Msajili ajipanga kuanza uhakiki wa CCJ wiki hii

Uhakiki wa CCJ Dar vurugu tupu, TENDWA ADAI WANACHAMA HALALI NI 13 TU, ZOEZI LASITISHWA

ccjusajili.jpg
Elizabeth Suleyman

VURUGU zimezuka wakati wa uhakiki wa wanachama wa Chama cha Jamii (CCJ), baada ya Msajili waVyama vya Siasa nchini, John Tendwa kusitisha zoezi hilo mkoani Dar es Salaam.Tendwa alichukua hatua hiyo baada ya kubaini kuwa chama hicho kina wanachama halali 13 badala ya 200 katika mkoa huo

Baada ya timu ya ukaguzi wa wananchama iliyoongozwa na Tendwa kubaini hilo na kutangaza kuwa wanachama walitimiza masharti ni 13 tu, viongozi wa CCJ walidai hizo ni hujuma za CCM.

Jana gazeti hili lilishuhudia wanachama zaidi ya150 kutoka maeneo mbalimbali wilayani Temeke wakiandikishwa wakati uhakiki ukiendelea katika viwanja vya Mwembe Yanga.

Tendwa alianza kuhakiki fomu 247 alizokabidhiwa na uongozi wa CCJ. Wakati akiendelea na zoezi hilo, ndipo utata ulianza kuhusu wanachama waliofika kuhakikiwa pamoja na viongozi wao.

Katika uhakiki huo, iligundulika kuwa Mwenyekiti wa CCJ, Richard Kiyabo ni miongoni mwa majina yaliyopo kwenye fomu za wanachama lakini hakuwa na kadi ya chama.

Mwenyekiti huyo alijititea kuwa kadi yake ilipotea alipovamiwa na majambazi eneo la Kariakoo mwaka huu na kwamba,taarifa alishatoa polisi.

Mkasa huo pia ulimkumba katibu wa chama hicho, Renatus Muabhi ambaye alijikuta katika wakati mgumu, baada ya kuambiwa na msajili kwamba, katika orodha ya majina yaliyopo kwenye fomu jina lake halipo, ila ana kadi kadi tu.

“Mheshimiwa, huenda makosa yalifanyika wakati kuchapa majina hayo katika fomu hizo,” alijitetea Muabhi.

Hata hivyo, Tendwa aliwaambia kuwa kwa vile wao ndiyo waanzilishi wa chama hicho, anawatambua, ingawa mmoja wao jina lake halipo kwenye fomu.

Wakati Tendwa aliendelea na uhakiki huo, alibaini kuwa kati ya wanachama 200 walioko katika chama hicho, 13 ndiyo waliotimiza vigezo vya kuwa wanachama.

“Nashindwa kuelewa, viongozi CCJ walisema wana wanachama 200 mkoani Dar es Salaam na 7,000 kwa nchi nzima, lakini katika uhakiki niliyofanya, nimepata wanachama 13 tu ambao wana vigezo na nimerudisha kadi 27 ambazo hazina sifa," alisema Tendwa na kuongeza:

“Baadhi ya wanachama, wamekuja na kadi yenye majina tofauti na yaliyoandikwa kwenye fomu ya orodha ya wanachama”.

Tendwa alitoa mfano: “Utakuta kadi imeandikwa jina Halima Mohamed, lakini kwenye fomu unakuta namba ya kadi ni ya Juma Salum”.

Tendwa alipoanza kutoa kasoro hizo, viongozi wa CCJ akiwemo mwenyekiti walianza kulalamika na kusema wamesitisha zoezi hilo, kutokana na hujuma za viongozi wa CCM ambao hawataki CCJ ishiriki uchaguzi.

“Mheshimiwa, tunaomba kusitisha zoezi hili kwa sababu tuna hofu na CCM, kwani hakina nia CCJ isajiliwe mwaka huu”, alisema Kiyabo.

Alisema kuna haja ya kuwepo vyama vya hiari vitakavyotetea haki ya wanyonge, kwa sababu CCJ haitendewi haki kabisa kutokana na mipaka inayowekewa ambayo haina misingi.

“Serikali ilisema mwezi huu mtahakiki na kukisajili chama chetu; sasa hivyo vigezo vya kusema kwamba, wanachama hawana vigezo vya unachama, vinatoka wapi ni bora mzee ustaafu kazi. Mnatuhujumu hakuna haki hapa”, alisema kwa hasira na kudai kwamba wanasitisha zoezi la kuhakiki kuendelea katika mikoa iliyosalia.

Kiyabo alidai kuwa CCM hakitaki CCJ , isajiliwe ndiyo maana Tendwa anataka kuwa juu ya sheria kwa kutumia demokrasia ya kutuwahujumu .

Kufuatia hali hiyo, Tendwa alitoa amri ya kusitisha zoezi la uhakiki kwa Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na wanachama wengi kugundulika kuwa hawana vigezo na kwamba kesho ataanza na mkoa wa Pwani Jumamosi atamalizia na Wilaya ya Ifakara, Morogoro.

“Kwa Dar es Salaam, basi tena, tumesitisha zoezi hili badala yake tutaendelea na uhakiki katika mikoa iliyosalia,” alisema Tendwa.

HIVI VYAMA VIPYA VIJIAANDAE KWA UCHAGUZI WA MWAKA 2015 JAMANI VINALETA UWINGI KWENYE UCHAGUZI NA HAVIWEZI KUSHINDA.
 
Ina maana CCJ haina watu makini wa kupitia kumbukumbu zao kwa usahihi? Au Ndio ile waswahili wanasema ngoma ikivuma sana mwisho hupasuka ! Binafsi nimefedheheshwa kwa kilichotokea !
 
Uhakiki wa CCJ Dar vurugu tupu, TENDWA ADAI WANACHAMA HALALI NI 13 TU, ZOEZI LASITISHWA Send to a friend Friday, 04 June 2010 00:08 0diggsdigg

ccjusajili.jpg
Mwenyekiti wa Chama Cha Jamii (CCJ) Richard Kiyabo, akizuiwa na mlinzi wake wakati akielekea kwenye meza ya msajili wa vyama, John Tendwa kumlalamikia kuhusu zoezi la kuhakiki wanachama wa chama hicho viwanja vya Temeke Mwembeyanga jijini Dar es Salaam jana. Picha na Silvan Kiwale

Elizabeth Suleyman

VURUGU zimezuka wakati wa uhakiki wa wanachama wa Chama cha Jamii (CCJ), baada ya Msajili waVyama vya Siasa nchini, John Tendwa kusitisha zoezi hilo mkoani Dar es Salaam.Tendwa alichukua hatua hiyo baada ya kubaini kuwa chama hicho kina wanachama halali 13 badala ya 200 katika mkoa huo

Baada ya timu ya ukaguzi wa wananchama iliyoongozwa na Tendwa kubaini hilo na kutangaza kuwa wanachama walitimiza masharti ni 13 tu, viongozi wa CCJ walidai hizo ni hujuma za CCM.

Jana gazeti hili lilishuhudia wanachama zaidi ya150 kutoka maeneo mbalimbali wilayani Temeke wakiandikishwa wakati uhakiki ukiendelea katika viwanja vya Mwembe Yanga.

Tendwa alianza kuhakiki fomu 247 alizokabidhiwa na uongozi wa CCJ. Wakati akiendelea na zoezi hilo, ndipo utata ulianza kuhusu wanachama waliofika kuhakikiwa pamoja na viongozi wao.

Katika uhakiki huo, iligundulika kuwa Mwenyekiti wa CCJ, Richard Kiyabo ni miongoni mwa majina yaliyopo kwenye fomu za wanachama lakini hakuwa na kadi ya chama.

Mwenyekiti huyo alijititea kuwa kadi yake ilipotea alipovamiwa na majambazi eneo la Kariakoo mwaka huu na kwamba,taarifa alishatoa polisi.

Mkasa huo pia ulimkumba katibu wa chama hicho, Renatus Muabhi ambaye alijikuta katika wakati mgumu, baada ya kuambiwa na msajili kwamba, katika orodha ya majina yaliyopo kwenye fomu jina lake halipo, ila ana kadi kadi tu.

“Mheshimiwa, huenda makosa yalifanyika wakati kuchapa majina hayo katika fomu hizo,” alijitetea Muabhi.

Hata hivyo, Tendwa aliwaambia kuwa kwa vile wao ndiyo waanzilishi wa chama hicho, anawatambua, ingawa mmoja wao jina lake halipo kwenye fomu.

Wakati Tendwa aliendelea na uhakiki huo, alibaini kuwa kati ya wanachama 200 walioko katika chama hicho, 13 ndiyo waliotimiza vigezo vya kuwa wanachama.

“Nashindwa kuelewa, viongozi CCJ walisema wana wanachama 200 mkoani Dar es Salaam na 7,000 kwa nchi nzima, lakini katika uhakiki niliyofanya, nimepata wanachama 13 tu ambao wana vigezo na nimerudisha kadi 27 ambazo hazina sifa," alisema Tendwa na kuongeza:

“Baadhi ya wanachama, wamekuja na kadi yenye majina tofauti na yaliyoandikwa kwenye fomu ya orodha ya wanachama”.

Tendwa alitoa mfano: “Utakuta kadi imeandikwa jina Halima Mohamed, lakini kwenye fomu unakuta namba ya kadi ni ya Juma Salum”.

Tendwa alipoanza kutoa kasoro hizo, viongozi wa CCJ akiwemo mwenyekiti walianza kulalamika na kusema wamesitisha zoezi hilo, kutokana na hujuma za viongozi wa CCM ambao hawataki CCJ ishiriki uchaguzi.

“Mheshimiwa, tunaomba kusitisha zoezi hili kwa sababu tuna hofu na CCM, kwani hakina nia CCJ isajiliwe mwaka huu”, alisema Kiyabo.

Alisema kuna haja ya kuwepo vyama vya hiari vitakavyotetea haki ya wanyonge, kwa sababu CCJ haitendewi haki kabisa kutokana na mipaka inayowekewa ambayo haina misingi.

“Serikali ilisema mwezi huu mtahakiki na kukisajili chama chetu; sasa hivyo vigezo vya kusema kwamba, wanachama hawana vigezo vya unachama, vinatoka wapi ni bora mzee ustaafu kazi. Mnatuhujumu hakuna haki hapa”, alisema kwa hasira na kudai kwamba wanasitisha zoezi la kuhakiki kuendelea katika mikoa iliyosalia.

Kiyabo alidai kuwa CCM hakitaki CCJ , isajiliwe ndiyo maana Tendwa anataka kuwa juu ya sheria kwa kutumia demokrasia ya kutuwahujumu .

Kufuatia hali hiyo, Tendwa alitoa amri ya kusitisha zoezi la uhakiki kwa Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na wanachama wengi kugundulika kuwa hawana vigezo na kwamba kesho ataanza na mkoa wa Pwani Jumamosi atamalizia na Wilaya ya Ifakara, Morogoro.

“Kwa Dar es Salaam, basi tena, tumesitisha zoezi hili badala yake tutaendelea na uhakiki katika mikoa iliyosalia,” alisema Tendwa.
Source:Uhakiki wa CCJ Dar vurugu tupu, TENDWA ADAI WANACHAMA HALALI NI 13 TU, ZOEZI LASITISHWA
 
Heshima mbele Mkuu: (kwenbye red) Naam, CUF wameitumia vizuri pressure hadi waka-capitulate on the issue of ufisadi. Profesa wao alianza kuwatetea mafisadi hadharani -- kwa kicheko kikubwa kutoka CCM!

Msamehe jamaa yupo desparate sana na CCJ sisi tunaotaka ccm ishindwe tunawatakia heri lakini tunamshukuru mungu pia kwa sababu Chadema ipo
 
If they can't be serious on minor things like documenting, hawa jamaa wanastahili kupewa nchi kweli?!

Mara mia ya zimwi likujualo!
 
tupe usuli wake maana umeishia kwenye heading tu kaasisi

Si unajua kuwa samwel Doe yeye alitumwa kwenda kuua viongozi basi akafanya hilo na akarudi na kuwashughurikia waliomtuma na kuwa raisi - You know what i'm saying?
 
Kama hivyo ndivyo sheria inavyosema na kama Tendwa alifuata sheria basi nakubaliana naye. Lakini tatizo naloliona hapa ni kuwa Tandwa alishakosa hadhi ya kuwa msajili tangu siku alipotangaza kuwa CCJ haitashiriki uchaguzi hata kama itakamilisha vigezo vyote. Binafsi naona, viumbe wanaofanana na Tendwa ni maadui wakubwa wa usalama na demokrasia kwa nchi yetu.
Mungu Ibariki Tanzania
 
Duh! Ila hili la Katibu ( Ambaye ndiye mtendaji) Kutokuwepo kwenye List ya Fomu nalifananisha na ishu ya Shitambala na Ubunge wa Mbeya Vijijini, ila nimepata picha kwamba hiki chama kinaendeshwa kwa remote control na jamaa walioko sasa hivi ni watu tu wa kukurupushwa nendeni maelezo, semeni hivi nk. Siyo watu makini hata kidogo

Ngoja tusikie watasema nini
 
Pamoja na vita inayosemekana wanapigwa CCJ, nilitegemea wangekua wanu wenye ufanisi, na mwelekeo. Hiki nikichekesho...CCJ, wanahitaji kina MKJJ, hao waliopo sasa nina wasiwasi. Siasa ni biashara siku hizi TZ, sasa CCJ inaonekana mnataka kukoga lakini hamtaki kuchojoa hahaha CCJ do your homework!
 
kuna watu wanaabudu serikali hadi inasikitisha...yaani serikali ikikohoa tu wote mnakimbilia upande wake!
 
Mzee Mwanakijiji hakuna Askari wanaoenda kupigana vita halafu wakaacha loop hole za wazi za kushindwa vita, Vyombo vya Habari ( Si Serikali) vimeripoti kwamba Chairman wa CCJ hana kadi, Katibu wa CCJ hayuko kwenye Orodha ya Wanachama sasa unaposema Serikali ikikohoa sijui una maana gani sasa kama si kweli si mseme kwamba habari hizo ni za Uzushi kwamba Chairman alikuwa na Kadi na Katibu 9 ambaye ndiye mtendaji alikuwemo kwenye Orodha)
 
CCM na serekali yake wapo Very very advance subirini mtajioneya wenywe .

Katika thread hii hii SONARA alisema tusubiri tuone maana CCM na Serikali wako advanced. Hii ilikuwa kabla ya sakata hili la vurugu katika kuhakiki, ilikuwa ni pale ilipotanganzwa kuwa msajili ataanza kuhakiki.
Nadhani SONARA alikuwa anajua kuwa haya yatatokea - anayo mengi kama atataka kutufunulia.
Kwa mawazo yangu kuna umafia fulani unaweza kuwa umetokea. Nakumbuka kuwa wakati CCJ wanaadikisha wanachama walikuwa wanadai kuona kadi za kujiandikisha kupiga kura, sasa inakuwaje kadi hizo ghafla zinabadilika? au katika undikishaji ulioongezwa muda ndipo madudu haya yalipofanyika?
Hakika hili si suala la kusikitika, kucheka na kuishia hapo - Vyama vyote vya upinzani na wananchi wote kwa ujumla jipangeni kwa makini kwani umafia huu huu hutumika kwenye kupiga kura pia.
Kama ni umafia utaondolewaje? Je utumike umafia pia? Hii itakuwa hatari, lakini ikibidi….
 
kuna watu wanaabudu serikali hadi inasikitisha...yaani serikali ikikohoa tu wote mnakimbilia upande wake!

Nilikwambia Mwanakijiji. Mmejipanga vipi kukabiliana na hujuma za vyombo vya DOLA? Usidhani hatujawahi kuwa na vyama na watu MAKINI kwenye upinzani. Walikuwepo. Wakahujumiwa, wakavurugwa, wakakata tamaa. Baadhi wakarudi huko CCM.
CCM na vyombo vyake vya DOLA sio mchezo bwana. Sasa hivi "UTAALAM" wao huo ndio umetumika kule DRC kumweka Kabila mdogo madarakani, kule Comoro hali ni hiyohiyo, hapa kwetu pamoja na umahiri na umakini woote wa CUF wameshindwa kuchukua madaraka kule Zanzibar. Kama kweli CCJ ni tishio hivo mtapata taabu sana. Mtikila alijitahidi kuwa ngangari wakamnyoosha kisha wakampa usajili.
 
Uhakiki wa CCJ Dar vurugu tupu, TENDWA ADAI WANACHAMA HALALI NI 13 TU, ZOEZI LASITISHWA

ccjusajili.jpg
Elizabeth Suleyman

VURUGU zimezuka wakati wa uhakiki wa wanachama wa Chama cha Jamii (CCJ), baada ya Msajili waVyama vya Siasa nchini, John Tendwa kusitisha zoezi hilo mkoani Dar es Salaam.Tendwa alichukua hatua hiyo baada ya kubaini kuwa chama hicho kina wanachama halali 13 badala ya 200 katika mkoa huo

Baada ya timu ya ukaguzi wa wananchama iliyoongozwa na Tendwa kubaini hilo na kutangaza kuwa wanachama walitimiza masharti ni 13 tu, viongozi wa CCJ walidai hizo ni hujuma za CCM.

Jana gazeti hili lilishuhudia wanachama zaidi ya150 kutoka maeneo mbalimbali wilayani Temeke wakiandikishwa wakati uhakiki ukiendelea katika viwanja vya Mwembe Yanga.

Tendwa alianza kuhakiki fomu 247 alizokabidhiwa na uongozi wa CCJ. Wakati akiendelea na zoezi hilo, ndipo utata ulianza kuhusu wanachama waliofika kuhakikiwa pamoja na viongozi wao.

Katika uhakiki huo, iligundulika kuwa Mwenyekiti wa CCJ, Richard Kiyabo ni miongoni mwa majina yaliyopo kwenye fomu za wanachama lakini hakuwa na kadi ya chama.

Mwenyekiti huyo alijititea kuwa kadi yake ilipotea alipovamiwa na majambazi eneo la Kariakoo mwaka huu na kwamba,taarifa alishatoa polisi.

Mkasa huo pia ulimkumba katibu wa chama hicho, Renatus Muabhi ambaye alijikuta katika wakati mgumu, baada ya kuambiwa na msajili kwamba, katika orodha ya majina yaliyopo kwenye fomu jina lake halipo, ila ana kadi kadi tu.

"Mheshimiwa, huenda makosa yalifanyika wakati kuchapa majina hayo katika fomu hizo," alijitetea Muabhi.

Hata hivyo, Tendwa aliwaambia kuwa kwa vile wao ndiyo waanzilishi wa chama hicho, anawatambua, ingawa mmoja wao jina lake halipo kwenye fomu.

Wakati Tendwa aliendelea na uhakiki huo, alibaini kuwa kati ya wanachama 200 walioko katika chama hicho, 13 ndiyo waliotimiza vigezo vya kuwa wanachama.

"Nashindwa kuelewa, viongozi CCJ walisema wana wanachama 200 mkoani Dar es Salaam na 7,000 kwa nchi nzima, lakini katika uhakiki niliyofanya, nimepata wanachama 13 tu ambao wana vigezo na nimerudisha kadi 27 ambazo hazina sifa," alisema Tendwa na kuongeza:

"Baadhi ya wanachama, wamekuja na kadi yenye majina tofauti na yaliyoandikwa kwenye fomu ya orodha ya wanachama".

Tendwa alitoa mfano: "Utakuta kadi imeandikwa jina Halima Mohamed, lakini kwenye fomu unakuta namba ya kadi ni ya Juma Salum".

Tendwa alipoanza kutoa kasoro hizo, viongozi wa CCJ akiwemo mwenyekiti walianza kulalamika na kusema wamesitisha zoezi hilo, kutokana na hujuma za viongozi wa CCM ambao hawataki CCJ ishiriki uchaguzi.

"Mheshimiwa, tunaomba kusitisha zoezi hili kwa sababu tuna hofu na CCM, kwani hakina nia CCJ isajiliwe mwaka huu", alisema Kiyabo.

Alisema kuna haja ya kuwepo vyama vya hiari vitakavyotetea haki ya wanyonge, kwa sababu CCJ haitendewi haki kabisa kutokana na mipaka inayowekewa ambayo haina misingi.

"Serikali ilisema mwezi huu mtahakiki na kukisajili chama chetu; sasa hivyo vigezo vya kusema kwamba, wanachama hawana vigezo vya unachama, vinatoka wapi ni bora mzee ustaafu kazi. Mnatuhujumu hakuna haki hapa", alisema kwa hasira na kudai kwamba wanasitisha zoezi la kuhakiki kuendelea katika mikoa iliyosalia.

Kiyabo alidai kuwa CCM hakitaki CCJ , isajiliwe ndiyo maana Tendwa anataka kuwa juu ya sheria kwa kutumia demokrasia ya kutuwahujumu .

Kufuatia hali hiyo, Tendwa alitoa amri ya kusitisha zoezi la uhakiki kwa Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na wanachama wengi kugundulika kuwa hawana vigezo na kwamba kesho ataanza na mkoa wa Pwani Jumamosi atamalizia na Wilaya ya Ifakara, Morogoro.

"Kwa Dar es Salaam, basi tena, tumesitisha zoezi hili badala yake tutaendelea na uhakiki katika mikoa iliyosalia," alisema Tendwa.
Uhakiki wa CCJ Dar vurugu tupu, TENDWA ADAI WANACHAMA HALALI NI 13 TU, ZOEZI LASITISHWA

HIVI VYAMA VIPYA VIJIAANDAE KWA UCHAGUZI WA MWAKA 2015 JAMANI VINALETA UWINGI KWENYE UCHAGUZI NA HAVIWEZI KUSHINDA.

Nilitarajia hili,wanachama feki...
 
Mwanakijiji,
Jana nilitoa angalizo hili,
Mzee Mwanakijiji, " I fear the Greeks (Tendwa), especialy when they bring gifts (kukopa)".
Nilikutana na mwanasiasa mkongwe na mmoja wa Wadhamini wa CCM, akasema Tendwa anafanya makosa makubwa kukataa kuihakiki CCJ kwa sababu zozote zile. Akasema ningekuwa mimi ndio msajili, haku nimepanga moyoni mwangu niinyime usajili CCJ, hata kama ni kweli sina pesa, ningekopa na kuanza uhakiki ambao sitaumaliza mpaka muda unaisha nikihakiki tuu.

Naombeni msi relax na kuanza kwa zoezi la uhakiki ambalo hakuna work plan, work flow na time line, hivyo zoezi litaanza na kuendelea kwa mwendo wa jongoo mpaka muda uishe.

Mzee Mwanakijiji ulinijibu hivi

Pasco.. don't worry at all.. kinachofanyika as I promised before has never been attempted in TZ politics.. Usajili utapatikana na watashangazwa how ready CCJ is to field candidates kwenye uchaguzi mkuu..

Kwa haya yanayotokea, kila mwenye kuitakia mema CCJ, lazima atakuwa na sababu za ku -worry kama huu usajili utapatikana, ila kwa vile nakuaminia, I don't wory!.

One good thing ninachokuomba au kukushauri tuu Mzee Mwanakijiji na washabiki wengine wote wa CCJ, ushauri huu nauweka kwenye Tamathali za semi.
"Maji huwa yana kupwa na kujaa", ukiyaona tuu yanakuja, usisubiri yakupwe, unaweza kwenda na maji kwani ni yanajaa!.
"Dalili ya mvua ni mawingu", ukiona jua linazama, unajiandaa kabla, kwani ni hakika giza litaingia, usisubiri "lala salama", ni vizuri ukilala jifunike kabisa na shuka, kuepuka "kukumbuka shuka kumekucha",

Wakati sote tumasubiria kwa hamu kukilea kwa mapenzi mema hiki kitoto kichanga (CCJ) ambacho ndio kwanza kimezaliwa hata meno (usajili) hayaota, ni vyema ukaendeleza malezi mema kwa watoto wakubwa waliokitangulia (kina Chadema, CUF etc) ambao tayari wanatembea na kukimbia japo kwa kuchechemea.

Usiyaweke mayai yako yote ndani ya chungu kimoja, fuga kuku na njiwa, ili hata njiwa akiruka, utabaki na kuku, teka maji kwenye ndoo na kidumu, hata maji ya ndoo yakimwagika, unabaki na kidumu. Hata ule udamaduni wa Kizaramo wa Mke kupikia mafiga matatu, kusema ukweli una make sense.

To be more sensible, lets keeps hope for the best, while prepared for the worst!.
 
"Serikali ilisema mwezi huu mtahakiki na kukisajili chama chetu; sasa hivyo vigezo vya kusema kwamba, wanachama hawana vigezo vya unachama, vinatoka wapi ni bora mzee ustaafu kazi. Mnatuhujumu hakuna haki hapa", alisema kwa hasira na kudai kwamba wanasitisha zoezi la kuhakiki kuendelea katika mikoa iliyosalia.

Kwani lengo la Uhakiki ni nini? Si ni pamoja na kuangalia uhalali wa wanachama ambao chama kinadai kinao au? Aidha mimi au Mh. Mwenyekiti mmoja wetu haeliwi maana ya Zoezi zima la Uhakiki
 
Back
Top Bottom