Salary scale ya customer care wa kampuni za kubet kama ntaweza kujuzwa sokabet ntashukuru

Kibra49

Senior Member
Jul 19, 2017
177
47
Habari wadau naomba kuuliza agent wa customer care service kwenye betting salary scale yao ni kuanzia ngapi?
 
150,000 mkataba unasema hivyo, lakini kuna Bonus unapobetisha ticket nyingi kuna Bonus kila mwezi.

kuna wanaopata bonus hadi 300k bonus bado kuna wateja malofa mkeka kala lakini unamwambia mkeka ushaungua, Unatandika.

Kuna Tips, Mteja kala Laki 8 na 7000 anakwambia hiyo 7000 kale mchana,

Wateja wanakula 3200,3100,7300,8200, hvyo vi mia mbili vi mia tatu hawanaga taima navyo.

kwa siku unaondoka na hata 5000 kutoka kwa wateja.

KULA : CHAKULA ni juu ya mwajiri wako ni nnje ya ile mshahara (6000 per day) uamuzi ni wako ule au ufunge uondoke na hela yako.
 
Kuna binti analipwa 150,000 ila kila weekend hakosi angalau laki 2. Kuna watu wanabet halafu hata hawajui walichobet na jinsi gani kujua kama wameshinda. Na wapo wengi mno. Humo ndimo hao ma agent wanapoparta pesa.
 
Inamana huyo mtu anabetije asijue ameshinda au Ile mikeka ya kumulika au
 
150,000 mkataba unasema hivyo, lakini kuna Bonus unapobetisha ticket nyingi kuna Bonus kila mwezi.

kuna wanaopata bonus hadi 300k bonus bado kuna wateja malofa mkeka kala lakini unamwambia mkeka ushaungua, Unatandika.

Kuna Tips, Mteja kala Laki 8 na 7000 anakwambia hiyo 7000 kale mchana,

Wateja wanakula 3200,3100,7300,8200, hvyo vi mia mbili vi mia tatu hawanaga taima navyo.

kwa siku unaondoka na hata 5000 kutoka kwa wateja.

KULA : CHAKULA ni juu ya mwajiri wako ni nnje ya ile mshahara (6000 per day) uamuzi ni wako ule au ufunge uondoke na hela yako.
Nyie mnzungumzia kubet Kwa makaratas au,, maana mpka mtu asijue kama kashinda au ajashinda.
 
Tuache uongo kama kuliwa nunuu ataliwa tu, mazoea hujenga tabia, jipange mle vya kutosha ili hata akisanuka uwe umefaidi vya kutosha.

Kuna wateja wanapesa na sifa zingine kuliko wenye mali au wake au wapenzi wao
 
Back
Top Bottom