Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,880
- 2,761
hiyo timu ni hatari!! Dk slaa, mbowe, lissu, prof safari, prof baregu... Lazima jk, pinda, lukuvi, luhanjo wakubali matokeo
Naona mmejipanga kuchangia thread yenu.
Fine, ila najua kimewauma kwa kuwa mnajua fika kwamba jamaa yenu hawezi kushindana kwa hoja na vichwa kama Baregu na Safari. Msiwe na hofu jamaa sio mjinaga kiasi hicho mpaka aruhusu kuaibishwa ofisini kwake, atakataa tu.
By the way, nawaachia thread yenu. Nasign off.
TL hakumwita JK dikteta. KATIBA yetu ndio inaweza kumfanya Rais wetu akawa dikteta. Wakibahatika kumwona wamstue Rais wetu kuwa Muungano sio kati ya Tanzania na Zanzibar bali Tanganyika na Zanzibar.Anaenda kukuonana na Dikteta tena mfalme...lol
Anaenda kukuonana na Dikteta tena mfalme...lol
YOU are not serious, they did sent a message. Ndiyo maana CCM waliacha kuchangia mjadala, wakamjadili TL badala ya kujadili sheria kusudiwa, usisahau wengine walienda mbali na kusema TL hujasoma hivyo wakashauri aende shule, do u think this is a gd point to include in that bill. assignment nakupa: kasome CV za hao waliotoa maoni ya aina hiyo pale mjengoni utashangaa.Wameshaona jinsi gani waliwakosea wananchi wanaowawakilisha kwa kuwanyima uwakilishi katika suala nyeti la mabadiliko ya katiba hivyo wameamua kwenda kuonana naye ili wajenge credibility waliyoipoteza kwa wanchi. Tusubiri watakayoyazungumza.
kundi kubwa linalokwenda kumuona Rais lina hasira na serikali na mvutano wa kutupiana maneno kwa muda mrefu. Hivi kweli meza ya mazungumzo itakalika?
waliochaguliwa kwenye kamati ya kumuona Rais wamechaguliwa na nani maana wananchi hawajashilishwa kuwachagua. tunataka wananchi washirikishwe si kamati kuu ya chadema tu wanatunyima uhuru wetu