Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

huyo mwanaume ni wa aina yake wanaume wa siku hzi wanaangalia kama mkoba wa mdada una notinamshangaanadhani huyo ni mmoja katika milioni tatu hongera zake
 
Malezi ya mfumo dume yana nguvu sana, ogopa sana mwanaume aliyelelewa na kuaminishwa kwamba ni mwanaume pekee mwenye mamlaka ya kumiliki mali achilia mbali elimu............................ Ndyoko ni mfano mzuri sana wa jambo hili................LOL
Shikamoo baba,
Hata km ni malezi ya mfumo dume, hata elimu na mabadiliko ya maisha ya siku hizi pia hayamsaidii kuona km mambo yamebadilika na hayo mambo ya mfumo dume hayana nafasi tena?
 
Mopuuzi kweli huyo, ana mawzo ya mwaka arobaini na mbili.....sidhani kama ana akili timamu kweli, ngoja nitafute tusi zuri maana mijtu ya nmana hii ndio inayoendeleza mfumo dume halafu haikawii kulalamika. Pumbafu kabisa
Punguza hasira Elli,yani kwa dunia ya sasa huyu ni wa kumshangaa na kumwonea huruma tu!
 
Nani humu ndani kazidiwa kipato kwa kiasi kikubwa (hapa tunazungumzia more tha 10 times) tutoe mifano hai!
Na maisha yanaenda sawa bin sawia?
 
Mkuu unazeeka sasa nakumbuka ishu kama hii uliishupalia sana kwenye thread moja, leo naona umebadilika
Kiongozi unanionea bure.

Mie ni muumini sana wa "kuachia penzi liongoze njia"

Kwenye Penzi la kweli pesa siyo ishu, tena ni kiungo kizuri cha kunogesha penzi
Pasipokuwa na Penzi la kweli....... Pesa ni hatari sana kwenye mahusiano tena balaa linakuwa kubwa zaidi endapo pesa hizo zinamilikiwa na mwanamke.

Baada ya kusema hayo narudia tena kauli yangu kuwa "JAMAA HAKUMPENDA kiukweli binti wa watu"
 
Huyo jamaa ni aina ya wanaume aliowasema Bishanga,ila sio WANAUME aliowasema Aspirin,huyo jamaa hajiamini kabisa na hafai kuitwa mwanaume,hebu huyo binti akutane na MWANAUME kama mimi,lazima kwa kuunganisha nguvu tungekua na mjengo kama wa NSSF!!
Wala hujakosea,sijui ndio kukosa kujiamini au ni nn!
 
Kiongozi unanionea bure.

Mie ni muumini sana wa "kuachia penzi liongoze njia"

Kwenye Penzi la kweli pesa siyo ishu, tena ni kiungo kizuri cha kunogesha penzi
Pasipokuwa na Penzi la kweli....... Pesa ni hatari sana kwenye mahusiano tena balaa linakuwa kubwa zaidi endapo pesa hizo zinamilikiwa na mwanamke.

Baada ya kusema hayo narudia tena kauli yangu kuwa "JAMAA HAKUMPENDA kiukweli binti wa watu"
Kiongozi hebu tafuta thread ya JS uone ulivyoshupalia siku ile
 
Mambo ya kurudi usiku na kuambiwa kalale huko huko huko hapa kwangu usikanyage nani anataka?
Asikwambie mtu, kutokana na mfumo tunaoishi kwa asilimia kubwa bado wanaume hawajaweza kua na imani ya kupendwa na kuheshimiwa na Mwanamke mwenye kipato kikubwa sana. Mimi kama mimi civil servant nalamba laki tatu, halafu mpenzi wangu yupo kwenye Shirika kubwa analamba Million tano, kwa kweli hapa nadhani Imani lazima isiwepo, maana kitu kidogo tu mwanaume atahusisha na kipata then maelewanoi ndani ya nyumba hayata kua mazuri.
Mkaka ana haki ya kula kona kwa kweli mi hata simshangai.
Mbona km alichukua maauzi ya haraka kwani angevuta muda kwanza akamfahamu vizuri huyo binti ingekuwaje,
Aalafu mbona kabla hajajua kipato chake walikuwa wakiheshimiana vizuri na ndio maana alipojua bado alishindwa kuamin mpaka alipoona slip ya mshahara?
 
Kiongozi hebu tafuta thread ya JS uone ulivyoshupalia siku ile
Orayt ngoja nikaitafute....... lakini nna uhakika nilikuwa nashupalia penzi kwa maana ya penzi............ "Lakini si Penzi la Kweli"........ Penzi la kweli ni thread inayojitegemea kabisa....

Baada ya kusema hayo, narudi kitandani kutafakari penzi langu na bibi yenu.
 
Huwa mnakuwa madikiteta wa mapenzi madikiteta wa mahusiano madikiteta wakila kitu.
Mwanamke mwenye pesa/nazo namuogopa kama ukoma na ukimwi hafai heshima ndani ya nyumba inapotea.
Hizo ni hisia tu ndugu yangu,wangapi wameoa kbs na ndoa zao zina aman?
Sema km unataka kumenteini mfumo dume hapo ni sawa,
Ila km unajiamin na kupenda kweli wala haitakusumbua!
 
Wanaume wengi hawapendi kuzidiwa pesa na mwanamke.........si unajua tena huwa wanapenda kuwa kichwa kwa maeneo yote. Ni wachache sana ambao wanakubali kuwa na mke akiwa amemzidi pesa...na wengine inatokea hivyo wakiwa tayari wameshaona, so hana jinsi ya kuchomoka tena.

Yeye mdada ajipange upya, Mungu atampa wa kwake. Pole yake.
 
Hapa lazima tuangalie malezi ya pande mbili:
Je, mwanamke alilelewa na kuaminishwa nini katika kumiliki mali?
Je, mwanaume alilelewa na kuaminishwa nini, juu ya mwanamke kumiliki mali?

kama mwanamke aliaminishwa kwamba kuwa na mali ndio kila kitu, kwa maana ya kwamba, hakuna wa kumbabaisha as long as ana ukwasi wa kutosha, huyu hawezi kuiheshimu ndoa yake, na kama mume hatakuwa na busara za kutosha (hata hivyo wengi hawana) ni kamwe hawezi kuendelea na ndoa hiyo. kama mwanamke amelelewa kaika maadili kamwe uwezo wake wa kifedha hauwezi kuyumbisha ndoa yake.

Kwa mwanaume ni mtihani kidogo, malezi tuliolelewa tulio wengi, yanahitaji busara ya hali ya juu sana kuishi na mke aliyetuzidi kipato, wengi tumeamishwa kwamba mwanamke hastahili kumiliki mali, hata kama ana mali basi mume ndiye mmiliki, akiamua kutumia mali hiyo kuhonga mahawara ni haki yake, na hata akiamua kutumia mali hiyo kuolea mke wa pili, pia hilo halipaswi kuhojiwa, kwani yeye ni kichwa cha nyumba.

Wanaume bado tunayo safari ndefu ya kukabiliana na changamoto hii..........................
 
Ni tabia/akili ya mtu tu. Hata mwanaume akiwa na pesa/kipato kikubwa kuliko mwanamke bado inaweza kuleta shida/matatizo katika mahusiano.
Wala hujakosea,nimegundua kipato kikikuwa kwa mwanaume ni kawaida ila ikiwa ni kwa mwanamke ndio baadhi ya wanaume wanakosa kujiamini.
 
Wanaume wengi hawapendi kuzidiwa pesa na mwanamke.........si unajua tena huwa wanapenda kuwa kichwa kwa maeneo yote. Ni wachache sana ambao wanakubali kuwa na mke akiwa amemzidi pesa...na wengine inatokea hivyo wakiwa tayari wameshaona, so hana jinsi ya kuchomoka tena.

Yeye mdada ajipange upya, Mungu atampa wa kwake. Pole yake.
Rafiki nakusalimu. Sijakuona kwenye mitaa yote. Imekuwaje?
 
Inategema labda demu alibana masaburi wakapime ngoma si unajua mademu wa kibongo mapenzi ya isidingo mnaweza lala hata wiki na asikupe mzigo mpaka mkapime ngoma Angaza
My broda,hiyo si ndio safi,
Ukiona mtu anataka mkapime jua anakupenda na kukujali!
 

Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom