More serious, natafuta mume mwenye mapenzi ya dhati

Jamani naomba niwe tofauti kidogo na hawa wenzangu mtu ametangaza nia tena kwa nia njema kabisa kaweka na vigezo ingawa kidogo keybord imeteleza kwenye urefu lakini cha ajabu tunamkosoa humu jamvini kwa maswali wakati ameshatoa na email yake tuweni wastaarabu wana jamvi na kama wewe humpendi mwanamke wa uzito huo kaa kimya subiri atokee mwenye sifa unazotaka wewe kuna wengine cc.tunapenda sana watu wa uzito huo tuache kuchorana humu jamvini mpaka tuwapoteze wengine wenye nia nzuri na ya kweli
 
Mshikiz...uwanja wa mpira una mita mia kutoga goli moja mpaka jingine. Sasa huyu ana urefu wa mita 165, yaani karibia viwanja viwili vya mpira....dah! Kwa urefu huo na uzito wa kilo 90 lazima atakuwa na kwashakoo ya kunguni.

Kwa maana hiyo yawezekana anatania, sio kweli ana urefu na uzito huo.
 
Jamani naomba niwe tofauti kidogo na hawa wenzangu mtu ametangaza nia tena kwa nia njema kabisa kaweka na vigezo ingawa kidogo keybord imeteleza kwenye urefu lakini cha ajabu tunamkosoa humu jamvini kwa maswali wakati ameshatoa na email yake tuweni wastaarabu wana jamvi na kama wewe humpendi mwanamke wa uzito huo kaa kimya subiri atokee mwenye sifa unazotaka wewe kuna wengine cc.tunapenda sana watu wa uzito huo tuache kuchorana humu jamvini mpaka tuwapoteze wengine wenye nia nzuri na ya kweli

Sema kaka Derimto upo salama, daaa naona wanatukatisha tamaa sisi tunaotaka kutangaza nia bwana. Nkisema nina mwanya watasema ni mwanya au ni pengo.
 
Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea kaskazini yani (Mchaga pure). Vilevile ni degree holder na ninafanya kazi.

Sifa za ninaemuitaji ni zifuatazo, awe na umri kuanzia miaka 32 - 35, awe ana jali, anatambua utu ni nini, mkweli na anaejiheshimu kwa kifupi awe "Gentleman" . hata kama ana mtoto kama mimi ni vizuri pia.

Kwa mwenye nia tuwasiliane kwa E-mail ifuatayo
mage.carlos@yahoo.com.
najua mpambano utakuwa mkali ila sio ishu! cha msingi board iwe fair isichakachue, nawaonea huruma ndugu zangu wasio na bahati.
 
Safi sana dada ningekuwa sijaoa ningeapply ila nafurahi kwa jinsi ulivyo muwazi naamini hata moyo wako ni wazi pia!
 
Dada Maggy nimetimiza karibu vigezo vyote ulivyohitaji ila umri ndiyo umeniangusha kidogo,naomba unijibu uko tayari kuchakachua kigezo cha umri ?.Maggy mi napenda wanawake wenye maumbo makubwa usiwe na shaka ukikubali kuchakachua kigezo cha umri nakwambia hata ungekuwa na 120kgs sina taabu hata kidogo.
 
Wanajamii leo nimeamua kujitokeza kutangaza nia, nahitaji mume, mimi ni bint nina miaka 28 mnene kidogo 90kg,urefu 165m kitanzania tunasema ninaumbo namba nane na nina mtoto mmoja, nimetokea kaskazini yani (Mchaga pure). Vilevile ni degree holder na ninafanya kazi.

Sifa za ninaemuitaji ni zifuatazo, awe na umri kuanzia miaka 32 - 35, awe ana jali, anatambua utu ni nini, mkweli na anaejiheshimu kwa kifupi awe "Gentleman" . hata kama ana mtoto kama mimi ni vizuri pia.

Kwa mwenye nia tuwasiliane kwa E-mail ifuatayo
mage.carlos@yahoo.com.

I hope you find what you're looking for, but am suprised that you havent got a prospective man yet following the features you have like umbo namba nane, most men like that how come are u still available? Anyway, all the best!! but beware of dogs:first:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom