Mshahara wa care international ni shs ngapi kwa fresh graduate ? Nisaidieni wadau

Kuuliza mshahara kwanza unayemuuliza ana miaka mingapi apo alipo kama mfano huu Dereva ma mgodini anaanza na mshahara wa milioni moja na point bila makato je mwenye miaka kumi atakua na mshahara gani na kila mwezi na mwaka mishahara inaongezeka msidharau kazi unaweza ukawa mshahara mdogo ila ukapata nafasi ya kuwa mtu wa field kwa sana nambie apo utadai nini kingine mshahara si kitu hata ungekua ni milioni mbili kazi kwanza mengine baadaye
 
Jaman nisaidie na mimi, nina degree ya education, nafundsha xul ya kata, nxt year namalza Masterz ya Ed. Je mshahara n sh ngap kwa masterz? Je hata ukfanya kaz kitengo cha wizara ya elmu, stl salar itakua kama ya shulen?
 
Kuna ofisi hazijali vyeti kabisa ni uzoefu na position hapa ninapofanya kazi kuna mama yupo hapa tangu mwaka 1982(sijazaliwa) ni darasa la saba ila anamshahara mkubwa kuliko wenye masters na training kibao.
 
Kazi anafanya mtu sio vyeti hehehe
 
Kuna ofisi hazijali vyeti kabisa ni uzoefu na position hapa ninapofanya kazi kuna mama yupo hapa tangu mwaka 1982(sijazaliwa) ni darasa la saba ila anamshahara mkubwa kuliko wenye masters na training kibao.

wapi hapo.
 
Maahirika Kibao ya Kimataifa wanacheki CV tu na wala c Vyeti, Vyeti vinatengenezwa, Care wao wenyewe hawdill na vyeti sana kwa sa babu wanauzoefu wa kujaili watu wenye GPA kari sana na walipo fika kazini wakafanya kinyume na vyeti vyao.

Kuhusu Mishahara ya Care inategemeana na vitu vingi sana

1. Mradi unao kuajili- Care huwa ajira zao zinategemeana na mradi, make care bila mieadi hakuna kazi

2. Kazi unayo fanya- Hapa namanisha position yako, umeajiliwa kama nani? hapa hakuna ishu za vyeti

Care wana miradi mingi sana but unaweza shangaa wafanya kazi wa maradi fulani labuda, mradi wa Afya sehemu fulani wao wakiajiliwa wanapewa kila kitu means Laptop, Air time kila mwezi na kazalika, Na wafanyakazi wa maradi labuda wa mazingira wasipate hivyo vitu

SO MASILAHI CARE YANATEGEMEANA SANA NA MRADI ULIOKUJILI NA HUO MURADI UNA FUNGU KIASI GANI, NA TERM AND CONDITION ZA HUO MURADI ZIKOJE,
 
Back
Top Bottom