Miaka yote zaidi ya 30 alikuwa analipwa mshahara huohuo?Naomba kwa wenye utalamu wa kujua kwa mtumishi mwenye mshahara 2,116,000. Na kafanya kazi kwa miaka 32.
Kwa kikokotoo hiki kipya
1 atalipwa keshi tshs ngapi?
2 pesa ya kila mwezi atakuwa anachukua kiasi gani
Naomba kwa anaejua anisaidie
Ukitoa Makatoduuh pesa nyingi hyo watu wanafaidi
duuh pesa nyingi hyo watu wanafaidi
bila shaka alikuwa mkuu wa shuleUkitoa Makato
Bima
Cwt
Kodi
Hicho ni kiwango cha mwisho unapostafuMiaka yote zaidi ya 30 alikuwa analipwa mshahara huohuo?
Kuna Makato mengi huwezi chukua yoteduuh pesa nyingi hyo watu wanafaidi
Kitapita tuKikokotoo Ndiyo Mwiba Mchungu Sana Kwa Mtumishi
Police Wameamua Kula Kiwi
Hakuna mshahara mkuu wa shule,mwalimu yeyote anaifikia ngazi hiyo,hilo nidaraja I kwa ngazi ya walimubila shaka alikuwa mkuu wa shule
Mpwayungu Village njoo uone mshahara wa mwalimu ulivyo mnono.Ukitoa Makato
Bima
Cwt
Kodi
Kausha damu mmezidi, mizinga Hadi Jf!Ml 2 nigaie