Hivi ndivyo nilivyofanya ili kuinuka baada ya kufilisika na kuanguka kabisa kiuchumi

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
10,223
22,300
Wakuu kwa siku kadhaa nimesoma kwa umakini uzi unaouliza kilichotokea hadi baadhi yetu tukaanguka kimaisha. Mimi pia nilitoa maoni yangu na kuelezea kwa ufupi jinsi ilivyokuwa hadi nikaanguka. Sababu kuu ilikuwa kuendekeza mbususu. Lakini sikuelezea kiundani niliwezaje kusimama tena baada ya kuanguka. Leo nitashea nanyi mbinu nilizotumia. Huenda ikamsaidia mtu hapa.

Kwanza kabisa niseme tu haijalishi unaishije ila kwenye haya maisha lolote linaweza kutokea. Unaweza ukawa mtakatifu ila tu ukajikuta umepigwa na kitu kizito ukaanguka mazima. No one is perfect. No situation is permanent. Kama hujawahi pata majanga mshukuru Mungu ila usijione mjanja. Sababu za vijana kufeli ni nyingi ila zifuatazo ni maarufu zaidi; kuendekeza anasa hasa wanawake na pombe, uvivu, kufukuzwa au kupunguzwa kazini, uwekezaji usio sahihi, magonjwa (inaweza kuwa yeye mwenyewe au kutibia wapendwa wake), kuwa na wategemezi wengi kuliko kipato, kuwa na mwenza (mke/mume) mfujaji wa pesa na kufanya biashara kwa mazoea bila kufuata hali ya soko ilivyo.

Ili kutotumbukia kwenye mkwamo kirahisi tafadhali kijana kuna vitu uzingatie. NIDHAMU, UAMINIFU & UTIIFU (Saa nyingine utiifu hata kwa maagizo usiyoyapenda). Hayo mambo matatu ukiyazingatia utapunguza chances za kuingia kwenye majanga. Kuanzia ngazi ya familia uliyolelewa unatakiwa uwe na nidhamu. Kama huheshimu wazazi/walezi wako kwa asilimia kubwa tegemea maisha yasiyo na furaha wala amani. Fanya ufanyavyo kuhakikisha kuna amani kati yako na wazazi/walezi wako. Mzizi wa mafanikio yako upo kwenye familia yako na sio vinginevyo. Sisi tutakupokea mtaani jinsi ulivyotoka kwenu. Kuna baadhi ya wapumbavu humu wanadai wameblock namba za wazazi wao kisa mizinga ya pesa. USISAHAU ULIKOTOKA..

Kwa kijana uliyekulia kwenye maadili mema na mwenye heshima kwa wazazi/walezi lazima utakuwa na heshima kwa jamii nzima kuanzia wadogo hadi wakubwa. Mjini ukiwa na heshima kwa watu hasa wazee waliokula chumvi nyingi utajikuta madili makubwa yanakufuata. Wakati nimeingia town mwaka 2012 mwishoni nilikuwa nimepanga chumba maeneo ya Msimbazi bondeni. Kwa msomi wa degree ilikuwa sio poa kabisa yale maisha. Baba mwenye nyumba alikuwa mzee mmoja mwislam ambaye umri umesonga ila alikuwa mcheshi. Tukawa marafiki. Ingawa nilikuwa na maisha magumu sana yule dingi nilikuwa mara moja moja jioni nilikuwa nampiga ofa ya gambe. Baada kama ya miezi 8 ndo akaniuliza kwani nimesomea nini na inakuwaje sina kazi ya maana? Baada ya kumwelezea akaniambia kesho asbh mjukuu wangu atakupeleka posta kuna mtu utaonana nae atakufanyia mipango ya kazi. Kesho yake yule mjukuu akanipeleka kuonana na jamaa mmoja alikuwa chawa wa Dr Dau enzi hizo ni boss wa NSSF. Kwa influence ya yule chawa nikaonana na watu wazito. Baada ya pale mambo mengi yalifunguka. Popote pale utakapokuwa heshimu watu. Hakuna mtu mjinga kwa 100% na hakuja mtu mwenye akili 100%. Kuheshimu watu haiwezi kukugharimu chochote hivyo waheshimu. Viongozi na matajiri wakubwa kwa sasa wanapambana sana watoto wao wakubalike kwenye jamii ili waendelee kufanikiwa kwenye mambo yao kizazi hadi kizazi. Sisi wengine tukipata kamshahara ka kuweza kununua Mark X basi kuvimba kunaanza. Heshimu kila mtu.

UAMINIFU ni suala pana sana na limeongelewa na wengi. Uaminifu na nidhamu ni kama mapacha. Ukiwa na nidhamu ni rahisi kuwa mwaminifu. Ndugu zangu mtaji wa kwanza kwenye haya maisha ni uaminifu. Town ukileta janja janja lazima upotee. Mjini watu wana pesa nyingi ila usipokuwa mwaminifu hutakaa ujue. Mwaka 2013 hadi 2016 katikati kazi yangu kubwa ilikuwa ni kuwanunulia watu wangu wa mikoani hasa Ars na Klm vitu Kariakoo na kuwatumia. Ilianza na mzee wangu mmoja ambaye ana kampuni kadhaa huko Arusha kunituma vitu vingi vya kwenye biashara zake na kujikuta natengeneza pesa nyingi. Shukrani kwa kampuni ya Nabaki Afrika kwa lile punguzo walilokuwa wananipa kila nikiagizwa vifaa vya ujenzi. Kwenye hiyo miaka nilipata clients wengi walioniagizia vitu vingi tofauti tofauti. Nilijitahidi kuwa mwaminifu pande zote. Mimi hasahasa nilikuwa napata hela kupitia zile punguzo nilizokuwa nikipewa na wauzaji. Mara chache sana nilikuwa naongeza cha juu.

Kwanini wengi wakishaanguka hawawezi kuinuka tena? Kinachotakiwa ukiwa kwenye majanga ni kukubaliana na hali kwamba kwa sasa una majanga na inahitaji kutuliza akili kujinasua. Muhimu sana ni kulinda tu akili yako isiathiriwe na hiyo hali. Mwombe Mungu kwa imani yako afya ya akili iwe sawa kwa kipindi chote cha majanga. Unaweza kukonda lakini hakikisha akili iko sawa. Jiepushe kutumia kilevi kama njia ya kujipooza na machungu. Yatazame matatizo yako jicho kwa jicho. USIOGOPE. Ukivuka hiyo step inakupasa uishi kwanza kulingana na kipato chako. Cha muhimu hakikisha yale mahitaji muhimu unayapata. Chakula, mavazi na malazi.

Kwa wale wajasiriamali au wale waliopoteza kazi cha kufanya ni kujishughulisha na chochote cha halali kinachowezekana. Aibu weka pembeni. Elimu yako pia iweke pembeni. Baada ya kuanguka kwa upande wangu nilianza kuishi Msimbazi Bondeni baadae nikahamia Landabaa Kigogo. Wakati huo nilikuwa naona niliosoma nao wakipita na magari yao njia ya Kigogo dampo wakielekea Tabata. Bahati nzuri mimi nilishajiambia lazima nisimame upya kwahiyo nilikuwa siwakwepi wala kujisikia vibaya kwasababu nilijua muda wangu utafika. Nakumbuka nilikuwa nikibeba mizigo mwenyewe na kupeleka kwa wasafirishaji. Ilikuwa ni kawaida sana kunikuta nimebeba maboksi pale Ubungo naenda kutuma. Kuna dogo mmoja yeye alikuwa akitoka chuo UDSM na kuja Kkoo kutafuta dili za hapa na pale. Akawa mdogo wangu wa hiari. Baada ya chuo dogo alijiajiri na tunavyoongea ana kampuni yake kamwajiri kaka yake mkubwa kama meneja.

Kwa kipindi chote unachopambana hakikisha unakuwa bahili kuliko ubahili wenyewe. Wapenzi wafujaji piga chini. Kiukweli mimi nilikuwa NINANUNUA nikizidiwa na hamu. Niliona nikiwa na mpenzi atanivuruga. Hata kama haniombi hela atanivuruga tu kisaikolojia. Nakumbuka hadi 2016 katikati tayari nilikua nimekusanya milioni kadhaa zilizonisaidia kuanzisha biashara yangu. Kama nilivyoeleza awali kuhusu nidhamu na utiifu kwa wananchi ni kuwa hata mimi baada ya kuanza biashara yangu sikupata changamoto yoyote kwenye kupata kazi. Wazee kadhaa walinishika mkono kwa kunipatia kazi. Wiki ya kwanza tu nilikuwa nina-deposit cheque.

UVUMILIVU. Vijana mjue kwamba sio kwamba utaanguka leo na kusimama kesho. Unachukua muda. Anguko langu lilikuwa 2012 lakini hadi kuja kusimama upya ilikuwa 2016 mwishoni. Haya mambo huwa yana mchakato. Jipe muda na jiambie ukweli.

Zaidi ya yote hakikisha kwa imani yako MUWEKE MUNGU MBELE. Unaweza ukafanya kila jitihada ila mambo ya Mungu nayo yana nafasi kubwa.
 
Safi kabisa Umesema ukweli!
 
daah nimechukua contents hapa mkuu
 
Mkuu ubarikiwe kwa ujumbe mujarabu kwetu. Mapito ni jambo la muda kwa kweli na umesisitiza kuwa tumuweke Mungu mbele. Amina sana mkuu
 
kbsa mkuu asante kwa ukumbusho
 
Imani ya kumwamini Mungu na kununua mademu imekaaje hapo mkuu?
 
Back
Top Bottom