Mpenzi wa JF!!

Hahaha ibaki bwana ili tuwe tunatoa maupdate!Tukikorofishana kesi inakuja hapahapa...na maushauri pia tukihitaji!

avatar16123_26.gif

Babu kua mpole bwana!Kwanza naweza kukugeuzia kibao ujue...ukaishia kulipa faini!

Mi sikatai kushindwa...ila nakuonea huruma kuingia kwenye mikono dhalimu ya mchungaji feki anayevaa msuli. Sijui unajua anatumia line gani ya simu? Muulize Fidel
 
Hahahahahah unaamua kuniuwa ! Lizzy funga masikio na macho.....
 
Mi sikatai kushindwa...ila nakuonea huruma kuingia kwenye mikono dhalimu ya mchungaji feki anayevaa msuli. Sijui unajua anatumia line gani ya simu? Muulize Fidel
Hahahaha!Babu sasa badala yakurekebisha unaharibu?Tukalishe chini utupe ushauri maana nikisema nikimbie ntakimbia wangapi?
 
nami natafuta wa kuniliwaza kama upo tayari ntashukuru sina mashariti ila upendo wa dhati
 
Usinichekeshe
Mambo huanza hivyo,ya kaka na dada,kisha yaishie humu humu JF ,baada ya muda nitasikia unatoa kadi za kutukaribisha katika Harusi

Mie Simo
 
Humo?Kwa maana hiyo mchango hutatoa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom