Superman
JF-Expert Member
- Mar 31, 2007
- 5,695
- 1,696
Oh My God, Mungu aipumzishe kwema roho ya marehemu mtoto. Naona Sindibadi ashachanganyikiwa, tujuzeni kama TV za bongo na magazeti yataripoti juu ya hii!
Kamanda;
Nimeangalia ITV; TBC1 na Channel 10 hakuna kituo kilichotangaza. Huenda habari hii haina uzito kwao . . . . ingawa habari za mgombea Urais kupitia wa ticketi ya CCM zimetangazwa . . . .
Mpaka uchaguzi uishe . . . . tutasikia mengi.