Msaada tafadhali,Kipato cha binti cha mtoa nduki jamaa..!

janaume la namna hiyo la nini?
ndo wale wasiopenda kuona wake zao wana mafanikio...

HALAFU TUKISEMA WANAUME HAWAJIAMINI MNABISHA.......
HII NDO TAASISI HURU HII?

mwambie huyo dada aendelee na maisha yake huyo mwanaume atamsumbua. halafu kwa nini kamuonyesha salary slip yake? yeye alionyeshwa?
 
Kutafuna........ kama unavyotafuna bigijii, huimezi siyo?
Kuliwa............Unatafuna afu unameza....

Tukienda kwa lugha ya ki-MMU jukwaa la Chit Chat:
Ukitoka na boifrendi wako akavaa kondom, ujue kakutafuna
Asipovaa, amekukula.

Soma upesi nidiliti kabla PAW hajaisoma.:hatari:
Haaaa haaa haaa!
Uwiiiii, mbavu zangu mie,
Haya nimekuelewa babu,
Maana ukiendelea hapa itakuwa ishu,
Unaweza ukaidiliti tu sasa lol!
 
Mtu mwenye uhakika na afya yake na njia zake kamwe haogopi kupima,
Na km nikigundulika ninavyo utakuwa umenisaidia pia,
Kwani nitajua namna ya kuishi na kulinda afya yangu!

Sasa utakapo jua unao udot com mimi sitapata tena fursa ya kulifaidi penzi lako nitakuwa sijayatendea haki mahusiano yetu Ibara ( ) ya katiba ya jamhuri wa Muungano nenda kasome
 
ni tatizo kwa kweli,nyie huwa na midomo sana mkishakuwa na kipato kikubwa!huyo mdada hata asihangaike,jamaa keshakuwa inferior mbele yake!
 
Hahahahaha! Mpwa bana!

Ndo hivyo rafiki. Mwambie Cantalisia asiniulize na kumegwa ndio nini. Hii sredi isijehamishiwa jukwaa la Maria Roza kabla fellow tablet wangu hajaichangia.

Nafikiri hawezi kuuliza tena.....maana ikishaenda huko, wengine hatuna funguo za hilo jukwaa....
 
Hahahahaha! Mpwa bana!

Ndo hivyo rafiki. Mwambie Cantalisia asiniulize na kumegwa ndio nini. Hii sredi isijehamishiwa jukwaa la Maria Roza kabla fellow tablet wangu hajaichangia.
Nimekusikia babu,
Ila huyo kidonge mwenzio popote alipo mwambie namtafuta nimemiss sana!
Leo nimegundua aina za wanaume dah!
Sikujua huyu jamaa ana wenzie wanaoogopa wanawake wenye vipato lol!
 
Kwani huyo jamaa unafikiri hawezi pata mzigo mwingine?
Ishu na kwa huyo mpambe wako kama alikolea sana kwa jamaa itakuwa ishu kumpata mwingine kama huyo
Ki ukweli kafa kaoza,
Na hata sijui ikishindikana kumshawishi jamaa itakuwaje!!!!
 
Sasa utakapo jua unao udot com mimi sitapata tena fursa ya kulifaidi penzi lako nitakuwa sijayatendea haki mahusiano yetu Ibara ( ) ya katiba ya jamhuri wa Muungano nenda kasome
Haaaa haaaa haaa,
This is my broda lol!
Nasubiri iandikwe mpya!
 
kwa kweli huwa wakiwa nazo wachache sana wanaoweza kuheshimu waume zao,na ndipo hapo mpasuko unapoanzia.....ni heri awe na cha wastani tu tunaita cha kubadilishia mboga
 
ni tatizo kwa kweli,nyie huwa na midomo sana mkishakuwa na kipato kikubwa!huyo mdada hata asihangaike,jamaa keshakuwa inferior mbele yake!
Mie naona hizo ni hisia zenu tu,
Huon hamtendei haki huyu binti?
Achen mfumo dume bwana,yapen nafasi mapenzi yajiongoze yeyewe,hela kitu gani jaman?
 
kwa kweli huwa wakiwa nazo wachache sana wanaoweza kuheshimu waume zao,na ndipo hapo mpasuko unapoanzia.....ni heri awe na cha wastani tu tunaita cha kubadilishia mboga
Sasa jaman si angempa mda kwanza?
Mbona alipokuwa hajui kitu mambo yalienda sawa tu,
Na kila mtu ana moyo wake huenda wala asingechanganya mapenz na kipato!
 
Nimekusikia babu,
Ila huyo kidonge mwenzio popote alipo mwambie namtafuta nimemiss sana!
Leo nimegundua aina za wanaume dah!
Sikujua huyu jamaa ana wenzie wanaoogopa wanawake wenye vipato lol!
Huyo si mwanaume bana.......ni gumegume. Source: Thread ya ODM
 
janaume la namna hiyo la nini?
ndo wale wasiopenda kuona wake zao wana mafanikio...

HALAFU TUKISEMA WANAUME HAWAJIAMINI MNABISHA.......
HII NDO TAASISI HURU HII?

mwambie huyo dada aendelee na maisha yake huyo mwanaume atamsumbua. halafu kwa nini kamuonyesha salary slip yake? yeye alionyeshwa?
Wala hujakosea ndugu yangu,
Alishindwa kutomwonyesha kutokana na mshtuko alikokuwa nao na maswali mengi na hakuona haja ya kumficha na isitoshe tayari ni wapenzi!
Asante kwa maoni japo kwa hali ya sasa sijui itakuwa ni ngumu kuelewa,
Ila nitafikisha ujumbe.
 
Tatizo la hawa dada zetu mnapoanza atakupenda kweli hata kama amekuzidi ila baada ya kuzoea ndoa na kuanza kuwasikiliza mashoga zake wanaotolewa out na waume zao basi anaanza kukuona mzigo. Ladies hasa wa kizazi hiki hawana upendo wa kudumu kama wake zetu tuliooa miaka 10 iliyopita. Huna hela basi anakudharau na huyu bwana kaonyesha uanaume kwani usidanganyike mwanamke anakupenda zaidi ukiwa uko vema ila kipato kikipungua tu madharau huanza je akikuzidi kipato si ndo hatari?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom