Chadema inakwisha. Inakufa taratibu. Ifikapo 2015 hakutakuwa na Chadema tena. Hawajui kusoma psychology ya watanzania. Wakienda na masharti na vitisho kwa rais wamekwisha. Wakienda kwa wananchi na CCM nayo itaenda kwa wananchi. Tuone nani atashindwa. Nchi haiongozwi kihuni. Inaongozwa kwa mazungumzo na majadiliano. Chadema wanataka kuongoza nchi kwa maandamano. Wameangalia tv huko Misri, Tunisia na Libya sasa wanadhani hiyo inafaa Tanzania. Tusubiri tuone hiyo peoples power.