Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

Baba hapa nimekuelewa vizuri kbs,
Lakin huoni km huyu jamaa amekurupuka?
Kwann asingekuwa mvumilivu kumsoma huyu binti na kujua km kipato chake anakichanganya na mapnz au la?
Ukizingatia kabla ya kujua kipato cha binti,jamaa alikua anampenda sana huyu binti,na binti hakuwahi kujionyesha km ana kipato kikubwa!
Na ndio maana hata alipofika kwa binti na kuona thaman za pale alishindwa kuamini km ni uwezo wa binti anayemjua mpaka akaomba slip ya mshahara ili hakikishe anachokiona!
Hapa baba unasemaje?
]

Mwanangu mpendwa, narudi pale pale kwenye maoni yangu ya kwanza, angalia page ya 2, kwamba inategemea huyu bwana aliaminishwa nini, mtu aliyeaminishwa kwamba ni haramu mwanamke kumiliki mali, hatumii mantiki katika kutafuta suluhu ya jambo hilo........... Ego ndiyo itakayomuongoza.
 
Hili ndilo Neno la ODM na Keren andaskoo Happuch!
Nimewasoma babu!
Nashukuru kwa maon yenu,
Lkn babu km binti angeamua kumficha mpaka hata wakaona siku angejua si ingekuwa tatizo pia?
Kwahiyo na nyie wanaume kuna baadhi ya vitu mnapenda mdanganywe kwanza mpaka kieleweke?
 
Amin amin nakuambia, binti huyu ana bahati kumwonyesha mapema.......... kama ilivyokuwa vingumu kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano ndivyo ingekuwa ngumu kwa ndoa yao kudumu.

Sema Amina.
 
Kwa nn ufikiri hivyo?
Je ikitokea yy akaongeza mapnz na kipato chake kikawa hakina nafasi kwenye mapenz utafanyaje?

Tatizo malezi ya binti ambayo atakuwa amelelewa msome Mtambuzi page ya 2 utamwelewa
Mabinti wengi wa kibongo wa sasa wamelelewa katika malezi ambayo siyo hawajalelewa malezi yale ya kumpenda mmeo hata kama anauza mchicha wewe unafanya kazi BoT huyo ndo mmeo mpende kwa moyo wako wote wa sasa hivi ni mapenzi ya kwenye video
 
]

Mwanangu mpendwa, narudi pale pale kwenye maoni yangu ya kwanza, angalia page ya 2, kwamba inategemea huyu bwana aliaminishwa nini, mtu aliyeaminishwa kwamba ni haramu mwanamke kumiliki mali, hatumii mantiki katika kutafuta suluhu ya jambo hilo........... Ego ndiyo itakayomuongoza.
Hapo nimekuelewa baba.
 
Amin amin nakuambia, binti huyu ana bahati kumwonyesha mapema.......... kama ilivyokuwa vingumu kwa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano ndivyo ingekuwa ngumu kwa ndoa yao kudumu.

Sema Amina.
AMINA BABU lol!
 
Khaaaaa!
Asa kutafunwa kuna tofauti gani na kuliwa babu?
Kutafuna........ kama unavyotafuna bigijii, huimezi siyo?
Kuliwa............Unatafuna afu unameza....

Tukienda kwa lugha ya ki-MMU jukwaa la Chit Chat:
Ukitoka na boifrendi wako akavaa kondom, ujue kakutafuna
Asipovaa, amekukula.

Soma upesi nidiliti kabla PAW hajaisoma.:hatari:
 
Au kwa kifupi bigi jii haitafunwi na maganda yake
 
Kutafuna........ kama unavyotafuna bigijii, huimezi siyo?
Kuliwa............Unatafuna afu unameza....

Tukienda kwa lugha ya ki-MMU jukwaa la Chit Chat:
Ukitoka na boifrendi wako akavaa kondom, ujue kakutafuna
Asipovaa, amekukula.

Soma upesi nidiliti kabla PAW hajaisoma.:hatari:

khaaaaaaa...............kumbe ndo hivyo....mhhhhh!!!!!
 
Tatizo malezi ya binti ambayo atakuwa amelelewa msome Mtambuzi page ya 2 utamwelewa
Mabinti wengi wa kibongo wa sasa wamelelewa katika malezi ambayo siyo hawajalelewa malezi yale ya kumpenda mmeo hata kama anauza mchicha wewe unafanya kazi BoT huyo ndo mmeo mpende kwa moyo wako wote wa sasa hivi ni mapenzi ya kwenye video
Inawezekana lkn kwann? msiamini kuna wanaopenda kweli bila kujali kipato chao?
Angemsoma kwanza ndio awe na maamuzi sio haraka tu km hivyo!
Ngoja asuse wenzie wanaojiamin watachukua mzigo jumla!
 
Nacho ogopa pinti pale itakapo julikana kuwa wewe unao nitakuwa sijakutendea haki ya mapenzi
Mtu mwenye uhakika na afya yake na njia zake kamwe haogopi kupima,
Na km nikigundulika ninavyo utakuwa umenisaidia pia,
Kwani nitajua namna ya kuishi na kulinda afya yangu!
 
Inawezekana lkn kwann? msiamini kuna wanaopenda kweli bila kujali kipato chao?
Angemsoma kwanza ndio awe na maamuzi sio haraka tu km hivyo!
Ngoja asuse wenzie wanaojiamin watachukua mzigo jumla!

Kwani huyo jamaa unafikiri hawezi pata mzigo mwingine?
Ishu na kwa huyo mpambe wako kama alikolea sana kwa jamaa itakuwa ishu kumpata mwingine kama huyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom