Mpenzi wa JF!!

Hehehe...hujagundua tu?Ye ndo anafunga!

hahahah lol ye ndo mtaalum wa hayo mambo...
lakini anamalizaga mvinyo kwanza kabla hata ya ibada haijaanza...
hapendi kuona wanae wa sundayschool wanaolewa.....
kinamuuma sana.. hahahah lol
anaogopa jinsi tunavyo kua haraka
 
Hahahaha!Anakunywa kama vile ni yake mwenyewe!!Alafu anataka tukimaliza sunday tuwe walimu hapo hapo ili asikose kutuona!
 
Ga mila lari king, be careful with Rev, kuna baadhi wanachinja kondoo wao
 
Hahahaha!Anakunywa kama vile ni yake mwenyewe!!Alafu anataka tukimaliza sunday tuwe walimu hapo hapo ili asikose kutuona!

hahahahah lol
huyu Rev wetu huyu mtaalum sana..
huwezi kukosea ukifuata sheria zake..lol
hahaahha lol
 
idoma ako...
Barageeri..

mmmhh huyu Rev wetu anakunywa na hata damu ya kondoo...
mali yake kafanyia kazi na ana enjoy ...

ewaaaaaa, kuna Rev mchungaji kweli na Rev anayerudia na kula kondoo wake, so watch out, ila leo Afrodenzi na hamu ww acha tu
sijui nini? ghafla tu i got excited, i want to do that thing, u know, help
 
mmmmhh huyu Rev wetu ni mtakatufu sana yaani..

mmhhh jamani mbona hivyo tena..
"callgirl" hujaona hiyo thread lol
 
ewaaaaaa, kuna Rev mchungaji kweli na Rev anayerudia na kula kondoo wake, so watch out, ila leo Afrodenzi na hamu ww acha tu
sijui nini? ghafla tu i got excited, i want to do that thing, u know, help

We Prezidaa acha majungu!!Hiyo yote ili umkamate AD!!!!
 
sasa lizzy ww tayari upo na Rev Masa, hata jina mmepeana, huoni sisi tulikusapoti, sasa ww vp hunisapoti nichukue mtoto wa ki iraqw kama mm?
i need u r help bibie, i am hot
 
Tuma fungu la 10 kwa mchungaji

Rev, halafu Lizzy kakupenda sijui una dawa au is just words formation to sweet ones, maana inaelekea u r a best sweet words ie linguistic
ila fungu la 10 si unisaidie baada ya ndoa mchungaji? au
 
sasa lizzy ww tayari upo na Rev Masa, hata jina mmepeana, huoni sisi tulikusapoti, sasa ww vp hunisapoti nichukue mtoto wa ki iraqw kama mm?
i need u r help bibie, i am hot

Kama sapoti ni kiasi chakuomba tu!!!Haya niambie nikusaidie wapi?
 
Hapo mimi nasepa.......mkuu huelewi maana ya "callgirl"

najua Mkuu wako wanaojiuza as a work na wale wa phone, sasa wa kununua sipendi either way, namtaka afrodenzi bana, mbona Lizzy tayari unaye,
why mm ni nunue bana, Mungu alitoa bure, why selling?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom