Dreamliner
JF-Expert Member
- Jan 17, 2010
- 2,034
- 213
Hongera kwa kuwa Mkweli Mum... Mungu akusaidie upate Mume SERIOUS!
Smasher at work
Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea kaskazini yani (Mchaga pure). Vilevile ni degree holder na ninafanya kazi.
Sifa za ninaemuitaji ni zifuatazo, awe na umri kuanzia miaka 32 - 35, awe ana jali, anatambua utu ni nini, mkweli na anaejiheshimu kwa kifupi awe "Gentleman" . hata kama ana mtoto kama mimi ni vizuri pia.
Kwa mwenye nia tuwasiliane kwa E-mail ifuatayo
mage.carlos@yahoo.com.
Huo uzito nitakuhimili kweli 90kg???
Mi nina 60kg any way nitavumilia tu mikimiki
Unataka kumpelekea mwenzio uzee umfie kitandani!?
Ombi lako limekuja wakati muafaka kabisa;
Mimi ni mwanaume rijali na ninatafuta mke pia; sifa ulizozitaja zinaendana kabisa na ninayemtaka. Ila kabla ongezea yafuatayo;
1. Dini/dhehebu
2. Je uko tayari kuolewa mke wa pili?
3. Rangi ya ngozi yako je?
4. Urefu wa nywele zako ukoje?
5. Je lile suala la kujua mwanaume anavaa kiatu saizi gani (ili ukadirie urefu wa nanihii yake) huhitaji kujua>?
Mkuu huyo mtoto ni m-bantu asilia aka m-bantu original, huna haja ya godoro wakati wa sarakasi :roll:
Mjini hakuna mzee, uzee unaishia Chalize!!
Na hao wanaozunguka mjini na kope zilizopakwa kopi tuwaiteje!!?Mjini hakuna mzee, uzee unaishia Chalize!!
Ombi lako limekuja wakati muafaka kabisa;
Mimi ni mwanaume rijali na ninatafuta mke pia; sifa ulizozitaja zinaendana kabisa na ninayemtaka. Ila kabla ongezea yafuatayo;
1. Dini/dhehebu
2. Je uko tayari kuolewa mke wa pili?
3. Rangi ya ngozi yako je?
4. Urefu wa nywele zako ukoje?
5. Je lile suala la kujua mwanaume anavaa kiatu saizi gani (ili ukadirie urefu wa nanihii yake) huhitaji kujua>?
Kheee Kheee kwani maandishi yanaongea??? Mimi huwa sili BAN infact mimi ndio natoa BAN so be carefulKwa maandishi yake huoni kawa muwazi?? Halafu wewe acha kunifata fata umesikia AD kala BAN bado wewe
Naona unajaribu kumuinjiniaTeh teh teh!!!:ranger: Ndo ninavoonekana sahv Finest Mitambo pembeni kwanza!!!!
Ukiona email hii fidel80@jamiiforums.com ujue ni mm.
Nina kila sababu ya kukucheck hata mm natafuta mchumba
Hahaha turbo machine ya freelander, GX v8 au VX v8He!he!he!he!.....Homu boi kaza buti hii mtoto tena naonekana turbo machine.....utawin tu!
acha maneno hayo wewe! kwani inakuhusu nini kama unaona hivyo we kaa pembeni!Kweli kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza
He!he!he!he!.....Homu boi kaza buti hii mtoto tena naonekana turbo machine.....utawin tu!
Hommie angalia usije ukaenda alijojo hahahaMatoto ya kaskazini huko huwa yanakuwa yamewiva kama mapindigesi mweh Mungu anipe nini gunia la chawa nijikune mwaka mzima?
Naona unajaribu kumuinjinia
Unataka kumpelekea mwenzio uzee umfie kitandani!?