Mrejesho: Nimemuacha rasmi binti wa kimeru, hajanitafuta siku tano mfululizo

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za wakati huu ndugu zangu..

Nimeamua kujiengua rasmi kutoka kwa binti wa kimeru niliye mzimikia kwa akili zangu timamu hata kufikiakuhitaji kumuoa,

kipindi cha nyuma niliamua kumuanzishia uzi humu ndani kutokana na tabia zake jinsi alivyo ili ndugu zangu mnishauri kijana wenu kabla sijaingia gerezani

Na nukuu

"Nataka kumuoa huyu binti ila tabia zake zinatetemesha sana"

Nilipatashauri mbali mbali nakuamua kupanga safari ya kwenda kwao kujionea ndugu zake naniliomba ushauri kwenu tena kupitia uzi huu

"Nizingatie nini na kwenda kuonaa na ndugu wa binti wa kimeru"

Mlinishauri sana na wengine hata kunionea huruma ila nashukuruni sana, bila ndugu zangu ninyi wa JF ningeteketea kabisa

Asanteni sana.

Mimi mwenyewe na fahamu wazi kabisa sina mke na ninatafuta mke, ila kwa akili zangu timamu huyu binti wa kimeru siwezi kumuoa tena kama nilivyo tarajia hapo awali.

Mara mia ni baki hivi hivi kwanza na list ya mademu zangu tukiendelea kula maisha na kuendelea kuchambua chambua binti anaye nifaa kwa kua mke wa maisha, nitakuja kupata mwanamke mwingine wa kuoa huko mbele ya safari haijalishi umri unaenda ila lazima ni slow down kidogo

Sababu ni hizi nilizo jionea mwenyewe kutoka kwa huyo binti wa kimeru na kuamua kumuacha rasmi leo hii.

1. Nilishindwa kuonana na ndugu zake kutokana na swala zima la mawasiliano yetu kuwa mabovu sana, mimi ndiye niliye kua nafanya mawasiliano tuu bila wao kunitafuta hata kidogo wala kunipa ushirikiano, bali mimi tuu na siyo vinginevyo

2. Nilitegemea mwanamke wangu huyu naye angekuwa na shahuku pamoja na chachu ya kunitafuta ila hamuwezi kuamini zimepita siku tano mfululizo bila hata kunitafuta wala kunijulia hali wala kujua chochote kuhusu mimi au taratibu za kwenda kwao zimefikia wapi.

3. Niliona hapa nimesha tawaliwa kupitia njia ya mawasiliano na wao wamenionyesha wazi hawana uhitaji na mimi kwa kutonitafuta kabisa

Hatua niliyo chukua binafsi, Mimi niliona nipige kimya haraka sana ili kulinda uanaume wangu kwa kutokumtafuta au kuwatafuta kama mwanzo nione mwisho wake na wao ila kweli ilifika asubuhi, mchana , jioni na hata usiku bila kutafutwa kwa namna yeyote ile siku nyingine tena hivyo hivyo.

Nafsi yangu ikaniambia kweli binti umempenda na yeye anadai anakupenda, ila mimi moyo wangu ndiotuu naonyesha juhudi na uhitaji na si yeye hapa nitashindwa kuja kuishi nae kama mume wake nayee mke wangu.

Maana hata nilipomweleza kuhusu tabia yake ya kusubiria mimi nimtafute hakubadilika hata kidogo na wala hanipi kipaombele chochote kile.

Kweli mimi siwezi kumuoa tena , sitaki mahusiano naye ya kimapenzi nime mbwaga maana nime mbeba mgongoni ila habebeki. Mapenzi ya upande mmoja yanakondesha sana na kuukosesha moyo amani na furaha na hata akili kuchanganyikiwa, MIMI SIYAWEZI ni heri kubeba makaa ya moto kichwani kuliko mpenzi asiye onyesha ushirikiano wowote ule hata wa kimawasiliano tuu.

Ndugu zangu kijana wenu nimeamua ku move on.

Mbele kwa mbele tutajua tuu huko nani nitakaye kujakumuoa ila sio huyu wala mmeru yeyote aise ni wagumu sana, wala binti atakae kua anafanania na tabia za huyu haijalishi umri unasonga na upweke unanisumbua na kuniandama sana.

Hakika nitasubiri tuu huku nikienda pole pole kutafuta mke, maana safari ya kupata mke ni ngumu sana sio kama ya kupata mademu.

Nashukuruni kwa ushauri wenu mlionipatia mbarikiwe sana.

Ni mimi kijana wenu

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Ulivyo eleza ni sawa na huyu nimjuaye mimi, yupo Karatu, kiasi mpaka naona inaweza kua ni yeye, anamsumbua jamaa mbaya kabisa, anachojua yeye ni kupata matumizi tu na hana shauku na mshikaji, kwao ni pale kabla ya kufika USA river, ni mmeru mpuuzi sijawahi pata ona, mtu wa club, mnywa mapombe na mbabe fulani ambaye hataki hata kuulizwa alikua wapi mpaka saa sita za usiku, jamaa akisafiri anaweza piga simu usiku kucha demu hapokei, au akaikata, asbh anakuja kumjibu simple tu kua alikua amelala, dalili zinaonyesha inawezekana hata akawa ndo huyo maana ana wanaume wanajaa kwenye bus zima
 
Huyu huyu kwao ni mitaa hiyo hiyo, usikute tumegongana mkuu. ila anatokea upandee huu wa kulia mwa barabara kama unaenda USA river..

Katikati ya Tengeru na USA river

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Huyu huyu kwao ni mitaa hiyo hiyo, usikute tumegongana mkuu. ila anatokea upandee huu wa kulia mwa barabara kama unaenda USA river..

Katikati ya Tengeru na USA river

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Yamkini ni yeye, ni mshenzi wa kufa, Malaya wa kutupa na hajali, ila kila Ibada anakimbia kanisani utadhani ni mwema, kwao ni hapo sijui Lemala, kama unapandisha kule juu hospital ya Kolanga sijui wanaita, watu wa hivyo wanapelekaga wanaume hata watano kwenye miji tofauti tofauti, maana tabia ya Binti ndiyo tabia ya kwao, so familia inakuchezea wewe akili, na inamchezea na mwingine akili, huyu ni mrefu kidogo maji ya kunde, mkesha club kila weekend na muenda kanisani kila Ibada, yuko kama chaja ya kobe
 
Ulivyo taja maji ya kunde mrefu na kila ibada anakimbilia kanisani mwili wangu umetetemeka sana ,

Ngoja nikapime afya yangu kwanza

Back
Top Bottom