Mpenzi wa JF!!

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,801
59,274
Kila siku watu wanazidi kutafuta wenzi humu!

Wengine wanataka kuoa kabisa...wengine kuondoa upweke..sasa na mimi natafuta wangu leo wapendwa!Natafuta mkaka awe mpenzi wangu wa JF..yani mambo yote yanaishia humu humu!Vigezo:1.Umri usipungue 20 tu..sitaki mtoto mie! 2.Elimu haijalishi...maadam kutype JF anaweza sihitaji cheti! 3.Sura..umbo sijali! 4.Kigezo muhimu awe mcheshi..mwenye furaha ..na good sense of humour ili tuondoane mastress ya nyuma ya pc!

Nawasilisha....!
 
Kila siku watu wanazidi kutafuta wenzi humu!Wengine wanataka kuoa kabisa...wengine kuondoa upweke..sasa na mimi natafuta wangu leo wapendwa!Natafuta mkaka awe mpenzi wangu wa JF..yani mambo yote yanaishia humu humu!Vigezo:1.Umri usizidi 37 wala usipungue 24! 2.Elimu haijalishi...maadam kutype JF anaweza sihitaji cheti! 3.Sura..umbo sijali! 4.Kigezo muhimu awe mcheshi..mwenye furaha ..na good sense of humour ili tuondoane mastress ya nyuma ya pc!Nawakilisha....!
Umeharibu hapo kwenye RED!
Lakini hata hivyo CHEMBE NA CHEMBE MKATE HUWA....Fungulia PMbox yako mapema ...utachoka nao.!
 
mimi niko tayari bibie,,,,,,,,,,,karibu sana:target::hug:
 
Kila siku watu wanazidi kutafuta wenzi humu!Wengine wanataka kuoa kabisa...wengine kuondoa upweke..sasa na mimi natafuta wangu leo wapendwa!Natafuta mkaka awe mpenzi wangu wa JF..yani mambo yote yanaishia humu humu!Vigezo:1.Umri usizidi 37 wala usipungue 24! 2.Elimu haijalishi...maadam kutype JF anaweza sihitaji cheti! 3.Sura..umbo sijali! 4.Kigezo muhimu awe mcheshi..mwenye furaha ..na good sense of humour ili tuondoane mastress ya nyuma ya pc!Nawakilisha....!

Huko Unga limited unakoishi hakuna mwanaJF. Hebu mPM PakaJimmy a do the needful.

Kama mimi nna miaka 37.5 ndo imekula kwangu japokuwa vigezo vyote vimenikubali? (Nna mashaka kama kweli unatafuta mpenzi wa kwenye keyboard huku ukiweka limitations za umri)... Kwa sisi tuliozaliwa Ocean road enzi hizo tunasema: STUKA!!
 
Umeharibu hapo kwenye RED!
Lakini hata hivyo CHEMBE NA CHEMBE MKATE HUWA....Fungulia PMbox yako mapema ...utachoka nao.!

Hapo ndo kwenye msisitizo bwana!Nataka kuondoa sio kuongeza stress!
 
Huko Unga limited unakoishi hakuna mwanaJF. Hebu mPM PakaJimmy a do the needful.

Kama mimi nna miaka 37.5 ndo imekula kwangu japokuwa vigezo vyote vimenikubali? (Nna mashaka kama kweli unatafuta mpenzi wa kwenye keyboard huku ukiweka limitations za umri)... Kwa sisi tuliozaliwa Ocean road enzi hizo tunasema: STUKA!!

Una point hapo kwenye umri..nidai senksi!Ngoja niweke uhuru hapo!
 
Huko Unga limited unakoishi hakuna mwanaJF. Hebu mPM PakaJimmy a do the needful.

Kama mimi nna miaka 37.5 ndo imekula kwangu japokuwa vigezo vyote vimenikubali? (Nna mashaka kama kweli unatafuta mpenzi wa kwenye keyboard huku ukiweka limitations za umri)... Kwa sisi tuliozaliwa Ocean road enzi hizo tunasema: STUKA!!
Hommie punguza kusoma katikati ya mistari unawaharibia wajukuu bana!
 
Huko Unga limited unakoishi hakuna mwanaJF. Hebu mPM PakaJimmy a do the needful.

Kama mimi nna miaka 37.5 ndo imekula kwangu japokuwa vigezo vyote vimenikubali? (Nna mashaka kama kweli unatafuta mpenzi wa kwenye keyboard huku ukiweka limitations za umri)... Kwa sisi tuliozaliwa Ocean road enzi hizo tunasema: STUKA!!
Nitakusaidia kumpata-Mimi binafsi niko engaged na siendani na vigezo vyako...Onyesha msisitizo wa mawasiliano kama uko serious!
 
Kila siku watu wanazidi kutafuta wenzi humu!Wengine wanataka kuoa kabisa...wengine kuondoa upweke..sasa na mimi natafuta wangu leo wapendwa!Natafuta mkaka awe mpenzi wangu wa JF..yani mambo yote yanaishia humu humu!Vigezo:1.Umri usipungue 20 tu..sitaki mtoto mie! 2.Elimu haijalishi...maadam kutype JF anaweza sihitaji cheti! 3.Sura..umbo sijali! 4.Kigezo muhimu awe mcheshi..mwenye furaha ..na good sense of humour ili tuondoane mastress ya nyuma ya pc!Nawakilisha....!

Nimekuwa wa kwanza kukupa hii kitu! Bila shaka bila kuchakachuliwa ombi lako limepata jibu. MOD unaweza kufunga hii kitu.

The Following User Says Thank You to Lizzy For This Useful Post:

Rev Masanilo (Today)
 
Kwa hiyo kama umri si kigezo, waweza kunikubali mie? I em onle 56 yiaz old, single babu.
Kutoka 37.5 mpaka 56 ndani ya dakika 10 tu??Haya bwana!Nwyz kama una nia njia iko wazi!
 
Mungu akupe hitaji la moyo wako,kuna mkaka alituma post ana qualificattion zote akasema wasichana walioko serious wa PM, unaweza mtumia PM.mimi nimemtumia,ili aangalie achague.All the best!
 
Back
Top Bottom