu akipita mnene mwenye litaarab bado unaona kama mtu anamtamani vile yaani anamwangalia kwa matamanio, ni ile kwamba asili yetu tunaikana ila haiwezi kukutoka yoote kichwani au?
 
yaani kama unanizungumza mimi vile...
 
Hivi inakuwaje siku hizi wanaume wanapenda kuwa na wasichana wembamba halafu akipita mnene mwenye litaarab bado unaona kama mtu anamtamani vile yaani anamwangalia kwa matamanio, ni ile kwamba asili yetu tunaikana ila haiwezi kukutoka yoote kichwani au?
Gaga wengi wao mara nyingi inakuwa ni kwenye hiyo bluu wanatamani mizigo mikubwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom