Shikamoo baba,Malezi ya mfumo dume yana nguvu sana, ogopa sana mwanaume aliyelelewa na kuaminishwa kwamba ni mwanaume pekee mwenye mamlaka ya kumiliki mali achilia mbali elimu............................ Ndyoko ni mfano mzuri sana wa jambo hili................LOL
Punguza hasira Elli,yani kwa dunia ya sasa huyu ni wa kumshangaa na kumwonea huruma tu!Mopuuzi kweli huyo, ana mawzo ya mwaka arobaini na mbili.....sidhani kama ana akili timamu kweli, ngoja nitafute tusi zuri maana mijtu ya nmana hii ndio inayoendeleza mfumo dume halafu haikawii kulalamika. Pumbafu kabisa
Kiongozi unanionea bure.Mkuu unazeeka sasa nakumbuka ishu kama hii uliishupalia sana kwenye thread moja, leo naona umebadilika
Siku akipigishwa deki mtamshangaa na kumuonea huruma vile vilePunguza hasira Elli,yani kwa dunia ya sasa huyu ni wa kumshangaa na kumwonea huruma tu!
Wala hujakosea,sijui ndio kukosa kujiamini au ni nn!Huyo jamaa ni aina ya wanaume aliowasema Bishanga,ila sio WANAUME aliowasema Aspirin,huyo jamaa hajiamini kabisa na hafai kuitwa mwanaume,hebu huyo binti akutane na MWANAUME kama mimi,lazima kwa kuunganisha nguvu tungekua na mjengo kama wa NSSF!!
Kiongozi hebu tafuta thread ya JS uone ulivyoshupalia siku ileKiongozi unanionea bure.
Mie ni muumini sana wa "kuachia penzi liongoze njia"
Kwenye Penzi la kweli pesa siyo ishu, tena ni kiungo kizuri cha kunogesha penzi
Pasipokuwa na Penzi la kweli....... Pesa ni hatari sana kwenye mahusiano tena balaa linakuwa kubwa zaidi endapo pesa hizo zinamilikiwa na mwanamke.
Baada ya kusema hayo narudia tena kauli yangu kuwa "JAMAA HAKUMPENDA kiukweli binti wa watu"
Mbona km alichukua maauzi ya haraka kwani angevuta muda kwanza akamfahamu vizuri huyo binti ingekuwaje,Mambo ya kurudi usiku na kuambiwa kalale huko huko huko hapa kwangu usikanyage nani anataka?
Asikwambie mtu, kutokana na mfumo tunaoishi kwa asilimia kubwa bado wanaume hawajaweza kua na imani ya kupendwa na kuheshimiwa na Mwanamke mwenye kipato kikubwa sana. Mimi kama mimi civil servant nalamba laki tatu, halafu mpenzi wangu yupo kwenye Shirika kubwa analamba Million tano, kwa kweli hapa nadhani Imani lazima isiwepo, maana kitu kidogo tu mwanaume atahusisha na kipata then maelewanoi ndani ya nyumba hayata kua mazuri.
Mkaka ana haki ya kula kona kwa kweli mi hata simshangai.
Keshakula, hapo kuna kuuliza tena broda!Kwa hiyo jamaa amesha kula mzigo tayari?
Orayt ngoja nikaitafute....... lakini nna uhakika nilikuwa nashupalia penzi kwa maana ya penzi............ "Lakini si Penzi la Kweli"........ Penzi la kweli ni thread inayojitegemea kabisa....Kiongozi hebu tafuta thread ya JS uone ulivyoshupalia siku ile
Hizo ni hisia tu ndugu yangu,wangapi wameoa kbs na ndoa zao zina aman?Huwa mnakuwa madikiteta wa mapenzi madikiteta wa mahusiano madikiteta wakila kitu.
Mwanamke mwenye pesa/nazo namuogopa kama ukoma na ukimwi hafai heshima ndani ya nyumba inapotea.
Wala hujakosea,nimegundua kipato kikikuwa kwa mwanaume ni kawaida ila ikiwa ni kwa mwanamke ndio baadhi ya wanaume wanakosa kujiamini.Ni tabia/akili ya mtu tu. Hata mwanaume akiwa na pesa/kipato kikubwa kuliko mwanamke bado inaweza kuleta shida/matatizo katika mahusiano.
Haa haaa,always pointless
Rafiki nakusalimu. Sijakuona kwenye mitaa yote. Imekuwaje?Wanaume wengi hawapendi kuzidiwa pesa na mwanamke.........si unajua tena huwa wanapenda kuwa kichwa kwa maeneo yote. Ni wachache sana ambao wanakubali kuwa na mke akiwa amemzidi pesa...na wengine inatokea hivyo wakiwa tayari wameshaona, so hana jinsi ya kuchomoka tena.
Yeye mdada ajipange upya, Mungu atampa wa kwake. Pole yake.
My broda,hiyo si ndio safi,Inategema labda demu alibana masaburi wakapime ngoma si unajua mademu wa kibongo mapenzi ya isidingo mnaweza lala hata wiki na asikupe mzigo mpaka mkapime ngoma Angaza