Msichana mzuri mwenye shosti mbaya............

sawa kabisa mkuu,nishakutana na dizaini hii sana,dawa unaanza na mbaya unamtembelea kisha unapiga chini unabeba mzuri kimoja
 
basi mwenzio akitokewa we
kaza mwendo....

hahahahah lol
mie nina best wangu mmoja
tunavaa size sawa kiatu na nguo,
test zetu za fashion hazina tofauti..
tukienda out mmmmhhhhh ndivyo ilivyo..

Na Mungu katujali hatuna tofauti kubwa
sana kati ya miili yetu.. niko naye tangu high school..

kwa mimi kama kweli ni rafiki wa kweli..
hatafanya ulicho sema hapo juu..
lakini saa nyingine ni vizuri kuwa na mtu
ambaye ni at list yuko kwenye level fulani ya
makubaliano na wewe .. makubaliano ya ndani na nje..
mmmhh
 
ikitokea kuna mtu anakutokea
na yeye akaanza kuharibu like
fanya haraka twende,au kuwa kimbelembele kuzungumza
na huyo mtu..
unafanya nini?
 
sawa kabisa mkuu,nishakutana na dizaini hii sana,dawa unaanza na mbaya unamtembelea kisha unapiga chini unabeba mzuri kimoja
Tatizo unaweza kusema unajaribu halafu unakwama, unakuta mkarimu sana, ajituma kitandani,anamthamini mama, baba na ndugu zako, unabaki uantoa mimacho tu kujinasua huwezi. kila ukijaribu unaemwona ni mzuri sana unakuta hana yale uliyoyakuta kule zaidi ya sura na shepu yake tu.unarudi mbio kwa sura dr remmy wako
 
yaani......umezungumza pa nyewe
hawa wa baya ukijifanya ngoja nichape halafu nimuache utashangaaa

kwanza sio wasumbufu
hata usiku wa manane ukimwambia panda basi au chukua taxi
njoo wanakuja...
halafu hawana wivu,hata akikuona na nani hakuuulizi...
watiifu mno....
ndo maana wengi wanaolewa haraka...
 
Tatizo unaweza kusema unajaribu halafu unakwama, unakuta mkarimu sana, ajituma kitandani,anamthamini mama, baba na ndugu zako, unabaki uantoa mimacho tu kujinasua huwezi. kila ukijaribu unaemwona ni mzuri sana unakuta hana yale uliyoyakuta kule zaidi ya sura na shepu yake tu.unarudi mbio kwa sura dr remmy wako

ha haaa hapa lazima upige u-turn
 
ikitokea kuna mtu anakutokea
na yeye akaanza kuharibu like
fanya haraka twende,au kuwa kimbelembele kuzungumza
na huyo mtu..
unafanya nini?

hahah lol
haijawahi tokea na sizani itakuja tokea
my dear sisitunaelewana sana na tuko kwenye
ule umri mtu akipata mtu ni ni sawa tu..
ntamwambia amlete kwangu wine, dinner invite few more friends, have fun

mambo ya tenager tumeshaa yaacha
Kipindi hicho mpaka na ****** tunapeana
kweli wivu hatuna .. na wote ni watu ambao
tuko kwenye stage fulani ya maisha unaridhika na ulicho nacho...
 
i should date both of you then....lol
 
Afro Hujambo mama?
Me micd you lots dear....:hug:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom