Msajili ajipanga kuanza uhakiki wa CCJ wiki hii

Haya magazeti yaliposema kuwa CCJ inapokewa kwa kishindo na kinakubarika na watu ukatuletea hiyo habari, leo wakisema kuwa mwenyekiti wenu hana kadi unaona kuwa hawaendi deeper kulikoni mzee !

sihoji kauli za magazeti nahoji kauli za serikali. Mimi siamini "serikali ikisema"; wengine "Tendwa kasema" basi ndio mwisho...
 
Kutosajiliwa kwa CCJ hata kama kuna mkono wa CCM lakini 90% imesababishwa na uzembe wao hawakutaka ushauri kwa vyama vilivyopo, kitu kama M/kiti kutokuwa na kadi huo si mkono wa CCM ni uzembe wao, kutokuwepo kwa jina la Katibu kwenye orodha si mkono wa CCM ni uzembe wao. Hivi vitu viwili tu vikitumiwa na opponent wako ukiongeza na wandishi wetu wa habari ambao hawana muda wa kudadisi wanaomeza kila kitu bila kuuliza vinaweza kuzua wasiwasi kwa wananchi, kwa hiyo CCJ wasitafute mchawi, kama ni mchawi yuko ndani mwao wanatembea naye na kula naye.
 
Mazee umeulizwa maswali simple tu kuhusu kadi na listi, kwa watu nyeti kama Mwenyekiti na katibu kukosa kuwa na kadi/ kuwepo kwenye list ni aibu.

Kiranga listi ipi? Ur the most inquisitive person here but u too have been stricken by the "Tendwa said" syndrome.

Mtu kuishika shati CCJ kwa uzembe haina maana kwamba anashabikia serikali. Nyie kama mnajua Tendwa yuko biased mlitakiwa msimpe mwanya, sasa kama hizi accusations ni za kweli mnaharibu credibility hivi hivi na mnampa Tendwa legitimate grounds za kuwa delist.

CCJ ilimpa nafasi Tendwa kuonesha kuwa anaweza kuwa fair and impartial.. lakini tulitarajia tangu mwanzo kabisa kuwa hawezi kuisajili CCJ kwa sababu alishaamua kutoisajili kabla ya juzi. Watu wanzungumza kuhusu Msajili as if alikuwa yuko huru kuisajili wakati ameshasema hawezi kuisajili wala kuihakiki na tayari kauli imetolewa kuwa CCJ haitoshiriki uchaguzi mkuu. Binafsi ningekuwa impressed sana kama Tendwa angeweza kuonesha kuwa anaweza kufanya kazi impartially lakini asingeweza.
 
Kutosajiliwa kwa CCJ hata kama kuna mkono wa CCM lakini 90% imesababishwa na uzembe wao hawakutaka ushauri kwa vyama vilivyopo, kitu kama M/kiti kutokuwa na kadi huo si mkono wa CCM ni uzembe wao, kutokuwepo kwa jina la Katibu kwenye orodha si mkono wa CCM ni uzembe wao. Hivi vitu viwili tu vikitumiwa na opponent wako ukiongeza na wandishi wetu wa habari ambao hawana muda wa kudadisi wanaomeza kila kitu bila kuuliza vinaweza kuzua wasiwasi kwa wananchi, kwa hiyo CCJ wasitafute mchawi, kama ni mchawi yuko ndani mwao wanatembea naye na kula naye.

ooh the mighy absolution of the ruling party and its organs..
 
Mzee Mwanakijiji,
CCJ ilimpa nafasi Tendwa kuonesha kuwa anaweza kuwa fair and impartial.. lakini tulitarajia tangu mwanzo kabisa kuwa hawezi kuisajili CCJ kwa sababu alishaamua kutoisajili kabla ya juzi. Watu wanzungumza kuhusu Msajili as if alikuwa yuko huru kuisajili wakati ameshasema hawezi kuisajili wala kuihakiki na tayari kauli imetolewa kuwa CCJ haitoshiriki uchaguzi mkuu. Binafsi ningekuwa impressed sana kama Tendwa angeweza kuonesha kuwa anaweza kufanya kazi impartially lakini asingeweza.
Mkuu hata sikuelewi kabisa.. Sasa kama mlijua toka mwanzo kwamba Tendwa hawezi kuisajili CCJ kwa nini mliendelea kutaka isajiliwe hali isingewezekana!.Je, mlikuwa mnamjaribu? au kitu gani maanake ktk maswala haya hayataki mzaha mzaha na Uswahili mnacheza na roho za watu mkuu wangu... U guys gut to be serious!
 
.....It is simple! CCJ shot itself on the foot...............They shouldn't blame anyone else.....
 
quote_icon.png
Originally Posted by Luteni
Pasco na MMKJ nafurahi kuona mnavyojitahidi kuwafanya watu waone Ccj ni mkombozi, ni kama vile namona Pasco alivyokaa akisubiria hilo tamko. Jamani tumeona na kusikia matamko mangapi we need physical action now na si blaa blaa, leo Ccj wakimaliza tamko lao kesho Tendwa anatoa tamko lake keshokutwa Ccj watakuja na tamko kali maradufu baadaye Tendwa atawapuuza na sinema itakuwa imefika tamati. Mwisho Ccj kwa kujitetea watasema mnaona wasingenishika shati ningemgaragaza, ngumi za utotoni hizo.

Naomba kujinukuu, kama nilivyosema hapo mwanzo, mwisho wa sinema hii umekaribia baada ya wiki moja au mbili tutaanza kuzungumza historia ya Ccj, The Rise na Fall of CCJ, tuliyajua haya.
 
Naomba kujinukuu, kama nilivyosema hapo mwanzo, mwisho wa sinema hii umekaribia baada ya wiki moja au mbili tutaanza kuzungumza historia ya Ccj, The Rise na Fall of CCJ, tuliyajua haya.

Mwanakijiji sijui atarudi CCM au CHADEMA......
 
Kutosajiliwa kwa CCJ hata kama kuna mkono wa CCM lakini 90% imesababishwa na uzembe wao hawakutaka ushauri kwa vyama vilivyopo, kitu kama M/kiti kutokuwa na kadi huo si mkono wa CCM ni uzembe wao, kutokuwepo kwa jina la Katibu kwenye orodha si mkono wa CCM ni uzembe wao.

Orodha ipi na ya wapi? Halafu ushauri wa vyama vingine vipi ambavyo kwao CCJ ni adui anayetishia maslahi yao?

Hivi vitu viwili tu vikitumiwa na opponent wako ukiongeza na wandishi wetu wa habari ambao hawana muda wa kudadisi wanaomeza kila kitu bila kuuliza vinaweza kuzua wasiwasi kwa wananchi, kwa hiyo CCJ wasitafute mchawi, kama ni mchawi yuko ndani mwao wanatembea naye na kula naye.

jamani hivyo vyama vikongwe vya upinzani navyo vimefanya makosa na miaka 18 vimeshindwa kusahihisha; CCJ ilipogundua kosa mara moja ikalisahihisha na inatarajia kwenda mbali zaidi baadaye leo. CCJ kama chama kitaweza kufanya makosa ya hapa na pale lakini ni makosa ambayo wakati mwingine ni muhimu kwa ajili ya kujijenga na kujiimarisha zaidi.
 
Naomba kujinukuu, kama nilivyosema hapo mwanzo, mwisho wa sinema hii umekaribia baada ya wiki moja au mbili tutaanza kuzungumza historia ya Ccj, The Rise na Fall of CCJ, tuliyajua haya.

ushawahi kusikia kisa cha fisi kunyemelea mkono wa mtu..?
 
kituo kimoja si kwamba alikuwa anaenda sehemu mbalimbali za Dar.. yeye alichagua sehemu moja na watu wakatakiwa waende hapo..

Mkuu ina maana msajili alikuwa na register ya wananchama wa temeke tu? Maana kama ana register zote, si unahakiki wa mikocheni au mbaga in the respective registers!!! What really happened?
 
Back
Top Bottom