Kwani hamtaki watu wa kujitolea?

Boyfriend15

Member
Jul 22, 2022
26
20
Nawasilisha kwenu mabosi na wafanyakazi mliopo maofisini

Mimi ni kijana nina miaka 23 mzaliwa wa mbeya lakini kwa sasa ni mkazi wa dar es salaam

nina degree ya ACCOUNTING AND FINANCE IN BUSINESS SECTOR niliopita chuo kikuu Mzumbe ni fresh graduate

Pia nina experience kidogo ya sales na cashier(supermarket)

Nina ujuzi wa mifumo mbalimbali ya uhasibu (Accounting packages) kwenye tally prime na quick book

Pia nina knowledge ya computer application (MS WORD, EXCEL)

Natafuta kazi yeyote au internship kwaajili ya kuongeza experience Naamini ninaweza nikaongeza kitu katika kampuni/taasisi

Jamani kama kuna nafasi sehemu naiomba hiyo fursa
Natanguliza shukrani zangu

NB. Kazi yeyote hata nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya

0621774403
 
Dar ishakuwa cheap labour zone mpaka imefika extent waajiri hawaajiri tena kwakuwa wahitaji ni wengi mno, kinachofanyika ni kuchukua interns tu waje watumikishwe weeeee bila malipo na muda wako ukiisha wachukue wengine. https://jamii.app/JFUserGuide seeking experience, zipo namna zingine za kuishi fam laasivyo tutaendelea kuwa watumwa wa hiyari.
 
Habari Mkuu!
Kuna njiambili tu za kupata Intern kwa sasa!
Mosi, Tafuta chawa mmoja ukae naye bega kwa bega!
Pili, Tembelea NGOs huko ndo kuna watu ila serikalini utamaliza viatu Mkuu
 
Hawatoi nafasi za kujitolea ili mtu upate experience, lakini wakitangaza kazi vigezo vyao wanahitaji uwe na experience. Sasa hiyo experience naipataje Kama nimetuma Maombi kibao ya kujitolea kwenye makampuni lakini wanassma nafasi hazipo
Ndio taasisi zetu hizo tanzania
 
Dar ishakuwa cheap labour zone mpaka imefika extent waajiri hawaajiri tena kwakuwa wahitaji ni wengi mno, kinachofanyika ni kuchukua interns tu waje watumikishwe weeeee bila malipo na muda wako ukiisha wachukue wengine. JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala seeking experience, zipo namna zingine za kuishi fam laasivyo tutaendelea kuwa watumwa wa hiyari.
Shida hiyo internship lazima ushikwe mkono hata kama nauli hutaki.
 
Nawasilisha kwenu mabosi na wafanyakazi mliopo maofisini

Mimi ni kijana nina miaka 23 mzaliwa wa mbeya lakini kwa sasa ni mkazi wa dar es salaam

nina degree ya ACCOUNTING AND FINANCE IN BUSINESS SECTOR niliopita chuo kikuu Mzumbe ni fresh graduate

Pia nina experience kidogo ya sales na cashier(supermarket)

Nina ujuzi wa mifumo mbalimbali ya uhasibu (Accounting packages) kwenye tally prime na quick book

Pia nina knowledge ya computer application (MS WORD, EXCEL)

Natafuta kazi yeyote au internship kwaajili ya kuongeza experience Naamini ninaweza nikaongeza kitu katika kampuni/taasisi

Jamani kama kuna nafasi sehemu naiomba hiyo fursa
Natanguliza shukrani zangu

NB. Kazi yeyote hata nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya

0621774403
Kuna shule inahitaji mwalimu wa book keeping

Mshaara 250,000

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom