Moto wa Katiba Mpya CHADEMA kutinga Ikulu; KAMATI Kuu yateua kamati ndogo ya muafaka

kama Tundu lissu alimwita kikwete Dikteta atamwambia nini dikteta na kuzungumza naye
hakumwita Kikwete diktetaa! Alisema muswada atakaoupitisha Rais Kikwete unampa mamlaka makubwa Rais! We unachukulia kana kwamba alishambuliwa mtu binafsi?!
 
If I were JK I would have rejected Chadema's request to meet him keeping in mind that the same group of people voted with their feet during his parliament inaugural speech alleging him to tamper with the ballots. Chadema are clearly exhibiting double standard by seeking to talk to a man whom they accuse of sweeping election by fraudulent means.

Chadema's move explains as to why African politics will never prosper at all owing to the presence of ambivalent leaders who can not live up to their stance for at one point pretend to be so firm about their commitments and at the following point they easily succumb and do so mindless decisions.

At least one brain should understand what CDM is doing is for the wellbeing of many Tanzanins. Many of us consider the constitution in a very limited,and myopic way.. Instead of praising the other party that believes in sitting together and discuss,argue, and share constructive criticism, many take it as a who won in this,who is a looser in this... It's a pity for Tanzanian people.
 
mdogo wake rostamu aziz kada wa ccmaitwaye assadi aziz amekatwa na 92.2kg za heron (madawa ya kulevya). sasa hapa tunaweza kujua mateja wapo wapi na wanatokana na nini!!!

ushabiki mbaya,ndiyo ile chongo unaita kengeza. Achana naye huyo.
 
CHADEMA INAFANYA MAKOSA KWAKO M-KITI MBOWE.Naunga mkono hoja. Washirikisheni NCCR na Deus Kibamba na Ananilea Nkya wa Jukwa la Katiba.

Mpaka sasa mlikuwa mnafanya vizuri kwa maana mlikuwa mnacheza offensive na CCM walikuwa wanancheza defensive kwani ni
chama kimojatu kati hivi viwili ndio kilihaidi kuleta katiba mpya kabla ya uchaguzi kwahiyo ccm inacheza ngoma yenu kwa hivi sasa kwa kuweza kuwasukuma kwa kutumia political pressure ya nguvu na kuweza kukubalina nanyi.

kosa kubwa linalotokea hivi sasa ni kushindwa kutangaza phase ya pili ya mapambano kwa maana ya kuwaweka ccm katika angle mnayoitaka lazima kuweka option zote mezani na kuwaambia wazi CCM nini kitatokea kama wasipofanya yale mtakayojadiliana na JK bila hivyo hawawezi kusikia sasa ilibidi mpaka hivi sasa iwepo tarehe maalum ya execute second phase endapo mazungumzo yatashindika ili wananchi wajue ahead of time nini kinachoendelea ili wawe tayari na sio kila siku kuibuka na matangazo.

Pili chama hiki lazima kiendeshwe kwa uwazi muwaambie wananchi nini mnachoenda kujadiliana na JK ili wananchi wajue Rais amekataa kitu gani kilicholetwa mbele ili kuondoa upotoshaji utaotokea hapo baadaye.
Naunga mkono hoja. Washirikisheni NCCR na Deus Kibamba na Ananilea Nkya wa Jukwa la Katiba.


Tatu inabidi muunganishe nguvu na wenzenu wengine weny mawazo yanayofanana ili muwe kitu kimoja na siku zote umoja ni ngivu na utengano ni udhaifu, jukwaa la katiba lometangaza maandamano jumamosi hii tarehe 26. wakati nyie mnampango wa kuonaana na rais mnawachanganya wananchi wale ambao wangelipenda kushiriki ktk maadamano hayo kwa kukosa mawasiliano kati yenu. kwahiyo lazima muwasiliane na DEUS KIBAMBA na vikundi vyote ili wote muwe na kauli moja yenye kueleweka na nguvu moja.
Naunga mkono hoja. Washirikisheni NCCR na Deus Kibamba na Ananilea Nkya wa Jukwa la Katiba.
 
Anaenda kukuonana na Dikteta tena mfalme...lol

Hakusema Kikwete ni dictator ila alisema katiba ya sasa inamfanya rais awe dictator kwasababu inampa madaraka makubwa mno!! Hotuba ya Lissu ilikuwa clear na yenye ukweli mtupu ila wabunge wa mipasho na chama chao cha magamba waliendekeza ushabiki wao badala ya kuweka mbele maslahi ya watu wote!
 
Rais Kikwete ni rais kwa mujibu wa katiba! amepatikanaje ni kwa mujibu wa katiba, kama mtangazaji wa matokeo siku ile angeteleza kidogo akamtaja Hashim Rungwe kuwa ndiye mshindi, kikatiba huruhusiwi kupinga na kama utapinga utapinga lakini aliyetangazwa ndiye na huwezi kubadili, hayo ni sehemu ya mapungufu ya katiba,

Kwa hivyo kutokana na vielelezo vya matokeo ya uchaguzi mkuu uliopita kugubikwa na utata na kutokana na maelezo hayo hapo juu juu ya katiba katika swala la uchaguzi wa rais, na utokana na CHADEMA haitaki tena Katiba yenye sura kama hiyo na kwa kuwa kwa mujibu wa katiba Kikwete ndiye Rais, ila sio rais kwa kuchaguliwa na wananchi, CHADEMA inakwenda kumuona rais kwa kuwa yeye ni 'RAIS'
 
Back
Top Bottom