Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,056
- 1,598
Pasco.. don't worry at all.. kinachofanyika as I promised before has never been attempted in TZ politics.. Usajili utapatikana na watashangazwa how ready CCJ is to field candidates kwenye uchaguzi mkuu..
CCJ, je huyu ndiye Musa tuliyekuwa tukimsubiri atutoe (Misri) utumwani na kutuongoza katika nchi ya Ahadi! nchi ya maziwa na asali! nasi wana wa nchi KAMA huyu ndie MUSA tulikuwa tunamsubiri , je tuko tayari kumfuata na kuwa naye pamoja hata kama tutakosa chakula jangwani! Hatuta msaliti na kujichongea sanamu yetu? Je hatutatamani kurudi tena Misri?