PUTs ndo watu gani nami niwajueHabari za leo wana bodi.
Niende moja kwa moja kwenye mada, naomba anayefahamu mshahara wa PUTs anisaidie Kwa anayeanza kazi.
Natanguliza shukrani kwa wachangiaji.
Public Universities Teaching ScalePUTs ndo watu gani nami niwajue
Wanakuja chief nlitaka kucomment nkagundua nachotaka kuzungumzia ni hz institute of ..... Na so universities watakuja wadau hope utapata mwongozo mzuri wako wengi humuPublic Universities Teaching Scale