Mpenzi wa JF!!

Kila mahali mbona!Ni kiasi chakuwatafuta tu mr Prezzida!

Lizzy umeona hicho kitu hapo nyuma lakini au? ebu iangalie closely, ukiona kitu kama hiyo anywhere, anytime ni PM, ila Maria Roza usimwambie
au asijue katu katu, itatokea noma, i will pay u Lizzy, nifichie siri yangu, Maria mkali
 
We nshakuona braza men sana!!!Maana unavyofagilia vigezo ulivyo navyo naogopa usinije ukanizidi nikapigwa bao la kisigino bure!!!Mi nataka saizi yangu sio zaidi yangu!!!

Usihof kulingana na vigezo vyako mi nimevifikia ila sijakuzid wala nini ila nilikuwa naonesha msisitizo kwamba nipo tayari kuanza maisha na wewe na sio kukuchezea,,thats why nikaweka vigezo mbele jins utakavyo wewe hapa hamna u brothermen yaaaaaaaan kazi tu.....come baby do not delay
 
Jf cybersex...
Du
kila siku watu wanazidi kutafuta wenzi humu!wengine wanataka kuoa kabisa...wengine kuondoa upweke..sasa na mimi natafuta wangu leo wapendwa!natafuta mkaka awe mpenzi wangu wa jf..yani mambo yote yanaishia humu humu!vigezo:1.umri usipungue 20 tu..sitaki mtoto mie! 2.elimu haijalishi...maadam kutype jf anaweza sihitaji cheti! 3.sura..umbo sijali! 4.kigezo muhimu awe mcheshi..mwenye furaha ..na good sense of humour ili tuondoane mastress ya nyuma ya pc!nawakilisha....!
 
Hahhahahahah....mchungaji kweli umeamua!!!!Unataka kupiga muhuri kabisa????

Hongera sana Lizzy umejifunga na sisi binadamu tusifungulue. HONGERA REV. Ila naomba kazi ya utunza fedha kanisani kwako.:A S crown-1:
 
Kutoka Lizzy mpaka Lizzy Masa...........:embarrassed::embarrassed::embarrassed:

Naona imekula kwangu mazima:hungry::hungry::hungry:
 
Lizzy umeona hicho kitu hapo nyuma lakini au? ebu iangalie closely, ukiona kitu kama hiyo anywhere, anytime ni PM, ila Maria Roza usimwambie
au asijue katu katu, itatokea noma, i will pay u Lizzy, nifichie siri yangu, Maria mkali

Yani nikusaidie kuvunja ndoa?Mi staki...mwambie aende kwa mchina akarekebishe kama anavyotaka prezidaa!
 
Usihof kulingana na vigezo vyako mi nimevifikia ila sijakuzid wala nini ila nilikuwa naonesha msisitizo kwamba nipo tayari kuanza maisha na wewe na sio kukuchezea,,thats why nikaweka vigezo mbele jins utakavyo wewe hapa hamna u brothermen yaaaaaaaan kazi tu.....come baby do not delay

Mmh kumbe!Bahati mbaya nimeshajikamatisha kwa mchungaji!
 
Kutoka Lizzy mpaka Lizzy Masa...........:embarrassed::embarrassed::embarrassed:

Naona imekula kwangu mazima:hungry::hungry::hungry:

Hahahaha!Babu we uliachia nafasi yako ghafla?Alafu ulikua unaongoza kwenye kura za maoni!
 
Hongera sana Lizzy umejifunga na sisi binadamu tusifungulue. HONGERA REV. Ila naomba kazi ya utunza fedha kanisani kwako.:A S crown-1:
Ntakugongea senksi baadae wangu!
 
Nilikwambia mapema umwombe Invisible afunge kabisa hii thread maana umesha mpata mzee nini tena ligi au ndo hivyo unawatamanisha akina Asprin na wenzake?

Hahaha ibaki bwana ili tuwe tunatoa maupdate!Tukikorofishana kesi inakuja hapahapa...na maushauri pia tukihitaji!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom