Luteni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 2,274
- 302
Kwenye red ingependeza kama ungeandika na usajili wa vyama ulivyoandika ume-personalize sana inaonyesha kazi yake ni kusajili Ccj tu wakati kuna vyama kibao vinasubiri uhakiki. Binafsi nataka Ccj isajiliwe ikiwezekana hata leo lakini pressure anayopewa na Ccj si sahihi hata kidogo, hata mimi mtu akija ofisini kwangu huwa natumia utaratibu wa FIFO first in first out ndiyo ustaarabu duniani kote.Kichuguu.. absolutely.. Msajii ofisi yake iko chini ya Marmo ambaye ni mbunge wa CCM ..................anauamuzi wa mwisho kuhusu utekelezaji wa wagombea binafsi na usajili wa CCJ na kupanga gharama za majimbo kwa mujibu wa sheria hii mpya..